Kusaidiana kwenye ndoa...

Kusaidiana kwenye ndoa...

Yeah mwanaume lazima avae suruali bana unataka avae khanga?
Uvae Kanga au magauni haijalishi.cha muhimu ujue majukumu na wajibu wako kwenye familia.Mbona kuna nchi wanaume ndo wanavaa magauni na wanawake suruali? ni utamaduni tu.
 
Uvae Kanga au magauni haijalishi.cha muhimu ujue majukumu na wajibu wako kwenye familia.Mbona kuna nchi wanaume ndo wanavaa magauni na wanawake suruali? ni utamaduni tu.

Hehehe naomba umwambie Mr. ako awe anavaa gauni au khanga na umwambie utamaduni huo uone moto wake kama hujaumuliwa uso huo na kupoteza mapokezi kabisa. Si unampenda na anakujali mwambie uone.
 
We unaamini watu wanayoyaandika humu ndiyo maisha wanayoishi? 😱😱
Stuka!
hehehehehehhe.Senks.kwa hiyo nachukulia vice versa.wale wanaopinga kufua ndo wafuaji kufuli wakubwa na wale wanaosapoti hawafui.Period.
 
ha ha ha Mkuu ivi inakuaje mpaka anakua hajaifua wakati anaoga?then uje ufue wewe!! hii sasa itakua ni mtego tu!!

Mkuu hili swali linapendeza sana akilijibu Dark City.
Hahahaha! Nimecheka mpaka najisikia kuzimia.
Ngoja nikatafute kavaluu nitulize mzuka.
 
Hehehe naomba umwambie Mr. ako awe anavaa gauni au khanga na umwambie utamaduni huo uone moto wake kama hujaumuliwa uso huo na kupoteza mapokezi kabisa. Si unampenda na anakujali mwambie uone.[/QUOTE]
Tatizo lako hujanielewa.nimekwambia kuwa " wanaume suruali'' ni msemo wa wale wanaume wasiotaka kuchukua majukumu yao.Ni sawa na kusema "tigo" kwani ni kampuni ya simu pekee? si ina maana nyingine.

btw mr si unamfahamu huyo hapo Xpin umuulize mwenyewe.
 
Nyamayo leo naona kama umejipotezea kiaina na hii topic inakuhusu sana.
 
Uvae Kanga au magauni haijalishi.cha muhimu ujue majukumu na wajibu wako kwenye familia.Mbona kuna nchi wanaume ndo wanavaa magauni na wanawake suruali? ni utamaduni tu.
Nchi gani?
hehehehehehhe.Senks.kwa hiyo nachukulia vice versa.wale wanaopinga kufua ndo wafuaji kufuli wakubwa na wale wanaosapoti hawafui.Period.
Hili ngoja atakujibu Dark City.
😀😀
huyo unae leo
Dawa yake iko jikoni huyu😕
 
ukitaka kumkomesha mwanamke MNYIME HAKI YAKE YA MSINGI😀😀
lazima apige magoti

Dah mkuu usithubutu hili hata siku moja wenzio watakusaidia kumpa haki zote za msingi stuka mpwa.
 
Dah mkuu usithubutu hili hata siku moja wenzio watakusaidia kumpa haki zote za msingi stuka mpwa.
unamnyima siku mbili tatu tu!mwanamke anaeamua kutoka nje mara nyingi huwa anakuwa amevumilia saaaaaaaaaaaaaanaaaaaa,hata miaka mitatu.

...hii unatingisha tu kibiriti😀
 
unamnyima siku mbili tatu tu!mwanamke anaeamua kutoka nje mara nyingi huwa anakuwa amevumilia saaaaaaaaaaaaaanaaaaaa,hata miaka mitatu.

...hii unatingisha tu kibiriti😀

Hahahahaaaa.mnajidanganya,wanawake huwa wanaweza kuvumilia sana hiyo kitu.Ebu niambieni nani huwa anaanzisha mchezo? mwanaume au mwanamke? Mwanamke hata kama anataka anaweza kuuchuna mpka mwanaume aanzishe.Mim nina ushahidi.
 
Mkuu hili swali linapendeza sana akilijibu Dark City.
Hahahaha! Nimecheka mpaka najisikia kuzimia.
Ngoja nikatafute kavaluu nitulize mzuka.
Acha tu mkuu ishu nyingine we zione ivi ivi tuu!!
 
Back
Top Bottom