Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Buyungu Kigoma.Mi nadhani kama ametubu mpokeani, pia mbona Lowasa, Sumaye, Membe, n.k wote wamerudi CCM? ni mambo ya kawaida kwenye mapambano
Hata akipewe uongozi sioni shida, mbona Friend Lowasa ni mbunge?Aachwe arejee lakini asipewe nafasi yoyote ya uongozi. Yeye kazi yake iwe kubeba briefcase za viongozi.
Mleta mada anatokea Konde, Tukuyu!Chadema acheni uanaarakati, kama kijana karudi msimsimabge
Naunga mkono hojaChadema acheni uanaarakati, kama kijana karudi na amekiri kafanya kosa msimsimange, mpokeeni na muwakaribishe wengine chama kiwe kikubwa zaidi
CCM wanakimbia na wanarudi bila kusimangwa,
Huwa nakuunga mambo mengi kwa hili hapana, kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu, Halima, Ester wapo wapi? na wanaweza kurudiHawa vijana waliondoka CHADEMA wenyewe kwa kununuliwa baada ya kushawishiwa , huku wengine wakihamia ccm baada ya vitisho, yeyote anayeogopa vitisho vya watawala hafai kwenye siasa za upinzani...
Lakini atakuwa ameongeza kituDogo kaanza " umalaya" mapema sana mpaka afikie 40+ atakuwa amehama sana,maana atafika chadema ataona hana thamani kama ya mwanzo atahama tena.........
Yap tena inalipa vibaya snHivi hawa watu huwa ajira yao ni siasa pekee?
Kwakina Mwasakafyuku?Mleta mada anatokea Konde, Tukuyu!
Alisharudi kitambo sn, ingia Twitter utaona, hapa huku Rombo mkuu anashinda ofisi za CHADEMABuyungu Kigoma.
Sasa tuwasubiri na akina Selasini. Komu nk.....nk!