Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,351
- 9,838
Hata Kvant imepanda bei..
Mbona sisi hatulalamiki
Mbona sisi hatulalamiki
Kg ya viazi mbatata mkoa naoishi imetoka shs 800 hadi 1500
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kg ya viazi mbatata mkoa naoishi imetoka shs 800 hadi 1500
Kuutangaza utalii huku mmepandisha rates za park msitegemee maajabu! Wazungu sio wajingaKwan awamu iliyopita ndo ilikua kwaajil ya masikini? Hakuna hicho kitu mzee hakuna atakae kuja na kuanza kumjali mtanzania kimaisha itachukua miaka. Sisi tutaendelea kushughulika na elimu, maji, barabara, madaraja, kujenga shule, zahanati. Baaas!!! Hakuna strategies za kuandaa ajira, viwanda vingi ni muhimu sana kwaajil ya kutoa ajira, utalii ulipaswa upewe priority kuutangaza kwa gharama yoyote vyote hivi vingeongeza ajira sana, now utaajir vip wakati utalii umeshuka sana? Despite mambo ya Corona bado kama NCHI tunapaswa kuitangaza Tanzania sana kiutaliii. Tuna vivutio vya asili lukuki, tulipaswa kutumia nguvu kubwa kuitangaza tanzanite kimataifa, ili ule ujinga wa tanzanite inapatika Kenya uishe kbs. Mambo yapo mengi sana lkn ndo hivo tena
View attachment 2079112
Hahahah wanataka kila mtu ampende hayo mambo yakuongea ndani huko kikaoni! Sasa ufisadi ufisadi naawaambia jipimie jipimie! HahahTaifa ambalo Rais wake ni fisadi anaehamasisha ufisadi kwenye TV ya Taifa ni lazima maisha yawe magumu kwa wananchi wake.
View attachment 2080131
Ni kweli mnaishi bila hofu ya kutumbuliwa mnaiba kwa kujinafasi sahizi! Tunaiona furaha yenu maana kipindi cha usimamizi mkali ilikua mnatoka bila bilaTofauti iliopo sasa na awamu ya tano ni kwamba awamu ya sita tunaishi bila hofu kutoka juu ila kiuchumu awamu ya sita aliharibu sanaa paka mda upite
Alikuwa mdokozi wa fedha za umma na ilikuwa ukibainika huwezi kusalimika ndio hofu kubwa ile ya kusingizia kutupwa kwenye kiroba ni kutambaa na biti tu.Ulikuwa unaishi kwa hofu kwanini? Kwani ulikuwa unafanya shughuli gani hasa mpaka uwe na hofu na uongozi uliopo?
Kikubwa kaelewa momHakuna haja ya kumwaga mchele kwenye kuku wengi, 🤛
Ule ulikua usimamizi mkali au uchafuzi mkali?Ni kweli mnaishi bila hofu ya kutumbuliwa mnaiba kwa kujinafasi sahizi! Tunaiona furaha yenu maana kipindi cha usimamizi mkali ilikua mnatoka bila bila
Kuwekewa wana usalama kwenye maofisi humo kulisaidia kupunguza tabia ya wizi ila mfumo wa sasa msiingiliane wala kuchongeana😅..Ule ulikua usimamizi mkali au uchafuzi mkali?
Mkuu kama ulikua vibrant en invigrant katika uchumi na siasa za nchini hamna wizi ifisadi mkubwa ulio wahi kufanyika kama iliofanyika kipindi cha miaka mitano iliopita..... isipo kua selective lzma utoke kwenye Royal family ndo upore bila kuulizwa.Kuwekewa wana usalama kwenye maofisi humo kulisaidia kupunguza tabia ya wizi ila mfumo wa sasa msiingiliane wala kuchongeana[emoji28]..
Af ukisemea uchafuzi kwani huyu mama bila mbeleko fc angetoboa lini kuwa raisi? Angesimama na wanaume wa shoka angepitia wapi?
Yeye anahudumiwa kila kitu
Na badoHali ni mbaya hali ni mbaya kupita maelezo, mitaani hali inazidi kuwa tete vitu havishikiki bei nashangaa imekuaje kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa wa ghafla namna hii? yani vitu vimepanda bei kwanzia dawa ya mswaki mpaka vifaa vya kielekroniki na vifaa vya ujenzi,
mfumuko wa bei huu unatuathiri sana cha kushangaza viongozi ni kama vile hawajali hii kitu wanaona ni kawaida tu wako bize kutafutana kwaajili ya uchaguzi wa 2025, ajira hakuna, kazi hakuna hela hakuna vitu vinapanda bei hovyohovyo.
nyie viongozi mnajua kua Raia wenu sasa hivi hata chai hawanywi? na mboga tunapika bila mafuta.
inahuzunisha sana asee tunaishi kama digidigi
View attachment 2079053
Jamaa wanakula vinono vyoteWamesema kila mbuzi ale urefu wa kamba yake??
taizo huyu amekumbatia wawekezaji na kusahau wananchi bila kujua hao wawekezaji wako kimaslahi zaidi,wanapandisha bei watakavyo kisa ni wawekezaji.Yaaani mliomba Magufuli atoke,saiv mnaomba tena arudi,Mungu si wakumgeuza geuza akili hivyo km unavykfikiria.mtalimia meno
huyu bibi tozo atatua kwa mfumko wa beiMfumuko wa bei wa 100% umetokea kwenye nini na katika miezi ipi??
Naona umekosa kazi ya kufanya.Hali ni mbaya hali ni mbaya kupita maelezo, mitaani hali inazidi kuwa tete vitu havishikiki bei nashangaa imekuaje kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa wa ghafla namna hii? yani vitu vimepanda bei kwanzia dawa ya mswaki mpaka vifaa vya kielekroniki na vifaa vya ujenzi,
mfumuko wa bei huu unatuathiri sana cha kushangaza viongozi ni kama vile hawajali hii kitu wanaona ni kawaida tu wako bize kutafutana kwaajili ya uchaguzi wa 2025, ajira hakuna, kazi hakuna hela hakuna vitu vinapanda bei hovyohovyo.
nyie viongozi mnajua kua Raia wenu sasa hivi hata chai hawanywi? na mboga tunapika bila mafuta.
inahuzunisha sana asee tunaishi kama digidigi
View attachment 2079053
Wa Tz hatujui hua tunataka nini 😂😂😂😂taizo huyu amekumbatia wawekezaji na kusahau wananchi bila kujua hao wawekezaji wako kimaslahi zaidi,wanapandisha bei watakavyo kisa ni wawekezaji.