Kusema Ukweli Rais Samia amemzidi mbali sana Hayati Dr. Magufuli

Hazina ilikombwa na walioluwepo kabla yake.
 
Ukiwalinganisha hao kwa viwango vyao Samia amewazidi hata JK. Japo wote ni ccm chama chakavu
 
Imhitepu bwana we ni mtu makini acha kutete uozo.
Sio uozo ishu kama hizi ndio zinafanya Samia aonekane kuwa hataki kuwa na tabia za Authoritarian leader.

Kama anapenda kusifiwa n kupongezwa basi akubali kukosolewa wazi wazi mimi binafsi najua Samia ana kifua kipana kweli kweli asiruhusu hao wa chini yake wamuharibie.
 
Sasa ndio hata walevi wamchezee?
 
Hivi mtu alie hai anamzidije marehemu?, pathetic [emoji817]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…