Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani watu walio kua wanafungwa kwenye viroba hukuaona, watu walio tekwa na wa siojulikana hukuwasikia, watu waliokua wanaachushwa kazi bila sabb ukuwasikia hayo yote husababisha hofu.Ulikuwa unaishi kwa hofu kwanini? Kwani ulikuwa unafanya shughuli gani hasa mpaka uwe na hofu na uongozi uliopo?
Unalilia kwenda shule au?Mi nimelia sana usiku nikitaman hata mchoz wangu ugeuke pesa nizikute asubuhi ndo kwanza nimekuta mto umeweka alama.Na shule ndo hizo zinafunguliwa j3😕😤😭
Mungumtu ndiye alikuwa anadhibiti akili za watu wote akitaka wafikiri kama alivyokuwa anataka yeye kabla Mungu wa kweli kumpiga stop.Ulikuwa unaishi kwa hofu kwanini? Kwani ulikuwa unafanya shughuli gani hasa mpaka uwe na hofu na uongozi uliopo?
Wewe cheza na biti kulia Lia hakuta kusaidia,Hali hiyo iko hivyo Duniani kote.Hali ni mbaya hali ni mbaya kupita maelezo, mitaani hali inazidi kuwa tete vitu havishikiki bei nashangaa imekuaje kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa wa ghafla namna hii? yani vitu vimepanda bei kwanzia dawa ya mswaki mpaka vifaa vya kielekroniki na vifaa vya ujenzi,
mfumuko wa bei huu unatuathiri sana cha kushangaza viongozi ni kama vile hawajali hii kitu wanaona ni kawaida tu wako bize kutafutana kwaajili ya uchaguzi wa 2025, ajira hakuna, kazi hakuna hela hakuna vitu vinapanda bei hovyohovyo.
nyie viongozi mnajua kua Raia wenu sasa hivi hata chai hawanywi? na mboga tunapika bila mafuta.
inahuzunisha sana asee tunaishi kama digidigi
View attachment 2079053
Uzikute pesa? Endelea kulia pesa ije, yaani uache kutafuta Kazi uje uanze kulia eti ndio pesa itakuja 😝😝Mi nimelia sana usiku nikitaman hata mchoz wangu ugeuke pesa nizikute asubuhi ndo kwanza nimekuta mto umeweka alama.Na shule ndo hizo zinafunguliwa j3😕😤😭
Nina kaz mkuuUzikute pesa? Endelea kulia pesa ije, yaani uache kutafuta Kazi uje uanze kulia eti ndio pesa itakuja 😝😝
Kuna mambo hayajakaa sawa mkuuUnalilia kwenda shule au?
Yapi...Kuna mambo hayajakaa sawa mkuu
Watoto shule zinafungua afua mama nipo kapa....can u imagine unakuwajekuwaje 😅Yapi...
Pole sana...Watoto shule zinafungua afua mama nipo kapa....can u imagine unakuwajekuwaje 😅
Single mom huyooPole sana...
Hayo ni majukumu ya baba, why uyawazie...
Umejuaje...Single mom huyoo