utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,813
soma rasimu ya katiba vizuri hususan maoni ya ccm utaelewa. kila kitu kimewekwa wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katu, Zanzibar hawatakubali serikali moja...
soma rasimu ya katiba vizuri hususan maoni ya ccm utaelewa. kila kitu kimewekwa wazi
hatutaki miserikali miiingi, yote ya nini? mbili ndio mpango mzima
serkal 2 ili kuepusha kuvunja muungano siku za usoni

Hata Mimi naamini katika serikali moja
Tanganyika ilishafeli na haina sifa ya kuifanya zanzibar ikubali serikali moja.
Mtihani wa dini.
Zanzibar ni nchi ya waislamu na utamaduni wakr ni wa kiislam . Hili Tanganyika huwa hawataki kulitambua.
Tukiwa nchi moja maana yake zanzibar kukubali kuondoa shughuli zote za maendeleo ya uislam na kuivunja ofisi ya mufti na mahakkama ya kadhi.
Tanganyika wajifunze kustahamiliana na kutofharau uislam na waislam ndo tuzungumze serikali moja

Rasmi ndio kitu gani? Halafu mbona kama vile unaandika ukiwa umepakiwa kwenye bodaboda?Habari zenu watanzania kuhusu hii rasmi mpya ...