Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,830
Aliitwa na nani? Na alisemaje? Na ni nani anawateua majaji?Alivyoitwa akathibitishe kauli yake alisemaje?
Aliitwa na nani? Na alisemaje? Na ni nani anawateua majaji?Alivyoitwa akathibitishe kauli yake alisemaje?
Kabsa kiongozi, baada ya kuona zile code za Jana, huko tunapoenda ni gizani.Narudia tena ni kesi ya kijinga kuwahi kutokea unaandika vitu kwa hisia zako tu.
Find for yourself!Aliitwa na nani? Na alisemaje? Na ni nani anawateua majaji?
Nijibu nilivyokuulizaFind for yourself!
😂😂 eti na nyie mnajifanya kucheza single ya watanzania ni wajinga, wakati nyie chama la majizi ndio mlifaidika na ujinga wa watanzania. Sasa hivi watu wameamka ndio mnapora chaguzi wazi wazi hadi kufanya mauaji. Wapuuzi wakubwa.Awa nyumbu nyumbu kweli kweli Jamaaa vichwani watupu
Wanadhani Watanzania bado ni Wajinga wajinga❗️❗️
Mashahidi wote watumia hisia zao kujibu kila wanachoulizwa. Walijuaje na uchaguzi wa 2025 usingekuwa wa haki pia?. Wangeshiriki kwanza uchaguzi kisha wafanye vurugu zile baada ya uchaguzi wangeeleweka sana. Yaani vurugu zingefuata baada wagombea kuenguliwa, kuibiwa kura na ripoti za waangalizi kila mtu angesema zilikuwa ni hasira za uchaguzi.Jaji anamuuliza shahidi hiyo ni fact au assumption? shahidi anabadili njia
Watu wako huko Mbalali wameamka siku nyingi wanalima mpunga wana hela kedekede. Eti sasa hivi ndio wewe umeamka kuchoma magari yaliyowaajiri watanzania wenzako. Kuamka kwa kipumbavu huku. Yaani unachoma TRA ndio umeamka?😂😂 eti na nyie mnajifanya kucheza single ya watanzania ni wajinga, wakati nyie chama la majizi ndio mlifaidika na ujinga wa watanzania. Sasa hivi watu wameamka ndio mnapora chaguzi wazi wazi hadi kufanya mauaji. Wapuuzi wakubwa.
Change maker!! Unamaanisha hiki alichokisema hapa? Hata baada ya kusema haya anasema sio mimi wananionea. Yaani anawaona watanzania ni mazuzu kiasi hicho?TAL is a real change maker!
Kweni ni UongoMashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Change maker!! Unamaanisha hiki alichokisema hapa? Hata baada ya kusema haya anasema sio mimi wananionea. Yaani anawaona watanzania ni mazuzu kiasi hicho?
View: https://www.facebook.com/share/v/1CgD6MATEX/
Mahakama inapotoa maamuzi kinyume na unachokiamini basi hiyo mahakama niya CCM ili ikitoa uhamuzi unaopenda hamna maneno ni kumute tu..Hii imekaaje ?Kama mahakama yenyewe haijioneshi kuwa huru si kosa la Lissu kuonesha kuwa mahakama zetu si huru tena.
KabisaKama mahakama yenyewe haijioneshi kuwa huru si kosa la Lissu kuonesha kuwa mahakama zetu si huru tena.
Nadhani hawa jamaa walikuwa wamejipanga sana. Confidence aliyokuwa nayo Lissu kwenye hotuba ile ya trh 3/4 ilikuwa juu sana.Mahakama inapotoa maamuzi kinyume na unachokiamini basi hiyo mahakama niya CCM ili ikitoa uhamuzi unaopenda hamna maneno ni kumute tu..Hii imekaaje ?
Ndugu umeandika mambo ya msingi sana...tumuombee tu arudi uraiani ila alitukosea sana Taifa.Nadhani hawa jamaa walikuwa wamejipanga sana. Confidence aliyokuwa nayo Lissu kwenye hotuba ile ya trh 3/4 ilikuwa juu sana.
Alitaja kwa kujiamini maneno kama "tunakwenda kuasi, tunakwenda kukinukisha vibaya sana, tunakwenda kuvuruga uchaguzi, mimi nimekinukisha hapa nitakamatwa na kuwekwa ndani kama Mandela alivyofanya, najua tutaumizwa siku ya kukinukisha, najua tutashinda na hii ndiyo njia ya kuleta mabadiliko".
Ukiangalia hii hotuba yake Lissu alikuwa na uhakika na kile alichokuwa anakisema:
1. alisema kwa hotuba yake ile lazima atakamatwa na kuwekwa ndani na kweli alikamatwa.
2. Alisema watakwenda kuasi, na kweli waliasi, vurugu kila kona ya nchi zikatokea,
3. alisema watakwenda kukinukisha vibaya sana na kweli hali ilikuwa mbaya sana mpaka wagonjwa wakafia majumbani, na wale walioko hospotalini walikosa matibabu,
4. alisema watakwenda kuuvuruga uchaguzi, na kweli walichoma baadhi ya vibanda vya kupigia kura na mabox ya kura na kuwajeruhi wasimamizi wa uchaguzi, walinzi na wapiga kura. Ukishaua askari tayari wewe uneasi maana serikali
5. Alisema anajua kuwa kwa uasi huo lazima wataumizwa sana, na kweli waliumizwa na kuuliwa. Lissu alijua kuwa watakaoshiriki uasi wataumizwa lakini hakujali hilo aliacha wakaumizwe tu kwakuwa yeye atakuwa yuko salama gerezani siku hiyo ya uasi.
6. Alisema lazima watashinda kwenye huo uasi. Sasa hapo ndipo alipobugi. Alitegemea kuwa baada ya kushinda wangekwenda kufungua milango ya magereza na kumtoa nje kama mtu huru, lakini hilo halikutokea. Hesabu zimegoma, ameshikiliwa hadi leo gerezani kama guine pig na watu aliosema lazima wataumizwa waliumizwa kwelikweli kama walivyokuwa wametarajia. Hata hivyo, nadhani walipanga wafe wachache na wengi kufanikisha, lakini ikawa kinyume; walikufa wengi bila kufanikisha kuingusha serikali, kuzuia uchaguzi, kupata katiba mpya wala kumtoa yeye gerezani. Hakuna walichofanikisha hata kimoja mbali ya kupeleka vilio majumbani na uharibifu wa mali za watanzania wenzao wa kawaida kabisa.
Nadhani uropokaji nao unaweza ukaufungulia kesi separateTokomeza uropokaji?
Ubishi tu, chadema ina laana ya NyerereNadhani uropokaji nao unaweza ukaufungulia kesi separate