Kurejea kwa Elia F. Michael, CHADEMA iwe makini

Kurejea kwa Elia F. Michael, CHADEMA iwe makini

Ni wapi alipopokelewa kwa mbwembwe , na Je alifanikiwa kuua chadema Kakonko ?
aliiua na sasa mnakula matapishi aliwatapika sasa mnamrudia tena na uongozi mtampa maana kwenu hakuna watu wenye akili ya kuwa viongozi mnatia aibu mtu akihamia tu anapewa cheo?
 
Kama mtu unahama Chadema hama ila sio kukihujumu na kukifuta na kung'oa Bendera...
 
Kama mtu unahama Chadema hama ila sio kukihujumu na kukifuta na kung'oa Bendera...
Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa Gwarama msomi wa UDMS baada ya kuachana chadema Leo amekuja kukiuwa na kukizika jumla hapa Gwarama katani na ujumbe umesambaa Kakonko nzima sasa wananchi wanaondoa vibendela vyote na chadema ndio mwisho wake wilayana Kakonko

Wanainchi wameeita zawadi ya sijui za mwisho wa mwaka

Onyo: ukifika Kakonko usipanue vidole juu huku sasa ni ccm na maendeleo sio muda wa kudai demokrasia

USSR
IMG-20191222-WA0009.jpeg


IMG-20191222-WA0011.jpeg


IMG-20191222-WA0007.jpeg


IMG-20191222-WA0010.jpeg


IMG-20191222-WA0011.jpeg


IMG-20191222-WA0006.jpeg
 
Kabisa mkuu. Kwa nionavyo mupo watu mnakipigania chama hata iwe Magufuli au bashite hamkuogopa, bado mkabaki mmesimama kwenye mstari kwa ajili ya uhai wa chama. Japo sijajua wewe ni Mnyika au ni nani kwenye chama. Ila unastahiri pongezi mkuu
 
Sema dogo hajawahi kuwa na siasa za kashfa na matusi kama wanasiasa wengine wanaohama walikotoka...

Isitoshe dogo alikuwa kwenye shinikizo kubwa sana kulingana na nguvu ya ushawishi aliyokuwa nayo ndani ya Chadema.
 
Kama walivyoongea wengine msimkatalie mtu kuja kwenye chama. Ndio uhai wa chama. Wakaribisheni tu,ila anakuwa chini ya uangalizi kwa muda fulani
 
na chadema anarudi kutafuta cheo kuonyesha kuwa chadema hakuna watu watampa cheo

Cdm hakuna watu wakati alikuwa cdm akaahidiwa na shetani kupewa fahari ya dunia hii? Saa hii shetani yuko ahera madukani ameamua mwenyewe kurudi chama la wana, maana ameona huko cha la wazee hakuna vibe kabisa zaidi ya kutegemea vyombo vya dola.
 
Kama walivyoongea wengine msimkatalie mtu kuja kwenye chama. Ndio uhai wa chama. Wakaribisheni tu,ila anakuwa chini ya uangalizi kwa muda fulani

Kabisa, arejee na kazi yake iwe kujenga chama, na akawaeleze hao wananchi kilichomfanya akubali ahadi za shetani. Halafu cheo asubiri miaka mitano ipite kama sehemu ya kitubio.
 
Katambi naye ajiandae tu kurudi alikotoka baada ya 2025.

Walioukwaa ubunge kwa style ya "Baba kanituma" baada ya kuanguka kwenye kura za maoni wajiandae.

Kigwangala yeye ililazimika kuundiwa jimbo jipya kumuokoa na kimbunga cha Bashe.
 
Ccm lazima wawapokee maana wanajua chama chao kimepoteza ushawishi kwa umma. Siku ccm ikitoka madarakani ndio utajua msimamo wao halisi kwa hao wahamaji. Hatukatai wao kurudi chamani, lakini vyeo wasubiri hadi miaka 7+ watu wapime uvumilivu wao. Ni tatizo kuwa na watu ambao wakikutana na dhoruba wanahama, kisha wanaenda kutumika kwenye propaganda za kukichafua chama.
Chadema mkitegemea hizi siasa zenye uaminifu kama kwenye ndoa, mtasubiri sana....Wanasiasa wote wanaongozwa kwa maslahi kwanza, itikadi ndio inafuata, mwanasiasa hatajiunga na chama kama akiona hiki chama hakina possibility ya kumpa ushindi, hata kama ndio chenye itikadi yake.. Chadema wenyewe waliona kulijua hilo kipindi kile walipomchukua Lowassa na kumpa agombee urais badala ya Slaa

Na CCM bado ina ushawishi mkubwa tu, inatumia vyombo na taaisi karibu zote kufanya propaganda zake na wananchi wengi bado wanashawishika.

na hapa mnaposema CCM haina kabisa ushawishi ndipo Chadema mnafanya kosa kubwa, la kui underestimate CCM, mnajioa mna ushawishi sana na CCM haina ushawishi, matokeoa yake mkienda kwenye uchaguzi mnapigwa, mkiitisha maandamano hakuna anayekuja, mkiaznisha join the chain ndio hiyo inasuasua... Jengeni chama kwa kuvutia watu wote, wawe moderate au msimamo mkali, mkitaka extremists tu, mtakuwa nao kule Twitter na JF, sio mtaani
 
Hata kama umegeuzwa tambala la deki changanya na zako kwa kufikiri mara mbili juu ya mizania ya hoja.

Hivi kweli umejiridhisha na kuona ni vijana wangapi kutoka chadema walioenda ccm na kupewa vyeo?

Nikukumbushe wachache tu, Dr mihogo, mashinji, silinde, lijualikali, mkosamali, waitara, katambi, naiabu waziri michezo, na wengine wengi.

Ok baada ya mifano hiyo tuoneshe idadi ya waliotoka ccm kwenda cdm na kupewa vyeo ili tulinganishe.

Kama hauna au idadi ikiwa ndogo basi wewe ndiye utakuwa hauna akili na utakuwa miongoni mwa utafiti wa TWAWEZA.
aliiua na sasa mnakula matapishi aliwatapika sasa mnamrudia tena na uongozi mtampa maana kwenu hakuna watu wenye akili ya kuwa viongozi mnatia aibu mtu akihamia tu anapewa cheo?
 
Back
Top Bottom