Kusema Majaji ni maCCM ndiyo kauli mbaya kuliko zote kwenye kesi ya Mh. Lissu

Kusema Majaji ni maCCM ndiyo kauli mbaya kuliko zote kwenye kesi ya Mh. Lissu

Mimi nilikuwa mkosoaji mkubwa wa waliomfanya Lissu awe mkimbizi. Kwa hali hii sasa ndio najua walimaanisha nini. Lissu hakubali kila kitu, anakosoa kila kitu, hapendi kila kitu, analalamikia kila kitu na anapinga kila kitu. Hakuna mzazi, kiongozi, ndugu au rafiki atapenda hilo. Anapinga bila kutoa njia mbadala. Njia mbadala kwake ni yeye kwenda Ikulu!! Nyoooooo!!

Nadhani hata Rais Samia anajilaumu sana sasa hivi kwa kujifanya yeye anajua kuliko magufuli.

Awa nyumbu nyumbu kweli kweli Jamaaa vichwani watupu
Wanadhani Watanzania bado ni Wajinga wajinga❗️❗️
 
MAJAJI wakimaliza muda wao wa Ujaji 👈

wanabaki na Haki ya kutafuta fursa zengine
Popote iwe Upinzani au Chama Tawala 👈

kufanya kazi zengine zenye kuwapatia kipato halali ✅️
Lakini inabidi ujue ili upewe nafasi ya kisiasa kwenye serikali lazima uwe ni mwanachama wa hiko Chama
 
Typical akili za kiCCM zero reasoning mnaficha kichwa kwenye mchanga mnaacha mwili juu mkifikiri hamuonekani.

Mimi sijaongelea katiba popote nimeeleza mfumo wa chama kimoja alioasisi Nyerere 1965 hadi 1991 , mtu alipokua akiingia chuoni kadi ya CCM ni moja ya vitu vilivyokua vinatakiwa kama kiambatanisho.

Hata jeshi ni 1993 ndio waliondoa makamisaa wa dawati la siasa, tukija katika katiba ndio maana tunataka iwe mpya maana katika hii ni mbovu kwa sababu kimuundo ni katiba ya chama kimoja na iliandikwa na makada 12 wa CCM kwa kutumia utashi wao vyote hivi unavyoona vimeongezeka kuhusu upinzani vilikuja baaade kama marekebisho tu ndio vile wanaita "viraka"


Picha ya kwanza ni aliyewahi kuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar [ZEC] ambaye alifuta uchaguzi wa Zanzibar kwa ngazi ya urais 2015 baada ya Maalim Seif kushinda, huyu alienda kuomba ridhaa kugombea urais kupitia CCM 2020

Picha ya kwanza ni jaji mkuu mstaafu Agustino Ramadhani akiomba ridhaa kugombea urais kupitia CCM 2015

Sasa nakuuliza swali kwa majaji ambao 90% kiumri walikua wamezaliwa na kujitambua hadi 1991 wangapi walirudisha kadi za CCM baada ya 1991?

Maana hawa wakina Jecha hawakuwahi kurudisha na walijificha katika kivuli cha kutokua na chama ila baadae wakaibuka je wako akina Jecha wangapi ambao tutawaona baade

View attachment 3667594
View attachment 3667593
Usirukeruke, SIsi tunataka udhibitishe kuwa majaji wote ni maCCM na kama kuwa mwanachama wa chama cha siasa ni haramu kuwa Jaji hapa nchini. Na nini dhamira ya kusema hivyo kwa wanachama na wafuasi wa chadema. Anakusudia wafuasi wa chadema wafanye nn baada ya kujulishwa kuwa majaji wote ni maCCM?
 
Atleast wanasheria wangekuwa wanapigiana kura kumpata jaji mkuu kisha jaji mkuu ndo akateua majaji. Lakini kwa mfumo huu uliopo, you can't say we have three government pillars. We have 1 with its branches.
Mtoa kauli kama hyo kauli imesemwa, it can be proved logically to be true.
 
Lakini inabidi ujue ili upewe nafasi ya kisiasa kwenye serikali lazima uwe ni mwanachama wa hiko Chama
Hizo zote ni jitihada za kutafuta loopholes za kisheria kukwepa kosa. Jamaa hataki serikali ifanikishe wala kuboresha huduma yoyote. Hataki hata timu za Tanzania zishinde mechi zao maana serikali itashangiliwa. Kifupi anatamani nchi inuke ndani na nje. Anachoma hata TRA inayokusanya fedha zinazohudumia wananchi, anachoma hata madaladala wanayotumia raia wa kawaida. Tutajuta sana kubaki na mtu huyu asiyeitakia mema nchi.
 
Usirukeruke, SIsi tunataka udhibitishe kuwa majaji wote ni maCCM na kama kuwa mwanachama wa chama cha siasa ni haramu kuwa Jaji hapa nchini. Na nini dhamira ya kusema hivyo kwa wanachama na wafuasi wa chadema. Anakusudia wafuasi wa chadema wafanye nn baada ya kujulishwa kuwa majaji wote ni maCCM?

Sasa naweza kukuthibitishia hata wakuu wote wa vyombo vya dola ngazi ya juu ni maCCM.

Naanza na ex -IGP Simon Nyakoro Sirro sasa wewe nakupa kazi ya kuthibitisha kama wakuu wa vyombo vya dola wenye rank kubwa sio CCM

Zezeta wewe!

images - 2026-09-10T095928.190.jpeg

images - 2026-09-10T100119.748.jpeg
 
Lissu ni mwanasheria nguli mwenye passport na familia yake haipo nchini, aipime kauli yake hiyo ina maana gani kwa wale wasiokuwa na passpprt na maisha yao yote na familia zao yako humuhumu tz. Ni kauli mbaya sana kuwaaminisha watanzania kuwa njia ya mahakamani haifai tena huku akijua anaongopa. Bila mahakama kweli watu wangeweza kushinda, kulala na kuamka salama kweli nchi nzima? Bila mahakama kutenda kazi zake kweli mtoto angezaliwa na kuzeekea tanzania bila kufirwa, kubakwa na wahuni? Kazi zingefanyika kweli? Chadema ofisi zao zingekuwa salama kweli?.
Wewe ndo hujielewi, kauli yake ya kusema hvyo ni with respect to political issues, umeona wapi kasema basi hata kesi za kuiba kuku zinaingiliwa na ccm?
 
Atleast wanasheria wangekuwa wanapigiana kura kumpata jaji mkuu kisha jaji mkuu ndo akateua majaji. Lakini kwa mfumo huu uliopo, you can't say we have three government pillars. We have 1 with its branches.
Mtoa kauli kama hyo kauli imesemwa, it can be proved logically to be true.
Hata ICC wanaangalia ni sheria gani imekiukwa, maana nchi hii iko huru. Ndiyo maana ICC hawaji tz maana waliominywa Oct29 waliminywa kihalali kabisa, na wakiharibu tena wataminywa tena kama vilevile na kuzidi kidogo. Nchi lazima ilindwe.

Hii chadema hii ya Lissu inafanya kila jitihada za kudogosha nafasi na hadhi ya RAIS, serikali, bunge, polisi na mahakama ili wananchi wasitii serikali, Rais, polisi, bunge, mahakama na Katiba nzima. Hakuna nchi tena hapo kama wananchi watadharau kila kitu nchini kilichojengwa tangu 1961. Anafanyakazi ya wakoloni.

Tuwe macho ndugu zangu kabla hatujachelewa. Kule Libya, Iraq, Iran, Sudan walianza hivihivi dhidi ya Rais, serikali, mahakama, bunge, polisi, jeshi na Katiba, mwisho wake nchi zikakosa kutawalika. Wako smart kutumia kero na shida za wananchi kuwachochea raia.

Narudia tena narudia tena narudia tena tutachelewa sana.
 
Hata ICC wanaangalia ni sheria gani imekiukwa, maana nchi hii iko huru. Ndiyo maana ICC hawaji tz maana waliominywa Oct29 waliminywa kihalali kabisa, na wakiharibu tena wataminywa tena kama vilevile na kuzidi kidogo. Nchi lazima ilindwe.

Hii chadema hii ya Lissu inafanya kila jitihada za kudogosha nafasi na hadhi ya RAIS, serikali, bunge, polisi na mahakama ili wananchi wasitii serikali, Rais, polisi, bunge, mahakama na Katiba nzima. Hakuna nchi tena hapo kama wananchi watadharau kila kitu nchini kilichojengwa tangu 1961. Anafanyakazi ya wakoloni.

Tuwe macho ndugu zangu kabla hatujachelewa.
Unafikiri ICC wanaingia kama mzimu ghafla tu, inachukua miaka na miaka then unajikuta uko nyavuni. Unayekubaliana na nguvu iliyotumika kuua watu sijui kama akili ni nzima. Na badala ya kushughulikia tatizo lililosababisha, mnakalia kuvimba tu ndo maana watu wanazichapa hadi na askali maana mmekosa weledi. Hakuna anayeshindwa kuitii serikali yake kama inamtendea haki. Msijizibe macho watu wanaona yanayotendeka msidhani hawaoni.
 
Mleta mada lazima atakuwa mtu mjinga kupindukia!! Ina maana hajui kuwa majaji ni wanaCCM? Hajaona majaji wanavyoacha tu ujani wanaenda kugomvea vyeo vya kisiasa kupitia CCM?
 
Hizo zote ni jitihada za kutafuta loopholes za kisheria kukwepa kosa. Jamaa hataki serikali ifanikishe wala kuboresha huduma yoyote. Hataki hata timu za Tanzania zishinde mechi zao maana serikali itashangiliwa. Kifupi anatamani nchi inuke ndani na nje. Anachoma hata TRA inayokusanya fedha zinazohudumia wananchi, anachoma hata madaladala wanayotumia raia wa kawaida. Tutajuta sana kubaki na mtu huyu asiyeitakia mema nchi.
Kama unasema ana Nia mbaya vipi wale waliompiga risasi 17 kweupe na hadi Sasa uchunguzi haujulikani umeendaje
 
Unafikiri ICC wanaingia kama mzimu ghafla tu, inachukua miaka na miaka then unajikuta uko nyavuni. Unayekubaliana na nguvu iliyotumika kuua watu sijui kama akili ni nzima. Na badala ya kushughulikia tatizo lililosababisha, mnakalia kuvimba tu ndo maana watu wanazichapa hadi na askali maana mmekosa weledi. Hakuna anayeshindwa kuitii serikali yake kama inamtendea haki. Msijizibe macho watu wanaona yanayotendeka msidhani hawaoni.
Tofautisha kati ya wananchi na kundi la mungiki. Katiba haiwezi kubadilishwa eti kwasababu kundi la vibaka wanataka ibadilishwe. Baada ya kifo cha Rais Magufuli kuna watu walijitokeza kuhakikisha kuwa Makamu wake hawi Rais kama Katiba inavyotaka. Hilo unalifahamu au hulifahamu?. Hata baada ya kuapishwa na kuwa Rais watu haohao walitaka asigombee tena 2025, na hili analijua au hulijui?

Usidhani dola halijui kuhusu uhusiano uliopo kati ya waliokataa Samia awe Rais, wanaotaka Tanganyika, wanaotaka Tume ya uchaguzi irekebishwe na yaliyotokea Oct29. Watu wako makini hakuna janjajanja hapo za loopholes. Lissu ni kipaza sauti tu hapo kaponzwa na domo lake.

Unadhani wewe kulikuwa na njia gani nyingine nzuri ya kuzuia machafuko yale ya Oct29 yasienee nchi nzima hadi Ikulu na kupunguza uharibifu usiwe mkubwa zaidi ya pale? Eleza tafadhali ili tuone namna askari walipokosea.
 
Kama unasema ana Nia mbaya vipi wale waliompiga risasi 17 kweupe na hadi Sasa uchunguzi haujulikani umeendaje
Yeye kupigwa risasi kuna uhusiano gani na majaji kuwa maCCM, kuna uhusiano gani na kuchoma ofisi ya TRA na mwendokasi tunaotumia sisi makapuku walalahoi?
 
Tena ni uchawa mbaya sana! Watu wako radhi anayetetea maslahi ya umma apotee ila ugali wao uwe salama
Huwezi kutetea maslahi ya umma kwa kuchoma mali za umma, akili huna. Huwezi kutetea kwa kuufanya umma usiheshimu na kutii mahakama, bunge, polisi, serikali, Rais, viongozi wastaafu, wafanyabiashara, Katiba na kila kitu.

AFRIKA hii yote ina shida hizihizi hata ubadilishe Katiba ikafanana na ya Ubelgiji. Kenya utekaji uko hadi leo hii pamoja na kuand
 
Back
Top Bottom