Hapa;Wapi nimeuliza
It will get worse...kwa mujibu wa maandiko haya ya vitabu vya dini!Kama kwelii mtu unazo Akili Timamu kamwe huwezi kukaa na kuamini eti Israel ni Taifa la Mungu (Mungu huyu wa Kwenye biblia ).
Haya yanayo tokea duniani yanatrigger many questions juu ya Mungu huyu wa Kwenye vitabu vya Dini.
Na haya maswali tuliyonayo, hapa dunia bado hakuna wa kujibu, tuendelee kuishi tuKama kwelii mtu unazo Akili Timamu kamwe huwezi kukaa na kuamini eti Israel ni Taifa la Mungu (Mungu huyu wa Kwenye biblia Labda kma mwengine sawa).
Haya yanayo tokea duniani yanatrigger many questions juu ya Mungu huyu wa Kwenye vitabu vya Dini.
#isome reply yang kwa makini
Kwa hiyo uchokoze uachwe!!???Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! π€ ni uongo mkubwa sana.
Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina?
Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha kuipiga, ila kwa msaada wa Marekani Uingereza na nchi nyingine ndio mana wanaoea majirani zao. Huyo Mungu wa Israel labda atakuwa mzungu.
Dhana hii inatilia shaka kama kuna Mungu ndio maana watu wengi wanaona haiwezekani kuwe na Mungu anaegemea upande mmoja.
Kwa hakika Mungu hana ubaguzi
Matendo 10:34
Wapi nimekuuliza ww?
Dini ya kikristo maana yake ni wafuasi wa Yesu Kristo ambaye yeye mwenyewe ni myahudi, tena siyo myahudi hivi hivi bali ni mfalme wa wayahudi.......kwa hiyo utaona namna ukristo unavyofungamana moja kwa moja na uyahudi.Na pia kuna baadhi ya watu wanafanya makosa makubwa sana kuwafananisha hao Mayahudi na dini ya Kikristo.
Mungu huyu huyu ndiye mungu wa vitaHapa;
Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina?