mrxtz2026
JF-Expert Member
- Jan 24, 2026
- 609
- 1,314
Ibara ya 107A na 107B ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haijasema kuiambia mahakama kwamba inafanya maamuzi yake kwa shinikizo fulani kuwa ni kosa la kikatiba, pia hakuna sheria yeyote inayoweka mipaka kwenye hilo.
Changamoto kuu ni kwamba taifa letu halina mamlaka maalumu yenye jukumu la usimamizi wa misingi ya kitaifa ndio maana mahakama zinafanya kazi kwa mashinikizo, na hapo ndipo pendekezo langu la katiba linaingia kwamba Napendekeza tuwe na Mihimili minne ya kitaifa, yaani.
1. Baraza la Usimamizi wa Taifa
2. Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
3. Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania
4. Mahakama ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Muundo huu unakamilisha uwazi, usawa na udhibiti wa nguvu za kikatiba za mihimili yote maana baraza linasimamia misingi ya kitaifa yote.
Rasimu kamili hipo kwenye tovuti ya www.katibampya.com