Kusema Majaji ni maCCM ndiyo kauli mbaya kuliko zote kwenye kesi ya Mh. Lissu

Kama mahakama yenyewe haijioneshi kuwa huru si kosa la Lissu kuonesha kuwa mahakama zetu si huru tena.
Kuna jaji Agustino Ramadhan aliwahi kugombea kiti cha urais akiwa CCM, hii ina support hoja yake! Hali hii ya ukweli inaweza kuliponya taifa ingawa inaweza kuwa siyo majaji wote, ila kuna tatizo la Capture of the State.
 
Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.

Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.

Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.

Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.

Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Mpigie simu ROSTAN Muulize jinsi simu zinavyofanya maamuzi atakuambia, umeshahu kesi ya Mwabukusi kule Mbeya kuhusu dipiwedi?
 
Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.

Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.

Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.

Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.

Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
😂😂 sio kesi ya ugaidi tena bali ya kuita majaji maccm? Je ile kauli ya Rostam kuwa mahakama ni za simu moja, Rostam atafutiwa uraia?
 
Kama Mahakama sio huru, ebu nijibu yafuatayo;
a) Kwanini Lissu aliendelea kuwa Afisa wa Mahakama Kuu akijiua si huru na Majaji wake ni Ma CCM?
b) Kwanini Lissu anakubali kujitetea kwenye Mahakama yenye Majaji Ma CCM na mashahidi wake akina Mnyika, Golugwa, Brenda Rupia na Heche wanakubali kutoa ushahidi kwenye Mahakama yenye Majaji Ma CCM?
Kwa hiyo asitetee watu wala kujitetea right? Una maana hiyo si ndio? Huwezi kundoa dhulma bila kupambana.
 
Kama mahakama ni kweli iko hivyo na ushahidi wanao kwanini hawakufungua kesi ya Kikatiba? Yaana unataka kutuambia kama chadema ikiingia madarakani leo itakuja na majaji, askari na watendaji wao wapya kabisa?
Watumishi watakuwapo wengi tu,humo humo kwenye utumishi na nje ya hapo.Vijana wamesoma baada ya juhudi za kufuta Ujinga kufanyika kwa scale tunazoambiwa.Credit kwa Watanganyika kwa kufanya kazi na kulipia Kodi zetu tumeboresha Elimu.
Baniani mbaya...
 
Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.

Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.

Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.

Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.

Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.

Kwanza hiyo kauli haihusiani na kesi inayoendelea mahakamani.

Pili, hiyo statement ni ya kweli na aliyethibitisha ni Jaji Mkuu mstaafu Agustino Ramadhani (RIP). Wakati anagombea Urais 2015 aliadai alipata kadi ya CCM 1977.
 
Si ataomba radhi na kusema ulimi uliteleza kama huyu..

rostam kajaji.jpg
 
Ni haki yake kama hajavunja Sheria

Mfano nakupeleka tu jiran apo Kenya

Kutana na Jaji Mkuu David Maraga
Uyu Jaji kaingia kwenye historia baada kuyafuta Matokeo ya Urais Mahakamani
Wagombea wakuu walikuwa Uhuru Kenyata na Rip Odinga

Tume ya Uchaguzi ikamtangaza Uhuru Kenyata kashinda Uchaguzi

Odinga akapinga matokeo akaenda
Mahakama kuu
Chini ya Jaji Mkuu Devid Maraga

Maraga akayatengua Matokeo yaliompa Ushindi Uhuru Kenyata👈
na kuagiza Uchaguzi wa Urais urudiwe Upya ndani
ya miezi 3👈

Ukarudiwa Uchaguzi lkn mshangao Odinga kasusa marudio👈
ivyo Uhuru
Kenyata akashinda tena ✅️

1) Pesa za Wakenya zikatumika vibaya kuaandaa Uchaguzi lkn mgombea mpinzani Odinga
kasusa✍️

2) DEVID Maraga kwasasa yupo Chama cha Upinzani pale KENYA

Mbona hamshangai Kumbe alikuwa na chembe chembe za Upinzani wkt alikuwa Chief Justice wa KENYA ✍️
Wapinzani wetu ni wapuuzi, bado tuna safari ndefu kwenye siasa za upinzani. CCM ilikuwepo tangu nchi ipate uhuru, imeenea nchi nzima kuanzia kwenye vitongoji hadi kwenye majiji.
Kila kitongoji kina mjumbe wa nyumba 10 wa CCM na ofisi. Hivi utampata mtu gani ambae sio CCM?. Hata walioko vyama vya upinzani chadema, CUF, AZT wengi wana kadi za CCM na ndio maana ni rahisi kwao kurudi tena CCM wakati wowote.

CCM ni kama Simba au Yanga nchi hii, huwezi kumpata kiongozi wa serikali, siasa au mpira ambae sio Simba au Yanga.

Chadema ya Lissu inazo sifa zote za kufutwa kwenye daftari.
 
Kuna jaji Agustino Ramadhan aliwahi kugombea kiti cha urais akiwa CCM, hii ina support hoja yake! Hali hii ya ukweli inaweza kuliponya taifa ingawa inaweza kuwa siyo majaji wote, ila kuna tatizo la Capture of the State.
Alivunja Katiba? shida yenu nyinyi hamsomi katiba mnaropoka tu mnavyojisikia kuropoka bila kuzingatia sheria mama na sheria nyingine. Utawala wa sheria unakutaka kama unaona jambo sio sawa kwa mujibu wa katiba na sheria uende mahakamani ukalilalamikie jambo hilo. Kama majaji ni maCCM jambo hilo lililamikiwa wapi? na je, ni kosa jaji kuwa mwanachama wa CCM, chadema au ACT kwa mujibu wa sheria zetu?
 
Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.

Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.

Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.

Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.

Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Kwani wanafata ilani ya chama gani?
 
Kuna jaji Agustino Ramadhan aliwahi kugombea kiti cha urais akiwa CCM, hii ina support hoja yake! Hali hii ya ukweli inaweza kuliponya taifa ingawa inaweza kuwa siyo majaji wote, ila kuna tatizo la Capture of the State.
Mtu akishakuwa Jaji hatakiwi kugombea urais? Mtu akiwa mwanachama wa simba hatakiwi kuwa rais wa TFF? Katiba inasemaje?
 
Kwanza hiyo kauli haihusiani na kesi inayoendelea mahakamani.

Pili, hiyo statement ni ya kweli na aliyethibitisha ni Jaji Mkuu mstaafu Agustino Ramadhani (RIP). Wakati anagombea Urais 2015 aliadai alipata kadi ya CCM 1977.
Kwahiyo kama kaka yako ni shoga moja kwa moja hata wewe ni shoga pia?
 
Tuassume umezaliwa juzi usiku au umekuja Tz juzi asubuhi, sikiliza ushahidi wa Heche wa jana, inaonesha ukweli wa kauli ya Lissu 💯

Mashahidi wapo chini ya kiapo.

Mawakili was serikali wana randa randa vituo vya polisi pindi wapinzani wakikamatwa kiholela, nini hii?
 
Back
Top Bottom