Sasa yeye anahusika vipi na uchomaji wa vituo vya mwendokasiYeye kupigwa risasi kuna uhusiano gani na majaji kuwa maCCM, kuna uhusiano gani na kuchoma ofisi ya TRA na mwendokasi tunaotumia sisi makapuku walalahoi?
Sasa yeye anahusika vipi na uchomaji wa vituo vya mwendokasiYeye kupigwa risasi kuna uhusiano gani na majaji kuwa maCCM, kuna uhusiano gani na kuchoma ofisi ya TRA na mwendokasi tunaotumia sisi makapuku walalahoi?
Kazi ya serikali ya chama cha ki communist ni kuongeza idadi ya mabox ya risasi na mizinga kujihami na siasa na hila za Magharibi. Kama Cuba ingekuwa legelege ingeshadondoka miaka miingii iliyopita. Watu kama Lissu hawashangazi, walikuwepo tangu zamani lakini walidhibitiwa kwa nguvu zote. Mzee Kambona ni mfano tu.Uchawa kazi sana. Kauli y kuteka na kuua ni kauli safi? Tu
Kazi ni kipimo cha utu
Nimemsikia Heche akisema Lissu ndiye aliyefunguliwa kesi nyingi kuliko wanasiasa wengine lakini amesahau kuwa Lissu ndiye aliyetukana viongozi mara nyingi pia. Anapinga kila kitu na anataka kile wazungu wanachotaka kwetu ukiwemo ushoga. Lissu ni mzungu mweusi walahKama unasema ana Nia mbaya vipi wale waliompiga risasi 17 kweupe na hadi Sasa uchunguzi haujulikani umeendaje
Loopholes hizo, safari hii kesi haifutwi kama anavyosema huwa zinafutwa haziendelei na watuhumiwa wanaachiwa. Hivyo walikuwa wakidhani zinafutwa kwakuwa zilikuwa za uongo. Safari hii itakuwa ni tofauti, kesi hazitafutwa tena hadi zifike mwisho.Sasa yeye anahusika vipi na uchomaji wa vituo vya mwendokasi
Sasa majaji wanatakiwa kuthibitisha kwamba sio Ma CCM kwa kutenda haki kwenye hii kesi
Haki inatendeka na inaonekana ikitendeka pale mahakamani, amepewa haki yake ya kusikilizwa. Kujitetea kwake ni kwa kutafuta loopholes za kisheria ilii kujitenga na kukata vidole waliopiga kura.Sasa majaji wanatakiwa kuthibitisha kwamba sio Ma CCM kwa kutenda haki kwenye hii kesi
Wacha nikujibu kuhusu hili. Kazi yangu ni kulinda maduka ya matajiri, niko macho usiku mzima, nifanye nini sasa zaidi ya kusaidia nchi isichukuliwe na dogs.Mkuu saa saba usiku hii ni muda wa ngono huu unamuwaza lisu get a life bro piga ata puri ulale
Mkuu saa saba usiku hii ni muda wa ngono huu unamuwaza lisu get a life bro piga ata puri ulale
Sheria inasema kwamba ukiwaita CCM ndo unakuwa umetenda uhaini? Unajua kosa analotuhumiwa nalo Tundu Lissu?Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM
Tuachane na neno uhaini hapa katika mada hii. Lakini kuhasisha watu wasiende mahakamani kudai haki zao unadharia wazidai kwa njia zipi?. Na kwa kauli yake amedhibitidha kusema kuwa "mahakamani hakwendeki" na kweli hakupeleka madai yake mahakamani, badala yake watu wakakata vidole vya wapiga kura, wakachoma kila kitu cha umma na watu binafsi. Kwahiyo unataka kusema nini?Sheria inasema kwamba ukiwaita CCM ndo unakuwa umetenda uhaini? Unajua kosa analotuhumiwa nalo Tundu Lissu?
Kwanza aliyechoma si yeye maana alikuwa kortini. Uchawa unakupofusha, angekuwa hawaeshimu angekuwa huko aliko? Wafanyabiashara wangeweza kuchangia chama chake anachokiongoza? Katiba msioiheshimu ni nyie ambao mnaiba waziwazi na bado sheria haziwagusi.Huwezi kutetea maslahi ya umma kwa kuchoma mali za umma, akili huna. Huwezi kutetea kwa kuufanya umma usiheshimu na kutii mahakama, bunge, polisi, serikali, Rais, viongozi wastaafu, wafanyabiashara, Katiba na kila kitu.
AFRIKA hii yote ina shida hizihizi hata ubadilishe Katiba ikafanana na ya Ubelgiji. Kenya utekaji uko hadi leo hii pamoja na kuand
Sikuona aliyekataa awe rais baada ya kifo cha mtangulizi wake! Nafikiri unapanga kupaisha uzi wako kwa njia ya uchawa ili uonekane. Ni nani alichukuliwa hatua kwa kupinga asiwe rais au asigombee? Au huyo polepole wenu ambaye mliona hatua anazostahili ni kupotezwa? Anayepinga jambo la kikatiba kwa nini asipelekwe mahakamani why umpoteze? Hapi nani asiyeheshimu katiba?Tofautisha kati ya wananchi na kundi la mungiki. Katiba haiwezi kubadilishwa eti kwasababu kundi la vibaka wanataka ibadilishwe. Baada ya kifo cha Rais Magufuli kuna watu walijitokeza kuhakikisha kuwa Makamu wake hawi Rais kama Katiba inavyotaka. Hilo unalifahamu au hulifahamu?. Hata baada ya kuapishwa na kuwa Rais watu haohao walitaka asigombee tena 2025, na hili analijua au hulijui?
Usidhani dola halijui kuhusu uhusiano uliopo kati ya waliokataa Samia awe Rais, wanaotaka Tanganyika, wanaotaka Tume ya uchaguzi irekebishwe na yaliyotokea Oct29. Watu wako makini hakuna janjajanja hapo za loopholes. Lissu ni kipaza sauti tu hapo kaponzwa na domo lake.
Unadhani wewe kulikuwa na njia gani nyingine nzuri ya kuzuia machafuko yale ya Oct29 yasienee nchi nzima hadi Ikulu na kupunguza uharibifu usiwe mkubwa zaidi ya pale? Eleza tafadhali ili tuone namna askari walipokosea.
Kasema uongo. ???Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Tayati keshatoa maagizo juu ya nini chakufanya Oct29 na vijana wamemtii na wametekeleza kama alivyowaagiza, sasa hiyo ya alikuwa gerezani inasaidia nini hapa? Kwa cheo chake yeye kwenye chama nani angepinga kutekeleza maagizo yake?Kwanza aliyechoma si yeye maana alikuwa kortini. Uchawa unakupofusha, angekuwa hawaeshimu angekuwa huko aliko? Wafanyabiashara wangeweza kuchangia chama chake anachokiongoza? Katiba msioiheshimu ni nyie ambao mnaiba waziwazi na bado sheria haziwagusi.
Wameapa kuilinda katiba hii sio nyingine, wafanye hivyo sasa na hata milele. Hata Nchimbi aliapa kama hivihivi halafu akaleta za kuleta. Waliapa kulinda katiba ipi, hii au hiyoo?Sikuona aliyekataa awe rais baada ya kifo cha mtangulizi wake! Nafikiri unapanga kupaisha uzi wako kwa njia ya uchawa ili uonekane. Ni nani alichukuliwa hatua kwa kupinga asiwe rais au asigombee? Au huyo polepole wenu ambaye mliona hatua anazostahili ni kupotezwa? Anayepinga jambo la kikatiba kwa nini asipelekwe mahakamani why umpoteze? Hapi nani asiyeheshimu katiba?
Anatakiwa athibitishe yeye kisha ataje Ibara ya Katiba inayokataza jambo hilo.Kasema uongo. ???
Kwenye database ya wanachama ya kidigitali ya CCM kuna mahakimu na majaji wanachama ???
Lissu anaweza kuidai mamakamani kuthibitisha. ??
Porojo hizo, Polepole bado anatakiwa akaripoti polisi, mara paaap!! alikuwa hapa ametekwa. Kumbe mlikuwa mnajua alikuwa hapo kwanini hamkuisaidia polisi aende polisi kuitikia wito? Kama angekwenda polisi huenda leo hii tungekuwa na mtu wa kumuuliza shujaa wetu yuko wapi. Lakini sasa hakuna ajuae yupo wapi except his family.Sikuona aliyekataa awe rais baada ya kifo cha mtangulizi wake! Nafikiri unapanga kupaisha uzi wako kwa njia ya uchawa ili uonekane. Ni nani alichukuliwa hatua kwa kupinga asiwe rais au asigombee? Au huyo polepole wenu ambaye mliona hatua anazostahili ni kupotezwa? Anayepinga jambo la kikatiba kwa nini asipelekwe mahakamani why umpoteze? Hapi nani asiyeheshimu katiba?
Hee!! Umeshindikana!!Sikuona aliyekataa awe rais baada ya kifo cha mtangulizi wake! Nafikiri unapanga kupaisha uzi wako kwa njia ya uchawa ili uonekane. Ni nani alichukuliwa hatua kwa kupinga asiwe rais au asigombee? Au huyo polepole wenu ambaye mliona hatua anazostahili ni kupotezwa? Anayepinga jambo la kikatiba kwa nini asipelekwe mahakamani why umpoteze? Hapi nani asiyeheshimu katiba?
Hakuchoma na wala hakuna mtu anabisha hili, lakini aliagiza vijana wake kuhakikisha uchaguzi haufanyiki na kweli walitekeleza hilo ila kuna sehemu qalifanimiwa na sehemu hawakufanimiwa kuuzuia baada ya kuminywa kisawasawa.Kwanza aliyechoma si yeye maana alikuwa kortini. Uchawa unakupofusha, angekuwa hawaeshimu angekuwa huko aliko? Wafanyabiashara wangeweza kuchangia chama chake anachokiongoza? Katiba msioiheshimu ni nyie ambao mnaiba waziwazi na bado sheria haziwagusi.
Kama wewe baba ukiwaambia wanao na mkeo kuwa mama yako mchawi sana msiende kijijini kumuona, watoto wake watakukatalia? Kenge anaishi na mamba mtoni, siku kenge akija kwako kukwambia mamba mgonjwa huko ziwani utambishia?. Lissu ni mwanasheria hivyo kama aliwaambia wanawe majaji ni maCCM hivyo mahakamani hakwendeki unadhani watoto wake watamuita muongo?Sheria inasema kwamba ukiwaita CCM ndo unakuwa umetenda uhaini? Unajua kosa analotuhumiwa nalo Tundu Lissu?
Ukweli lazima uzemwe.Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.