Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Awe mwanachama wa kawaida kama wengine walioko vijijini
Kwa nini awe karibu na viongozi au office za chama?
Hamjifunzi bado
Hana la kuongeza ktk chama zaidi ya kuharibu mbona hamuelewi?
Who the lleh is he?
Why mna pa promo kiasi hiki?
Msaliti ni msaliti period!
Sawa naheshimu msimamo wako, ila maamuzi ni ya wengi. Watakachoamua ndio kitakachokuwa hata kama mimi na ww hatupendi.