Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa nchini nani kufaidika zaidi kati ya CCM na vyama vya upinzani?

Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa nchini nani kufaidika zaidi kati ya CCM na vyama vya upinzani?

Kwa hofu hiyo ya mikutano ya kisiasa nchini, CCM badala kujiandaa kunadi sera, maono na mipango yake wao wanachosubiri ni kujibu hoja za CHADEMA tena kupitia kikundi cha watu wanaojiita chawa wa mama!
Yuko wapi Cyprian Musiba ?!?
Ajitokeze awaombe waTanzania msamaha sivyo imemtafuna ajielewe
 
Upuuzi mtupu.
Siyo kila sheria iko sahihi na imejazwa haki.
Mfano.
Sheria za environmental zina piga marufuku Nyerere damu, Lakini zinayaacha mabwawa ya Owen yakiharibu mazingira.

Sheria zinaruhusu uwepo wa wauaji ili police wakalinde. Wasipolinda sheria inawatia hatiani.

Kwanini usivunje sheria kuondoa wauaji (Chadema) ili police na RAIA waishi kwa amani?

Amani hii tumeisherekea kwa hakuna mauaji ya mabomu na maandamano ( RIP -mwanachuo wetu) karibu mauaji chini ya SAMIA regime.
Contribution from a low brain.
 
Pambaneni sasa, mikutano kila uchao na maandamano usiku kucha, tuone kama mtalima na kupanda kabla ya mvua hazijakata Feb.
Kama una hoja njoo uonyeshe hekari za mpunga utakazo panda na kuvuna kwa mikutano ya kisiasa
Umewahi kusikia kuna mtu amekuwa maskini au kulala njaa kwa sababu ya mikutano? Kama ingekuwa kweli maneno yako, basi CCM wangekuwa maskini kabusa maana wao wakati wote wanafanya mikutano mahali popote tena bila ya vibali vya polisi.
 
Pambaneni sasa, mikutano kila uchao na maandamano usiku kucha, tuone kama mtalima na kupanda kabla ya mvua hazijakata Feb.
Kama una hoja njoo uonyeshe hekari za mpunga utakazo panda na kuvuna kwa mikutano ya kisiasa

CCM wao huwa wanafanyia mikutano yao kwenye mashamba ya mpunga? Ww ni baadhi ya wañaccm wenye uwezo mdogo mliofaidika na mbeleko ya utawala wa kidhalimu wa Magufuli. Sasa utakula ulipopeleka mboga.
 
CCM wao huwa wanafanyia mikutano yao kwenye mashamba ya mpunga? Ww ni baadhi ya wañaccm wenye uwezo mdogo mliofaidika na mbeleko ya utawala wa kidhalimu wa Magufuli. Sasa utakula ulipopeleka mboga.
Leo mmezuia watu kwenda kupanda viazi , kesho hivyo hivyo , subirini njaa , sisi tuko shamba tunapanda viazi na mihongo... Mjuaji msubiri kwenye msosi , mtakula mikutano na maandamano uchwara.
 
Leo mmezuia watu kwenda kupanda viazi , kesho hivyo hivyo , subirini njaa , sisi tuko shamba tunapanda viazi na mihongo... Mjuaji msubiri kwenye msosi , mtakula mikutano na maandamano uchwara.

Sio kila mtu ni mkulima boss. Hivyo viazi vyenu tutavununua kwa hela yetu tena kwa bei ya kutupwa. Na hakuna ujanja lazima muuviuze kwa bei tutakayo sisi.
 
Ni mapema sana kutoa hitimisho mkuu. Tuwape muda.
Ni bahati mbaya sana this time hatuna upinzani IMARA wangeifumua CCM vibaya.
1. Kutoroshwa rasilimali za Taifa kwenda Arabuni.
2. Inflation na gharama za maisha kuwa juu.
3. Deni la Taifa kupaa bila maelezo ya kujitosheleza.
4. Kifo cha Mwendazake (Hili japo ingeonekana ni kula matapishi yao ila lingewanufaisha sana)
Ni rahisi mno kuipasua TAWALA sasa hivi kulikoni kipindi chochote.
 
Back
Top Bottom