Kusema uislam ulikuwepo kabla ya Muhammad ni uongo wa waziwazi kabisa

Tafuta biblia ya kiarabu alafu usome Yahweh ameitwa Kwa jina gani kama sio ALLAH
Allah ni Mungu kwa kiarabu,ni sifa sio jina. Hata Mungu wetu kule Kyela kwa kiarabu anaitwa Allah pia,hata nikiabudu mlima kama Mungu wangu basi kwa kiarabu huo mlima utaitwa Allah.

Kama Allah sio jina basi Mungu wa waisraeli sio Allah kwa sababu anajitambulisha kwa jina lake mwenyewe (Yahweh).

Mungu wa waarabu (Allah) jina lake ni nani? Wewe unaweza kuwa baba nyumbani kwako ila mtoto wako akiulizwa baba yake anaitwa nani basi hatasema baba. Atalitaja jina lako (mjingamimi).
 
Shida mnateseka na uislam.
Mitume tote ilikuja kuhubiri Mungu mmoja,kumpwekesha umoja wake.
Hapo ndipo unapopata maana ya uislam.uislam haukuanzishwa na mtume Muhammad Bali aliupokea kutoka Kwa mitume na manabii wengine.
Hoja yako tulisha ibatilisha hapa hspa jf kama ni hivyo .. je muislamu usilimu kuwa muislamu? Kwa nini wayahudi wanatakiwa kusilimu ili kuwa waislamu? ..pia hoja ya kuabudu mungu mmoja na kumpwekesha ipo hata kwa waabudu jua waabudu mwezi nk ...kumu abudu Mungu mmoja akumfanyi muabudu kuwa na dini sahihi au la .
 
Mafundisho aliyokuja nayo mtume Muhammad ndo waliokuja nayo mitume na manabii wote hata wale wa kiyahudi.
Uislam maana yake kuamini mungu mmoja na kumpwekesha umoja wake.
Baada ya wajanja kubadili maandiko Sasa myahudj na mkristo wanatakiwa watoe shahada ndo waingie kwenye uislam.
 
Hiyo kutoa shahada ilianza ndani ya uislamu wa Muhammad tu mbona hakuna hayo mambo ndani ya torati .
 
Injili aliyokuja nayo Yesu ni ipi?
Ili tuone hao wakristo wanaomfuata Yesu na Injili aliyokuja nayo
 
Wewe ndio unadhani kiarabu ni Uislamu
Hakuna sehemu lugha nyingine zimeharamishwa
 
Injili aliyokuja nayo Yesu ni ipi?
Ili tuone hao wakristo wanaomfuata Yesu na Injili aliyokuja nayo
Wakristo tunayo injili ya Yesu ( Mathew, Mark, Luke and John). Nyie waislam mnao ikataa injili yetu ndiyo mtuonyeshe hiyo injili halisi ambayo sisi hatuna.

Allah anataka wakristo tuiamini injili wakati wewe unasema injili hatuna!! Bora tumsikilize Allah wenu tu.

Quran 5:68
Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Hamna lenu jambo mpaka muishike Taurati na Injili na yote mlio teremshiwa kutokana na Mola wenu Mlezi. Na hakika ulio teremshiwa wewe kutokana na Mola wako Mlezi yatawazidishia wengi katika wao uasi na ukafiri. Basi usiwasikitikie watu makafiri.
 
Hujajibu swali Injili aliyokuwa nayo Yesu ni ipi?
Au ndio unataka kusema hizo uchwara ulizozitaja hapo hahaha
 
Hujajibu swali Injili aliyokuwa nayo Yesu ni ipi?
Au ndio unataka kusema hizo uchwara ulizozitaja hapo hahaha
Kama wewe huamini kwamba injili yetu ni halisi basi tuonyeshe hiyo original ambayo unayo.

Maana huwezi kupinga baadhi la kuwa na hiyo original tusiokuwa nayo wakristo. Allah anaopo tuambia wakristo tuhukumu kwa kutumia injili,ni injili ipi?

Allah anaweza kutoa amri ya kitu ambacho hakipo? Ukisema hatuna injili basi pia lete andiko kutoka kwenye Quran lisemalo wakristo hatuna injili.
 
Siongelei Injili halisi waka fake nimeuliza Injili aliyokuwa nayo Yesu ni ipi?
 
Umemaliza
 
Siongelei Injili halisi waka fake nimeuliza Injili aliyokuwa nayo Yesu ni ipi?
Yesu hakushushiwa kitabu kama nyie waislam mnavyoamini kuhusu Quran. Injili ya Yesu (habari njema) ni mafundisho aliyoyafanya wakati wa uhai wake na baada ya kufufuka pia.

Mafundisho hayo pamoja na habari za maisha yake zimeandikwa na Mathew, Mark, Luke and John .
 
Kama unaamini hivyo basi kaa pembeni nijadiliane na huyo aliyesema Yesu alikuja na Injili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…