Kura ya kuiondoa Urusi kwenye Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa: Tanzania yajitoa (abstain)

Mrusi anatakiwa apigwe haraka sn
Katika hii Dunia,
Kwa Sasa,
Kwa tarehi hii ya Leo,
Hakuna wa kumpiga Urusi.
Nasema hakuana.

Bideni mwenyewe alisema Urusi sio kundi la kigaidi,maana USA wamezoea kupigana na makundi ya kigaidi.
Aliongeza kusema,
Sasa hivi tuna Dili na moja ya jeshi kubwa sana hapa duniani.

Na akasisistiza kuwa USA haitapeleka jeshi lake kwenda kupambana na Jeshi kubwa la Urusi....

Kitu pekee wanachoweza kufanya USA na mashoga zake ni kutoa vijimisaada vya silaha na ujasusi TU.
Pia kuiwekea vikwazo ambavyo na wao vianawaumiza.

Baba Urusi sio Iraq wala Taliban wala Alqaida.
 
Ku abstain ni ishara ya wazi kuwa viongozi wetu ni dhaifu sana.
Soma historia ya nchi yako, kutofungamana na upande wowote ni Sera iliyowekwa na waasisi wa Taifa hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…