cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Mhe. Paul Makonda aliwahi kuwaambia wananchi wasikimbilie mahakamani wanaweza wasipate haki yao. Alikuwa sahihi
Si anajua ukweli wote ulivyo.
Mhe. Paul Makonda aliwahi kuwaambia wananchi wasikimbilie mahakamani wanaweza wasipate haki yao. Alikuwa sahihi
Lissu ni mwanasheria nguli mwenye passport na familia yake haipo nchini, aipime kauli yake hiyo ina maana gani kwa wale wasiokuwa na passpprt na maisha yao yote na familia zao yako humuhumu tz. Ni kauli mbaya sana kuwaaminisha watanzania kuwa njia ya mahakamani haifai tena huku akijua anaongopa. Bila mahakama kweli watu wangeweza kushinda, kulala na kuamka salama kweli nchi nzima? Bila mahakama kutenda kazi zake kweli mtoto angezaliwa na kuzeekea tanzania bila kufirwa, kubakwa na wahuni? Kazi zingefanyika kweli? Chadema ofisi zao zingekuwa salama kweli?.
Kesi nyingi za wapinzani huwa zinafutwa kwasababu ya kudumisha mshikamano wa kitaifa tu, lakini sio kwamba zinafutwa au kuondolewa mahakamani kwakuwa walibambikiwa. Kwa mujibu wa Katiba na sheria zetu huwa wanavunja sheria kweli.
Sasa uongo ni upi hapo men?. Ili uwe judge lazima uteuliwe na Raisi lazima file lako lipitiwe kama ni kada mtiifuMashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
CCM hamjawahi kushinda uchaguzi ni wizi tuu na kutumia mfano wa menu kama Trump unaonyesha ulivyo buyu huko kichwaniHAta Trump alikuwa akilalamikia mahaka yao kumbambikia kesi lakini hakusema majaji ni democrats. Kosa la viongozi wa chadema ni kutaka kuwaaminisha vijana kuwa hali mbaya iko Tanzania tu na wao ndio watakaoiweka sawa wakienda Ikulu. Yaani kwenda Ikulu kwa ulaghai bila sera.
Kama hatutakuwa very strong dhidi ya ulaghai wa aina huu nchi yetu haitatawalika na tutainguza moto yoote kabisa. Kaka hatutafanya kitu sasa tutajikuta tumechelewa sana.
Majaji ni maccm kwani hapo kuna uhaini?Kama Mahakama sio huru, ebu nijibu yafuatayo;
a) Kwanini Lissu aliendelea kuwa Afisa wa Mahakama Kuu akijiua si huru na Majaji wake ni Ma CCM?
b) Kwanini Lissu anakubali kujitetea kwenye Mahakama yenye Majaji Ma CCM na mashahidi wake akina Mnyika, Golugwa, Brenda Rupia na Heche wanakubali kutoa ushahidi kwenye Mahakama yenye Majaji Ma CCM?
Ahahahahaha! Unatumia "akili kubwa" kujenga hoja sio! Ahahahahaha!!Kwa hiyo asitetee watu wala kujitetea right? Una maana hiyo si ndio? Huwezi kundoa dhulma bila kupambana.
Apeleke mahakamani kama ameona kuna ukiukwaji umefanywa. Utawala wa sheria unataka hivyoWarioba aliuliza kwa nini hakuna mgombea wa CCM anae enguliwa na Tume Huru ya Uchaguzi wakati wa uchaguzi? Na tumeona kuwa watendaji wake wakichukua fomu za kugombea ubunge kwa upande wa CCM. Na tumemsikia Mtendaji wake Mkuu akivinanga vyama vya upinzani kuwa ni vya "bla bla". Mtu akisema kuwa viongozi wake wengi ni CCM atakuwa amekosea?
Amandla...
Rostam ni nani hadi awe rejeo lako? kwangu mm ni raia kama raia mwingine, hiyo haiwezi kuhalalisha kutoa a general statement ya majaji ni maCCM. Lengo la statement hii kuwafanya watu watafasiri kwa namna watakavyoona wao; wako ambao wataacha kwenda mahakamani kudai haki zao na wako ambao watajichukulia sheria mikononi mwao kwa waliowakosea na kwa wanasiasa na wafuasi wao wako ambao watataka kuiondoa serikali ya CCM na CCM na majiji: hivyo kumuondoa Rais, na hivyo basi kufanya uhaini!!!.Mpigie simu ROSTAN Muulize jinsi simu zinavyofanya maamuzi atakuambia, umeshahu kesi ya Mwabukusi kule Mbeya kuhusu dipiwedi?
Kwenye katiba ni ibara gani inasema jaji lazima awe na kadi ya CCM? Lakini Lissu akiwa Rais (Mungu apishie mbali) unadhani Jaji Mkuu atakuwa mwanachama wa chama gani? Ni ibara gani inasema mtu akishakuwa jaji haruhusiwi kuwa Rais wa tanzania?Kwani uongo , kwamba majaji sio maccm?
Nikuulize wewe 1991 kurudi nyuma chuoni ukiingia huulizwi kadi ya CCM?.
Baada ya 1991 ni majaji wangapi wa umri wa sawa na Lissu walirejesha kadi za CCM na kufanya declaration kuwa sio wanachama.
Mlezi wa mahakama kimkoa ni mkuu wa mkoa hii alianzisha Magufuli.
Mkuu wa mkoa ni mteule wa mwenyekiti wa CCM na pia ni kada wa CCM hivyo anaweza kupindisha maamuzi aidha kwa simu ya boss wake au kwa kuona chama chake kinaguswa maslahi yake.
Mimi nilikuwa mkosoaji mkubwa wa waliomfanya Lissu awe mkimbizi. Kwa hali hii sasa ndio najua walimaanisha nini. Lissu hakubali kila kitu, anakosoa kila kitu, hapendi kila kitu, analalamikia kila kitu na anapinga kila kitu. Hakuna mzazi, kiongozi, ndugu au rafiki atapenda hilo. Anapinga bila kutoa njia mbadala. Njia mbadala kwake ni yeye kwenda Ikulu!! Nyoooooo!!Kwani uongo , kwamba majaji sio maccm?
Nikuulize wewe 1991 kurudi nyuma chuoni ukiingia huulizwi kadi ya CCM?.
Baada ya 1991 ni majaji wangapi wa umri wa sawa na Lissu walirejesha kadi za CCM na kufanya declaration kuwa sio wanachama.
Mlezi wa mahakama kimkoa ni mkuu wa mkoa hii alianzisha Magufuli.
Mkuu wa mkoa ni mteule wa mwenyekiti wa CCM na pia ni kada wa CCM hivyo anaweza kupindisha maamuzi aidha kwa simu ya boss wake au kwa kuona chama chake kinaguswa maslahi yake.
Lissu ni mwanasheria nguli mwenye passport na familia yake haipo nchini, aipime kauli yake hiyo ina maana gani kwa wale wasiokuwa na passpprt na maisha yao yote na familia zao yako humuhumu tz. Ni kauli mbaya sana kuwaaminisha watanzania kuwa njia ya mahakamani haifai tena huku akijua anaongopa. Bila mahakama kweli watu wangeweza kushinda, kulala na kuamka salama kweli nchi nzima? Bila mahakama kutenda kazi zake kweli mtoto angezaliwa na kuzeekea tanzania bila kufirwa, kubakwa na wahuni? Kazi zingefanyika kweli? Chadema ofisi zao zingekuwa salama kweli?.
Kwenye katiba ni ibara gani inasema jaji lazima awe na kadi ya CCM? Lakini Lissu akiwa Rais (Mungu apishie mbali) unadhani Jaji Mkuu atakuwa mwanachama wa chama gani? Ni ibara gani inasema mtu akishakuwa jaji haruhusiwi kuwa Rais wa tanzania?
Wewe ni mgeni Jerusalem.Rostam ni nani hadi awe rejeo lako? kwangu mm ni raia kama raia mwingine, hiyo haiwezi kuhalalisha kutoa a general statement ya majaji ni maCCM. Lengo la statement hii kuwafanya watu watafasiri kwa namna watakavyoona wao; wako ambao wataacha kwenda mahakamani kudai haki zao na wako ambao watajichukulia sheria mikononi mwao kwa waliowakosea na kwa wanasiasa na wafuasi wao wako ambao watataka kuiondoa serikali ya CCM na CCM na majiji: hivyo kumuondoa Rais, na hivyo basi kufanya uhaini!!!.