Jibu kwanza swali kiongozi, acha kuuliza wakati we hujajibu swali ulilolikuta.
Halafu ukitaka kusema hao manabii walikuwa waislam, hebu tuletee hapa ushahidi wa kwenye vitabu vya uislam kabla ya Muhammad ili tujihakikishie usilete vitabu vya mudi maana huyo jamaa ndo kawapachika uislam manabii wote
Nje ya hiki kijitabu Cha mwamedi ni source gani nyingine inaweza kuthibitisha haya madai?NABII NUHU, IBRAHIM, MUSA NA YESU
WALIKUWA WAISLAM
Quran 42:13
Amekuamrisheni Dini ile ile aliyo muusia Nuhu na tuliyo kufunulia wewe, na tuliyo wausia Ibrahim na Musa na Isa, kwamba shikeni Dini wala msifarikiane kwayo. Ni magumu kwa washirikina hayo unayo waitia. Mwenyezi Mungu humteua kwake amtakaye, na humwongoa kwake aelekeaye.
NABII IBRAHIM NA WANAWE YANI ISHIMAEL NA ISAKA WALIKUWA WAISLAM
Quran 2:132
Na Ibrahim akawausia wanawe, na pia Yaaqub: Enyi wanangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuteulieni Dini hii; basi msife ila nanyi mmekuwa Waislamu, wanyenyekevu.
NABII YAAQUB NA WANAWE WALIKUWA WAISLAM
Quran 2:133
Je! Mlikuwapo yalipo mfikia Yaaqub mauti, akawaambia wanawe: Mtamuabudu nani baada yangu? Wakasema: Tutamuabudu Mungu wako na Mungu wa baba zako, Ibrahim na Ismail na Is- hak, Mungu Mmoja tu, na sisi tunasilimu kwake.
Haya ndio maelezo ya Quran kitabu ambacho ni kiboko ya makafiri
Sasa kama wewe ni kidume vunja hizo hoja za Quran hapo zinazosema hao manabii na vizazi vyao wote walikuwa waislam
Weka ushahidi hapa kama walikuwa wakristo kama wewe au walikuwa na dini ya kiyahudi au kama walikuwa wapagani weka hapa ushahidi
Hiyo Sasa ni kazi yako utumie hiyo Bibilia yako uikosoe Quran kuwa imedanganya Kwa kusema hao manabii wote ni waislamNje ya hiki kijitabu Cha mwamedi ni source gani nyingine inaweza kuthibitisha haya madai?
Jahanam ndio wapiHiyo Sasa ni kazi yako utumie hiyo Bibilia yako uikosoe Quran kuwa imedanganya Kwa kusema hao manabii wote ni waislam
Kama Bibilia imekuwa bubu katika hizo hoja za Quran hauoni kuwa haya maji ni marefu kwako?
Wewe nenda tu kanisani ukaimbe, upige makofi na kulia usubiri siku yako ya kufa ifike uende Jahanam
Hapo ndipo walipokosea, unasemaje walikuwa waislamu wakati walikuwepo kabla ya Uislamu wenyewe? Ni sawa na kizazi cha Gen Z wajiite watanganyika wakati wamezaliwa baada ya Tanganyika kutokuwepo.Hili swali umelielewa lakini mbona swali dogo tu
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Hata kama walikuwa wapagani sema ila toa ushahidi wa maandiko
Maana Quran inasema hao wote walikuwa waislam
! Ndiyo utupe nondo za chatgptMkiambiwa msome muelewe hamuelwi, mnadandia gari kwa mbele
Angalia chatgpt hapo
Hasira za Nini mzee!?Hiyo Sasa ni kazi yako utumie hiyo Bibilia yako uikosoe Quran kuwa imedanganya Kwa kusema hao manabii wote ni waislam
Kama Bibilia imekuwa bubu katika hizo hoja za Quran hauoni kuwa haya maji ni marefu kwako?
Wewe nenda tu kanisani ukaimbe, upige makofi na kulia usubiri siku yako ya kufa ifike uende Jahanam
Sio Kila umma walipewa swala.Hawa manabii waliitanaje kwenye swala?
Waliswali sala ngapi?
Walifunga?
Walikwenda kuhiji wapi?
Walitoa zaka?
Kwa hiyo Adam,Ibrahim,Musa.na Issa kazi yao ilikuwa kumwamini Mungu na mtume?Sio Kila umma walipewa swala.
Kuna umma wao ilikuwa ni kumuamini tu Mungu na mtume.umemaliza
Wabudha ni monotheists, nao ni waislamu?Kinacho wachnganya enyi wagalatia ni neno Uislam hapo, lakini ukilitoa Hilo neno ukisema kila Nabii alimuabudu Mungu mmoja TU hapo wote mtakubali ni kweli, kwahio shida ni hapo Lugha na uelewa TU.
Tunawazungumzia manabii hapa, je wao walimuamini Mungu wa mbudha?Wabudha ni monotheists, nao ni waislamu?
Mayahudi ni monotheists, nao ni waislamu?Tunawazungumzia manabii hapa, je wao walimuamini Mungu wa mbudha?
Kwa ushahidi ganiHili swali umelielewa lakini mbona swali dogo tu
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Hata kama walikuwa wapagani sema ila toa ushahidi wa maandiko
Maana Quran inasema hao wote walikuwa waislam
Wayahudi dini ya kiyahudi ndio dini yao na haikuwa dini ililuwa ni mfumo wa maishaIli ujijue kuwa umedanganywa au haujadanganywa kuhusu uislam
Taja dini za hawa manabii
1) Adam
2) Nuhu
3) Ibrahim
4) Isaka
5) Yakobo
Wayahudi waliletewa Musa libido wamuabudu Mungu wa Musa wao wakamuabudu ndama, msingi wa imani hii ni monotheism ya waliyokuja nayo manabii na mitume sio kila monotheism TU, Kwa mfano Uyahud, ukristo na Uislam umetoka chimbuko kubwa Kwa Nabii Ibrahim hivyo possibbly wayahudi wapo wanaomwabudu Mungu mmoja wa kweli, hivyo wayahudi na wakristo wapo miongoni mwao ambao ni waislam kabisa na tutapiga nao mvinvyo mbiguniMayahudi ni monotheists, nao ni waislamu?
Umesema kila nabii alimuabudu Mungu mmoja kwa hiyo wakimuabudu Mungu mmoja directly wanakuwa waislamu?
Hatari sana!Wayahudi waliletewa Musa libido wamuabudu Mungu wa Musa wao wakamuabudu ndama, msingi wa imani hii ni monotheism ya waliyokuja nayo manabii na mitume sio kila monotheism TU, Kwa mfano Uyahud, ukristo na Uislam umetoka chimbuko kubwa Kwa Nabii Ibrahim hivyo possibbly wayahudi wapo wanaomwabudu Mungu mmoja wa kweli, hivyo wayahudi na wakristo wapo miongoni mwao ambao ni waislam kabisa na tutapiga nao mvinvyo mbiguni
Uislam umeanzishwa na Muhammad. Kabla yake hapakuwepo mtu hata mmoja aliyekuwa anajiita muislam.
Kwenye Hadith zake Muhammad kuna sehemu anajadiliana na wenzake jinsi ya kuitana wakati wa sala ukifika, wengine wanasema waitane kwa kengele kama wakristo, wengine wanasema waitane kwa baragumu kama wayahudi ila mwisho wanakubaliana adhana kama hii waliyonayo leo. Hapo utagundua kwamba uislam umeanzishwa na yeye kwa sababu angeukuta angefata vile wenzake wanafanya.
Halafu Muhammad baada ya kuutengeneza uislam na kujitengenezea maneno yake binafsi Kisha kusingizia amepewa na Mungu jukumu la kwanza analoanza kulifanya ni kusilimisha watu, hakuna mtu hata mmoja ambaye Muhammad alikutana naye akiwa muislam na uislam huo uwe haujatoka kwake(Muhammad). Hata wazazi na ndugu wa Muhammad wote hakuna aliyekuwa muislam. Mambo mengi yanayofundishwa kwenye uislam yametungwa na mudi na mengine ameiga kutoka kwa wakristo na wayahudi.
Uislam ni dini ya kujitungia tu na hata jina la Allah ni la kufikirika tu si halisi. Waislam walipoona Quran haijitoshelezi wakatunga na Hadith halafu cha ajabu jamaa wanasema Quran imeandika kila kitu na still bila Hadith uislam haukamiliki. Kuwa muislam inabidi usijue kiundani kuhusu uislam ila ukijua ni lazima uachane nao.
Nakuuliza Sheikh Wazolee je Adamu,Nuhu,Abraham,Musa na Yesu wote walishahidia Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.”?Hiyo Sasa ni kazi yako utumie hiyo Bibilia yako uikosoe Quran kuwa imedanganya Kwa kusema hao manabii wote ni waislam
Kama Bibilia imekuwa bubu katika hizo hoja za Quran hauoni kuwa haya maji ni marefu kwako?
Wewe nenda tu kanisani ukaimbe, upige makofi na kulia usubiri siku yako ya kufa ifike uende Jahanam