Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Bora kakangu useme ukweli.Mrs DC ana raha sana.I envy her!
We unaamini watu wanayoyaandika humu ndiyo maisha wanayoishi? 😱😱
Stuka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kakangu useme ukweli.Mrs DC ana raha sana.I envy her!
Uvae Kanga au magauni haijalishi.cha muhimu ujue majukumu na wajibu wako kwenye familia.Mbona kuna nchi wanaume ndo wanavaa magauni na wanawake suruali? ni utamaduni tu.Yeah mwanaume lazima avae suruali bana unataka avae khanga?
Umeniamulia siyo?Kudadadeki! very sweety of you!
Uvae Kanga au magauni haijalishi.cha muhimu ujue majukumu na wajibu wako kwenye familia.Mbona kuna nchi wanaume ndo wanavaa magauni na wanawake suruali? ni utamaduni tu.
hehehehehehhe.Senks.kwa hiyo nachukulia vice versa.wale wanaopinga kufua ndo wafuaji kufuli wakubwa na wale wanaosapoti hawafui.Period.We unaamini watu wanayoyaandika humu ndiyo maisha wanayoishi? 😱😱
Stuka!
ha ha ha Mkuu ivi inakuaje mpaka anakua hajaifua wakati anaoga?then uje ufue wewe!! hii sasa itakua ni mtego tu!!
Hehehe naomba umwambie Mr. ako awe anavaa gauni au khanga na umwambie utamaduni huo uone moto wake kama hujaumuliwa uso huo na kupoteza mapokezi kabisa. Si unampenda na anakujali mwambie uone.[/QUOTE]
Tatizo lako hujanielewa.nimekwambia kuwa " wanaume suruali'' ni msemo wa wale wanaume wasiotaka kuchukua majukumu yao.Ni sawa na kusema "tigo" kwani ni kampuni ya simu pekee? si ina maana nyingine.
btw mr si unamfahamu huyo hapo Xpin umuulize mwenyewe.
Nchi gani?Uvae Kanga au magauni haijalishi.cha muhimu ujue majukumu na wajibu wako kwenye familia.Mbona kuna nchi wanaume ndo wanavaa magauni na wanawake suruali? ni utamaduni tu.
Hili ngoja atakujibu Dark City.hehehehehehhe.Senks.kwa hiyo nachukulia vice versa.wale wanaopinga kufua ndo wafuaji kufuli wakubwa na wale wanaosapoti hawafui.Period.
Dawa yake iko jikoni huyu😕😀😀
huyo unae leo
ukitaka kumkomesha mwanamke MNYIME HAKI YAKE YA MSINGI😀😀Dawa yake iko jikoni huyu😕
Dawa yake iko jikoni huyu😕
ukitaka kumkomesha mwanamke MNYIME HAKI YAKE YA MSINGI😀😀
lazima apige magoti
Hasa hasa kama ulishampa haki anayoipenda na akaifurahiaukitaka kumkomesha mwanamke MNYIME HAKI YAKE YA MSINGI😀😀
lazima apige magoti
Hahaha! Ntaimix na serengeti ya moto! Lazima alale USALULE kwa ndoto.Hehehe leo atakunywa valuu kinguvu kama dawa.
unamnyima siku mbili tatu tu!mwanamke anaeamua kutoka nje mara nyingi huwa anakuwa amevumilia saaaaaaaaaaaaaanaaaaaa,hata miaka mitatu.Dah mkuu usithubutu hili hata siku moja wenzio watakusaidia kumpa haki zote za msingi stuka mpwa.
Nchi gani?
Hili ngoja atakujibu Dark City.
Dawa yake iko jikoni huyu😕
unamnyima siku mbili tatu tu!mwanamke anaeamua kutoka nje mara nyingi huwa anakuwa amevumilia saaaaaaaaaaaaaanaaaaaa,hata miaka mitatu.
...hii unatingisha tu kibiriti😀
Acha tu mkuu ishu nyingine we zione ivi ivi tuu!!Mkuu hili swali linapendeza sana akilijibu Dark City.
Hahahaha! Nimecheka mpaka najisikia kuzimia.
Ngoja nikatafute kavaluu nitulize mzuka.
...hii unatingisha tu kibiriti😀