Ili kauli hii,isiwe mbaya! MAJAJI WASITEULIWE NA RAIS AMBAYE NI MWENYEKITI WA CCM TAIFAMashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Kama Mahakama sio huru, ebu nijibu yafuatayo;Kama mahakama yenyewe haijioneshi kuwa huru si kosa la Lissu kuonesha kuwa mahakama zetu si huru tena.
Kama Mahakama sio huru, ebu nijibu yafuatayo;
a) Kwanini Lissu aliendelea kuwa Afisa wa Mahakama Kuu akijiua si huru na Majaji wake ni Ma CCM?
b) Kwanini Lissu anakubali kujitetea kwenye Mahakama yenye Majaji Ma CCM na mashahidi wake akina Mnyika, Golugwa, Brenda Rupia na Heche wanakubali kutoa ushahidi kwenye Mahakama yenye Majaji Ma CCM?
Tukisema wengine tutasimangwa, angejiosomea hata vitabu vya Edwin Semzaba.Mkuu saa saba usiku hii ni muda wa ngono huu unamuwaza lisu get a life bro piga ata puri ulale
Kasema ukweli au uongo? Nijibu kwanzaMashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
AYa huyo nae alisema ukweli wakeRostam alisema ukienda mahakamani , SIMU MOJA TU.
Rostam Aziz alisemaje kuhusu mahakama za Tanzania?Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Nenda kafuatilie kesi ya mgombea binafsi ya Mtikila dhidi ya serikali. Ilibidi Jaji Mkuu Agustino Ramadhani aokoe jahazi kwenye mahakama ya rufaa. Baadae akaenda kugombea urais CCM unategemea Nini?.
Nini kifanyikeMashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Ningekuwa Mimi Jaji nikiletewa kesi ya hao pimbi wa Chadomo nawalima mvua Hadi akili ziwakae walie kama yule wakili wa LisuMashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao.
Kama hali itakuwa hivyo basi nchi haitatawalika na watu watahukumiana kwa hisia na dhana.
Kauli hii inalenga kuwatweza majaji na kuulemaza mhimili wote wa mahakama usifanye kazi yake kwa wafuasi wa chadema na wa vyama vingine ispokuwa CCM.
Kama Lissu, mwenyekiti wa chadema kweli kasema hivyo na kama chadema ndiyo imeasisi kauli ya No reforms no election kama wanavyosema mashahidi; basi Chadema inaweza kuadhibiwa kama chama kwa kupewa onyo au kufutwa kwenye daftari kwa kosa la kuhamasisha uvunjaji wa sheria.
Ni manoni yangu tu, msiyapige rungu.
Sure , alijenga HOJA yake,vizuri sana...ameonyesha ni kwa namna gani kuna changamoto kubwa kwenye mhimili wa MAHAKAMA, hasa hapo kwenye kupatikana kwa Majaji, lakini uhusiano usio wa AFYA kati ya MAjaji na MaCCM ..na ndipo hitaji la KATIBA MPYA linapoonekana..TUMUUNGE MKONO!Hujamsikia kwenye ushahidi wake akielezea kiundani kwanini majaji wanasemekana kuegemea upande wa CCM?
Alizungumzia kuanzia namna uteuzi wao ulivyo, namna kesi za upande wa upinzani zinavyoendeshwa kimihemko na mengine mengi.