Kusema ukweli mtaani hali ni mbaya, cha kushangaza viongozi hawajali kabisa

Taifa ambalo Rais wake ni fisadi anaehamasisha ufisadi kupitia TV ya Taifa ni lazima maisha yawe magumu kwa wananchi wake.
Your browser is not able to display this video.
 
Kuutangaza utalii huku mmepandisha rates za park msitegemee maajabu! Wazungu sio wajinga
 
Tofauti iliopo sasa na awamu ya tano ni kwamba awamu ya sita tunaishi bila hofu kutoka juu ila kiuchumu awamu ya sita aliharibu sanaa paka mda upite
Ni kweli mnaishi bila hofu ya kutumbuliwa mnaiba kwa kujinafasi sahizi! Tunaiona furaha yenu maana kipindi cha usimamizi mkali ilikua mnatoka bila bila
 
Ulikuwa unaishi kwa hofu kwanini? Kwani ulikuwa unafanya shughuli gani hasa mpaka uwe na hofu na uongozi uliopo?
Alikuwa mdokozi wa fedha za umma na ilikuwa ukibainika huwezi kusalimika ndio hofu kubwa ile ya kusingizia kutupwa kwenye kiroba ni kutambaa na biti tu.
 
Ule ulikua usimamizi mkali au uchafuzi mkali?
Kuwekewa wana usalama kwenye maofisi humo kulisaidia kupunguza tabia ya wizi ila mfumo wa sasa msiingiliane wala kuchongeanaπŸ˜…..

Af ukisemea uchafuzi kwani huyu mama bila mbeleko fc angetoboa lini kuwa raisi? Angesimama na wanaume wa shoka angepitia wapi?
 
Mkuu kama ulikua vibrant en invigrant katika uchumi na siasa za nchini hamna wizi ifisadi mkubwa ulio wahi kufanyika kama iliofanyika kipindi cha miaka mitano iliopita..... isipo kua selective lzma utoke kwenye Royal family ndo upore bila kuulizwa.
 
Na bado
 
Yaaani mliomba Magufuli atoke,saiv mnaomba tena arudi,Mungu si wakumgeuza geuza akili hivyo km unavykfikiria.mtalimia meno
taizo huyu amekumbatia wawekezaji na kusahau wananchi bila kujua hao wawekezaji wako kimaslahi zaidi,wanapandisha bei watakavyo kisa ni wawekezaji.
 
Naona umekosa kazi ya kufanya.
 
Kupanda bei ya vitu kumetokana na kupabda kwa thamani ya bidhaa kwani kwa sasa vitu halisi tu ndivyo vilivyo. Awamu hii imezuia mianya yote ya unyonyaji na mafisadi ndio wanaolia. Simple fact ni lini watanzania walikuwa na hali mzuri? Tusiposhukuru kwa hiki kidogo hakika tutakikumbuka huko mbele tena nyakati hizo tuna saga meno kwa kulia
 
taizo huyu amekumbatia wawekezaji na kusahau wananchi bila kujua hao wawekezaji wako kimaslahi zaidi,wanapandisha bei watakavyo kisa ni wawekezaji.
Wa Tz hatujui hua tunataka nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kikwete hakufaa,magufuli ndio mpk mkamuambea mabaya, samia tena hafai.Nani atafaa sasa?
Hakuna awamu itakayoleta maisha mepesi,tuache kulia lia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…