Kurejea kwa Elia F. Michael, CHADEMA iwe makini

Kurejea kwa Elia F. Michael, CHADEMA iwe makini

Chadema acheni uanaharakati, kama kijana karudi na amekiri kafanya kosa msimsimange, mpokeeni na muwakaribishe wengine chama kiwe kikubwa zaidi, ndio siasa zilivyo
Mkianza kusimanga wanaorudi, wengine hawatarudi

CCM wanakimbia na wanarudi bila kusimangwa, wawaambia karibu nyumbani, wanajua siasa ni watu

Ccm lazima wawapokee maana wanajua chama chao kimepoteza ushawishi kwa umma. Siku ccm ikitoka madarakani ndio utajua msimamo wao halisi kwa hao wahamaji. Hatukatai wao kurudi chamani, lakini vyeo wasubiri hadi miaka 7+ watu wapime uvumilivu wao. Ni tatizo kuwa na watu ambao wakikutana na dhoruba wanahama, kisha wanaenda kutumika kwenye propaganda za kukichafua chama.
 
Mkuu mimi natokea Kajunjumele Kyela
Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa Gwarama msomi wa UDMS baada ya kuachana chadema Leo amekuja kukiuwa na kukizika jumla hapa Gwarama katani na ujumbe umesambaa Kakonko nzima sasa wananchi wanaondoa vibendela vyote na chadema ndio mwisho wake wilayana Kakonko

Wanainchi wameeita zawadi ya sijui za mwisho wa mwaka

Onyo: ukifika Kakonko usipanue vidole juu huku sasa ni ccm na maendeleo sio muda wa kudai demokrasia

USSR
IMG-20191222-WA0009.jpeg

IMG-20191222-WA0011.jpeg

IMG-20191222-WA0007.jpeg

IMG-20191222-WA0010.jpeg

IMG-20191222-WA0011.jpeg

IMG-20191222-WA0006.jpeg

halafu mnampokea kwa mbwembwe kwakweli mbowe hakuna kitu hapo mnapigwa na kitu kizito
 
Katika Siasa hakuna Adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu.

Japo Mwl Nyerere aliwavatiza jina flan watu hao
 
Ccm lazima wawapokee maana wanajua chama chao kimepoteza ushawishi kwa umma. Siku ccm ikitoka madarakani ndio utajua msimamo wao halisi kwa hao wahamaji. Hatukatai wao kurudi chamani, lakini vyeo wasubiri hadi miaka 7+ watu wapime uvumilivu wao. Ni tatizo kuwa na watu ambao wakikutana na dhoruba wanahama, kisha wanaenda kutumika kwenye propaganda za kukichafua chama.
usitegemee siku ccm kutoka madarakani ila tegemea kuwa mpinzani mpaka dunia inaisha
 
Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa Gwarama msomi wa UDMS baada ya kuachana chadema Leo amekuja kukiuwa na kukizika jumla hapa Gwarama katani na ujumbe umesambaa Kakonko nzima sasa wananchi wanaondoa vibendela vyote na chadema ndio mwisho wake wilayana Kakonko

Wanainchi wameeita zawadi ya sijui za mwisho wa mwaka

Onyo: ukifika Kakonko usipanue vidole juu huku sasa ni ccm na maendeleo sio muda wa kudai demokrasia

USSR
IMG-20191222-WA0009.jpeg

IMG-20191222-WA0011.jpeg

IMG-20191222-WA0007.jpeg

IMG-20191222-WA0010.jpeg

IMG-20191222-WA0011.jpeg

IMG-20191222-WA0006.jpeg

halafu mnampokea kwa mbwembwe kwakweli mbowe hakuna kitu hapo mnapigwa na kitu kizito
Ni wapi alipopokelewa kwa mbwembwe , na Je alifanikiwa kuua chadema Kakonko ?
 
Vijana wengi ni wepesi kukata tamaa baada ya vitisho na ahadi ya uongozi.baada ya kuona ccm imerudi kwa wenyewe wahamiaji wengi wamebaki wakiwa hata wale waliowashawishi waunge juhudi kwa sasa hawana nguvu yoyote ya kimaamuzi CHADEMA iwapokee ila iwape tahadhali ikiwezekana wasipewe nafasi ya uongozi.
 
Back
Top Bottom