Kusema Majaji ni maCCM ndiyo kauli mbaya kuliko zote kwenye kesi ya Mh. Lissu

Kusema Majaji ni maCCM ndiyo kauli mbaya kuliko zote kwenye kesi ya Mh. Lissu

Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.

Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.

Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.

Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.

Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Kwani ni UONGO?

Matrako yako
 
MAJAJI wakimaliza muda wao wa Ujaji 👈

wanabaki na Haki ya kutafuta fursa zengine
Popote iwe Upinzani au Chama Tawala 👈

kufanya kazi zengine zenye kuwapatia kipato halali ✅️
 
Warioba aliuliza kwa nini hakuna mgombea wa CCM anae enguliwa na Tume Huru ya Uchaguzi wakati wa uchaguzi? Na tumeona kuwa watendaji wake wakichukua fomu za kugombea ubunge kwa upande wa CCM. Na tumemsikia Mtendaji wake Mkuu akivinanga vyama vya upinzani kuwa ni vya "bla bla". Mtu akisema kuwa viongozi wake wengi ni CCM atakuwa amekosea?

Amandla...
 
Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.

Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.

Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.

Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.

Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Siku zote ukweli unauma. Majaji wote ni maccm, mapolisi yote ni maccm, tume ya uchaguzi ni ya ccm, na katiba ya mwaka 1977 ni ya ccm!
 
Lissu kashitakiwa kwa kosa lipo wazi
Kila Mtanzania anajua kaongea
Nini

Lkn yalivo Mayumbu
Ayashangai kwanini Lissu pale Mahakamani kakataa Video yake mwenyewe 🫎🤠

Kama ingekuwa yale Maneno sio kosa ❗️
Kisheria kwanini
Wanayakataa Mahakamani
Kiasi kuwatumia vibaya Viongozi wenzake ndani ya Chadema
Kula Viapo vya kwenda kusema Uwongo
Kubadilisha Maana ya yale
Maneno ‼️

Hoja Kama aya maneno
hayakuwa KOSA KISHERIA
Kwanini
1) mh Lissu na Mashahidi wake wanapambana kuyakwepa kwa kutafuta maana tofauti ya ile ipo wazi
kwa Mtanzania yoyote ‼️
🤠🤠🤠

Akifungwa mtasema Simu 1 tu

Wtk Lissu mwenyewe kaongea vitu na mwenyewe kakiri kwenye Clip yake kuwa ni kosa
anafanya ‼️
na kuelezea wazi watafanya nini sanasana watanikamata
Kwamba mimi nimetaka kuasi

Sasa kumbe kosa kalijua yeye mwenyewe

WEWE NYUMBU 🫎🫎 unataka kudai Mahakama simu moja

Yumkin kuna nyumbu kawaida na kuna nyumbu waliodata akili 🤠🤠🤠‼️
 
Ukiwa na wafuasi mfano Kama awa kondoo wa bwana mbona rahaa sana

Nakumbuka Askofu Gwajima aliwaambia kwa wepesi tu ikiwa mtanichagua kuwa Mbunge wenu jimbo la Kawe❗️nitawapeleka Uingereza Vijana kadhaa 🫎🫎 🫎 🫎🫎🫎🫎 kondoo wanateseka sana kwakweli 😥
 
Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.

Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.

Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.

Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.

Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Kwanini umewaza negativity kwa CHADEMA na siyo kuwa wamekuwa brutally targeted kwa muda mrefu tena hadharani bila Haki kutendeka?
Ukikutana na ukinzani wa Hoja yako ni kwa kujitakia mwenyewe.Pole.
 
Haikuwa kauli nzuri.
P.s haihusiani na uhaini, japo naona prosecution wanaishadadia kumgombanisha na majaji
 
Kama mahakama yenyewe haijioneshi kuwa huru si kosa la Lissu kuonesha kuwa mahakama zetu si huru tena.
Kama mahakama ni kweli iko hivyo na ushahidi wanao kwanini hawakufungua kesi ya Kikatiba? Yaana unataka kutuambia kama chadema ikiingia madarakani leo itakuja na majaji, askari na watendaji wao wapya kabisa?
 
Na ni hatari! Huwezi kumtukana Hakimu,anaweza kutumia mapungufu yake ya kibinadamu kukukomoa.
 
Kesi za kubambikiana na hukumu za vimemo ndio standard kwa hii serikali ya hovyo, na acha ujinga
HAta Trump alikuwa akilalamikia mahaka yao kumbambikia kesi lakini hakusema majaji ni democrats. Kosa la viongozi wa chadema ni kutaka kuwaaminisha vijana kuwa hali mbaya iko Tanzania tu na wao ndio watakaoiweka sawa wakienda Ikulu. Yaani kwenda Ikulu kwa ulaghai bila sera.

Kama hatutakuwa very strong dhidi ya ulaghai wa aina huu nchi yetu haitatawalika na tutainguza moto yoote kabisa. Kaka hatutafanya kitu sasa tutajikuta tumechelewa sana.
 
..kuna Majaji wanaenenda kama maCcm, na wanapenda Ccm ijue kwamba wako kwa ajili yao. Lissu hajawakosea chochote Majaji wa aina hiyo.
Lissu ni mwanasheria nguli mwenye passport na familia yake haipo nchini, aipime kauli yake hiyo ina maana gani kwa wale wasiokuwa na passpprt na maisha yao yote na familia zao yako humuhumu tz. Ni kauli mbaya sana kuwaaminisha watanzania kuwa njia ya mahakamani haifai tena huku akijua anaongopa. Bila mahakama kweli watu wangeweza kushinda, kulala na kuamka salama kweli nchi nzima? Bila mahakama kutenda kazi zake kweli mtoto angezaliwa na kuzeekea tanzania bila kufirwa, kubakwa na wahuni? Kazi zingefanyika kweli? Chadema ofisi zao zingekuwa salama kweli?.
 
Mkuu saa saba usiku hii ni muda wa ngono huu unamuwaza lisu get a life bro piga ata puri ulale
Hahahahhaaha atakuja kuliwa huyu kwa kuwaza wanaume wenzake usiku
 
1. Uongo upo wapi?
2. Mbona mchakato wa kuwapata majaji ni uthibitisho tosha?
3. Kwamba hujui ujaji ni kama tuzo kwa mahakimu wanaofuata maelekezo dhidi ya wapinzani?
4. Kwamba hujui majaji wanajiingiza kwenye siasa muda mfupi baada ya kustaafu?
5. Mbona dunia yote inaujua huo ukweli?
6. Mbona kwa muda mrefu sasa wengi hawaendi mahakamani kwa sababu mifumo ya haki imeingiliwa na serikali ya ccm?
7. Semeni na simamieni ukweli kuliponya Taifa!
KWani Katiba yetu inasemaje kuhusu upatikanaji wa majaji? Je. Katiba imekiukwa kuhusu namna majaji walivyopatikana?

Je, kuna mtu kafungua kesi kuhusu ukiukwaji huo?

Lissu anaidharau Katiba na anamdharau kila mtu na kila kitu cha nchi hii. Anajiona hafai kuishi nchi maskini na ya watu wazembe kama hawa. Hataki kuwa chini ya Rais, Waziri, Spika, IGP wala CDF. Anajua kila kitu.
 
Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.

Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.

Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.

Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.

Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Upuuzi mtupu
 
Hujamsikia kwenye ushahidi wake akielezea kiundani kwanini majaji wanasemekana kuegemea upande wa CCM?

Alizungumzia kuanzia namna uteuzi wao ulivyo, namna kesi za upande wa upinzani zinavyoendeshwa kimihemko na mengine mengi.
Kesi nyingi za wapinzani huwa zinafutwa kwasababu ya kudumisha mshikamano wa kitaifa tu, lakini sio kwamba zinafutwa au kuondolewa mahakamani kwakuwa walibambikiwa. Kwa mujibu wa Katiba na sheria zetu huwa wanavunja sheria kweli.
 
Ili kauli hii,isiwe mbaya! MAJAJI WASITEULIWE NA RAIS AMBAYE NI MWENYEKITI WA CCM TAIFA
Katiba imevunjwa wapi kwenye uteuzi wa majaji? Maana Katiba hii ya 1977 imeandikwa na Jaji Warioba na wenzake na wakaona inatufaa na kweli ilitufaa hadi heshima yetu kimataifa ikatukuka.
 
Back
Top Bottom