Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

Muundo upi wa Muungano unafaa?

  • Serikali 1

    Votes: 81 23.3%
  • Serikali 2

    Votes: 22 6.3%
  • Serikali 3

    Votes: 241 69.5%
  • Sijui

    Votes: 3 0.9%

  • Total voters
    347
  • Poll closed .
kwa wale tunao amin umoj ni nguvu,hatuwez kufuata mawazo ya kipumbavu km hayo.nchi za ulay zinajiuunga pamoja na utajir wao.so mawazo ya kibaguzi ya watu wachache km nyia,kamwe hatuwez kuyafanyia kazi

UKWELI UNAUMA

WEWE NI KIJANA WA VIJIWE VYA CHADEMA ??? MBEGE IMEKUZIDI ??

NCHI GANI YA ULAYA INACHAGULIWA KIONGOZI WAKE KUTOKA NCHI JIRANI ???

UKWELI HUU HAUPINGIKI MPKA MWISHO WA DUNIA

Baada Nyerere kuivamia zanzibar january 1964 , aliwakamata mawaziri wote pamoja na waziri mkuu wa zanzibar na kuwafunga jela za tanganyika , kabla ya huo aliouita muungano

jee hapa kuna muungano wa nchi mbili au
Hii kitu haiwezi kuwa milele ,

Tanganyika iwaombe radhi wazanzibari na kuwaachia waangalie wenyewe wafanye nini na sio kukaa dodoma na kujipakazia katiba mpya
 
Wadau hivi ni kweli muundo wa United Kingdom au Great Britain ni sawa na Watanzania bara na Zanzibar. Nauliza hayo kwa sababu United Kingdom ni muungano wa England, Wales, Scotland na Northern Ireland. Inasemekana Katika orodha yote hapo, England peke yake ndiyo haina mamlaka yake kama ilivyo Kwa Tanganyika, lakini wako chini ya UK, kama ilivyo Tanzania. Lakini waliobaki wote wana mamlaka yao kama ilivyo kwa Zanzibar. Wenye uzoefu wa waeleze kama ni kweli au vipi, inawezekana muundo wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar uko mahali pengi duniani lakini hatujui
 
Tofauti iliyopo hapo England bado inaexist wakati Tanganyika haipo!!
 
Muundo wetu wa Muungano unafanana kabisa na wa UK.

Serikali ya UK ndio kama serikali ya England kwenye mambo yasiyo ya Muungano.

Pia watu wa Scotland au Wales au Nothern Ireland wanaweza kuwa mawaziri wa UK hata kwenye wizara ambazo sio za Muungano kama sisi tu ambavyo Wazanzibari wanaweza kuwa mawaziri mambo yasiyo ya Muungano.

Mambo ya Muungano ni mambo ya nchi za nje, fedha, ulinzi, mambo ya ndani na hata mali asili kama mafuta.

Wenzetu Muungano wao hauna matatizo mengi kama sisi.
 
Wadau hivi ni kweli muundo wa United Kingdom au Great Britain ni sawa na Watanzania bara na Zanzibar. Nauliza hayo kwa sababu United Kingdom ni muungano wa England, Wales, Scotland na Northern Ireland. Inasemekana Katika orodha yote hapo, England peke yake ndiyo haina mamlaka yake kama ilivyo Kwa Tanganyika, lakini wako chini ya UK, kama ilivyo Tanzania. Lakini waliobaki wote wana mamlaka yao kama ilivyo kwa Zanzibar. Wenye uzoefu wa waeleze kama ni kweli au vipi, inawezekana muundo wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar uko mahali pengi duniani lakini hatujui
navyojua mimi mfumo wa uk /gb na urt ni tofauti sana ingawa kuna mifanano kiasi.mifanano ni wa kuwa na mkuu wa nchi mmoja, nchi moja, jeshi moja, sarafu moja,mambo ya nje.
baadhi ya mitoautiano ni kuwa kila sehemu ina serikali yake, bunge lake, vikosi vyake vya ulinzi (nadhani kuna exception kwa Wales). yote katika yote mfumo wa uingereza sio mfano mwema kwa vile una migogoro nadhani kuliko ya kwetu na kwa jinsi ulivyo kwa kweli ungepaswa kuitwa shirikisho badala ya muungano
 
Mwalimu Maskini,
England ambayo ndio nchi kubwa kama ilivyo Tanganyika huko kwetu haina serikali yake wala bunge lake.

Jeshi ni moja tu na liko kwenye Muungano kama ilivyo Tanzania tu.
Yaani karibu kila kitu kama TZ tu.
Tofauti iliyopo ni kwamba UK ina demokrasia zaidi na hizo nchi ndogo zikitaka kujitenga zinaweza. Wapo kwenye Muungano kwa mapenzi yao.

navyojua mimi mfumo wa uk /gb na urt ni tofauti sana ingawa kuna mifanano kiasi.mifanano ni wa kuwa na mkuu wa nchi mmoja, nchi moja, jeshi moja, sarafu moja,mambo ya nje.
baadhi ya mitoautiano ni kuwa kila sehemu ina serikali yake, bunge lake, vikosi vyake vya ulinzi (nadhani kuna exception kwa Wales). yote katika yote mfumo wa uingereza sio mfano mwema kwa vile una migogoro nadhani kuliko ya kwetu na kwa jinsi ulivyo kwa kweli ungepaswa kuitwa shirikisho badala ya muungano
 
Tofauti ipo kwani Muungano wa Uk Nchi zinaongozwa na Mawaziri wakuu England yupo waziri Mkuu Pia wales Scotland na Ireland wapo Mawaziri wakuu Wakiongozwa na Malikia mmoja tu Hawana Marais na makamu wa Rais wengi wala Wizara za Muungano wala Wachache kuwameza wengi kiujanja Muungano wao Upo kisayansi Zaidi . Tambua Huu Muungano wetu ni Muungano wa kipekee haupo Duniani popote ni Muungano Ghari sana kuuendesha kwani ZNZ kuna Rais makamu wa kwanza na wa pili na baraza la mawaziri kisha wabunge wengi sana ktk Nchi ndogo sana Pia Tanganyika kuna Rais makamu wake na Waziri Mkuu Pia baraza la mawaziri huku kukiwa na Wizara ya Muungano ambayo haipo kokote Duniani Tambua pato la Taifa kwa 98% linapatikana Tanganyika lakini kwenye Matumizi pande zote wanakaribiana sawa kwani Wazanzibar ni wajanja zaidi ya Watanganyika wao wamewekeza kwenye ubunge uwaziri na uongozi wanakula wakishiba wanaendelea kulalamika tu ili kuwapumbaza watanganyika
 
Wadau hivi ni kweli muundo wa United Kingdom au Great Britain ni sawa na Watanzania bara na Zanzibar. Nauliza hayo kwa sababu United Kingdom ni muungano wa England, Wales, Scotland na Northern Ireland. Inasemekana Katika orodha yote hapo, England peke yake ndiyo haina mamlaka yake kama ilivyo Kwa Tanganyika, lakini wako chini ya UK, kama ilivyo Tanzania. Lakini waliobaki wote wana mamlaka yao kama ilivyo kwa Zanzibar. Wenye uzoefu wa waeleze kama ni kweli au vipi, inawezekana muundo wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar uko mahali pengi duniani lakini hatujui

Muungano wa Zenji na Tanganyika ni Muungano Analogia Sera za Muungano wake hazitumiki popote Ulimwenguni ujue huu ni Muungano unaoendeshwa kwa Gharama kubwa sana pesa nyingi inatumika kubembeleza muungano badala itumike kuboresha huduma za jamii Kama shule hospt barabara umeme nk Pia ipo Wizara ya Muungano hii wizara inapewa Bajeti ya kuondoa kero za Muungano lakini hadi Leo kero zipo na hazijapungua hizo pesa zimefanya nini ? Wajifunze Kule Marekani Muungano Nchi 52 Hakuna wizara ya muungano wala kero za muungano wala utitiri wa wabunge kwenye Nchi ndogo
 
mwalimu maskini,
england ambayo ndio nchi kubwa kama ilivyo tanganyika huko kwetu haina serikali yake wala bunge lake.

Jeshi ni moja tu na liko kwenye muungano kama ilivyo tanzania tu.
Yaani karibu kila kitu kama tz tu.
Tofauti iliyopo ni kwamba uk ina demokrasia zaidi na hizo nchi ndogo zikitaka kujitenga zinaweza. Wapo kwenye muungano kwa mapenzi yao.
hilo lingekuwepo pia kwenye muungano wetu!
 
kwakiasi Fulani unafanana , lakini hata muungano waounamatatizo kama ya kwetu, Northern Ireland haitaki kabisa kuwa ktk huo ungano na kule ndiyokwenye street fighting inayoongoz ulaya na niyapili duiani ikifaiwa na south Africa, hata ugomvi na Gadafi ulikuwa ni ufadhili naoutowa kwa majeshi ya uinzani ya northern Ireland. hivyo ni sehemu ya kujifunza
 
[h=2]Zanzibar poised to relax land rules and iron out Armed Forces issue[/h]

quote_icon.png
By Happy Feet
Mfumo wetu ni wa UK almost exactly isipokuwa ZnZ wameachiwa wajiwekee mambo ya kibaguzi katika katiba yao, mfumo wa marekani kwa serikali mbili bado autatui kero za muungano na utazua maswali mengi kuliko majibu ya muungano kwenye checks za serikali.

hatu po sawa na uk kwa kuwa sisi tuna zingumzia happy feet akiwa raisi basi makamu awe august, mambo ya ubalozi nayo yana nungunikiwa wataka kuwe sawa au uwiano fulani uk hakuna kitu kama hiko, wizara na mawaziri sisi tuna kitu tunaita uwiano, uk hawana zaidi ya kufuata merits, kwamba ajira na career progression ni juhudi zako ili uwe waziri, katibu mkuu , balozi, tarishi mjeshi polisi nk na zaidi ya hapo wana nafasi zaidi kwenye serikali ya zanzibar au baraza la mapinduzi, je wabara au mtanganyika ana nafasi gani za ziada. mpaka issue ya kupokezana vijiti? this is out out of fairness if we talk about being fair to each other.​
 
haya mambo ya muungano bwana, miaka 50 sasa bado wananchi maisha magumu wanaoneemeka ni viongozi. hata wakija na serekali 5 kwangu mimi sio tatizo bali tatizo langu ni wananchi kuwa masikini. wananchi tunataka tupate huduma nzuri kama maji malazi elimu na mengineyo. watu teumejikita katika muungano mpaka tumesahau na mambo ya msingi kwa binadamu wa tanzania. kama ni muungano tuwe na serik,ali moja kwa sababu hii serikali mbili ya sasa imefanya nini?, najua mtasema wamejenga barabara, wamebaresha na kubolesha huduma za jamii. kumbe hata kama tanganyika ingekuwepo naamini wangefanya hivyohivyo vya kubolesha huduma za jamii kwani ndio kazi ya serekali. so kwa serekali moja naunga mkono ila kwa hii ya sasa tunazinguana labda hii ya walioba kunaweza kukawa na jipya.
 
Mkuu Funza,
Hayo ni majina tu, Tanzania tunaita rais na ni mtendaji, wa wana Malkia ambaye sio mtendaji na badala yake wana Prime Minister ambaye ni mtendaji hiyoni kwa UK.

Kwa nchi washiriki wana First Ministers na sio PM.

Pia badala y wizara ya Muungano wao wana wizara za Wales, Scotlad na Nothern Ireland.

Kwa asimia kubwa muundo wa TZ ndio huo huo wa UK.

Tofauti ipo kwani Muungano wa Uk Nchi zinaongozwa na Mawaziri wakuu England yupo waziri Mkuu Pia wales Scotland na Ireland wapo Mawaziri wakuu Wakiongozwa na Malikia mmoja tu Hawana Marais na makamu wa Rais wengi wala Wizara za Muungano wala Wachache kuwameza wengi kiujanja Muungano wao Upo kisayansi Zaidi . Tambua Huu Muungano wetu ni Muungano wa kipekee haupo Duniani popote ni Muungano Ghari sana kuuendesha kwani ZNZ kuna Rais makamu wa kwanza na wa pili na baraza la mawaziri kisha wabunge wengi sana ktk Nchi ndogo sana Pia Tanganyika kuna Rais makamu wake na Waziri Mkuu Pia baraza la mawaziri huku kukiwa na Wizara ya Muungano ambayo haipo kokote Duniani Tambua pato la Taifa kwa 98% linapatikana Tanganyika lakini kwenye Matumizi pande zote wanakaribiana sawa kwani Wazanzibar ni wajanja zaidi ya Watanganyika wao wamewekeza kwenye ubunge uwaziri na uongozi wanakula wakishiba wanaendelea kulalamika tu ili kuwapumbaza watanganyika
 
UKWELI UNAUMA

WEWE NI KIJANA WA VIJIWE VYA CHADEMA ??? MBEGE IMEKUZIDI ??

NCHI GANI YA ULAYA INACHAGULIWA KIONGOZI WAKE KUTOKA NCHI JIRANI ???

UKWELI HUU HAUPINGIKI MPKA MWISHO WA DUNIA

Baada Nyerere kuivamia zanzibar january 1964 , aliwakamata mawaziri wote pamoja na waziri mkuu wa zanzibar na kuwafunga jela za tanganyika , kabla ya huo aliouita muungano

jee hapa kuna muungano wa nchi mbili au
Hii kitu haiwezi kuwa milele ,

Tanganyika iwaombe radhi wazanzibari na kuwaachia waangalie wenyewe wafanye nini na sio kukaa dodoma na kujipakazia katiba mpya
napenda kuuliza hivi nyerere alikuwa kiongozi wa chadema, naona chuki za wazanzibar dhidi ya muungano zinaelekezwa chadema, huku wakiendelea kuishangilia ccm kwa kuichagua?
 
Muundo Wa Serikali Tatu Ndio Unafaa Ili Kuondoa Manun'guniko Kwa Tanganyika Na Zanzibar
 
Kama serikali tatu itapita basi uwezekano wa Mungano kuvunjika ni mkubwa Sana
 
Back
Top Bottom