Kusaga kuwepo kwenye sherehe ya Diamond inamaanisha hakuna ugomvi kati ya WCB na Clouds

Insta story ya Diamond itawapa majibu ya kilichojili juu ya Joe hadi kupanda boti yao.
 
Asee watu wanabishana humu hadi wengine wanazimia, kuna mtu nimempita wanampepea huku kashika smartphone me itakua alikua humu kwenye mjadala.
 
Baba wa Joe aliwekeza ktk CMG.Alipofariki mirathi imeifanya CMG kuwa mali ya family hivyo Joe ana sauti tena kama zamani na anasubiri gawio la hisa ,so Joe akaamua kujiongeza kwa kuinvest kivyake vyake! Ruge ni Mwajiriwa wa CMG na sio shareholder.

ruge ni share holder 40% wa CMG na kusaga anamuogopa ruge sana, ruge ndio mwamuzi wa mwisho pale clouds... hata mishahara ya wafanyakazi na kuajiri mfanyakazi anaamua ruge.. na hata kukufukuza staff ruge ndio mwamuzi.. kussga ndio kaanza kujiwekezea wasafi.... haya ni maneno ya dada mange kasema.. hide my id...
 
CMG ni mali ya familia ya akina Kusaga bro.
Kwaio familia ya kusaga ndio wanaugomvi na wasafi na ndio waliopiga pini song's za wasafi na c ruge? Je Kama ni wao hawaoni impact ya hatua hiyo katika business au malengo yao ya kucontrol muziki wa bongo, maana wasafi ndio kila kitu kwenye social media na Mitaani,na ukiwatenga lazima kuna kitu utapungukiwa Kama kampuni ya kiburudani.
 
Baba wa Joe aliwekeza ktk CMG.Alipofariki mirathi imeifanya CMG kuwa mali ya family hivyo Joe ana sauti tena kama zamani na anasubiri gawio la hisa ,so Joe akaamua kujiongeza kwa kuinvest kivyake vyake! Ruge ni Mwajiriwa wa CMG na sio shareholder.

Muajiriwa kawa na jina kubwa hivyo...lazima atakua ana shares pale...
 
Kaka kusaga ndio mmiliki wa hiyo WCB asikudanganye mtu diamond ni Ceremonial leader tu
 
diamond ni share holder pia..... sio mpuuzi yule mtoto wa tandale.. ndio maana hajasoma ila anatotoboa kuliko wasomi
Ana asilimia 9 tu kati ya 100 je nani mmiliki kati kati ya 9% na 91%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…