Kusema Ukweli Rais Samia amemzidi mbali sana Hayati Dr. Magufuli

Kusema Ukweli Rais Samia amemzidi mbali sana Hayati Dr. Magufuli

Chawa hamnaga aibu, ndugu tuangalie kizazi chetu kinakuja Kitakuta hakuna kitu kwenye hazina, Sasa hivi Serikali imekopa Tilioni 30 ndani ya miaka 2, na hazionekani zilipo kwenda. Mfumko wa Bei asilimia 120. Mungu hatusaidie.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hazina ilikombwa na walioluwepo kabla yake.
 
Ukiwalinganisha hao kwa viwango vyao Samia amewazidi hata JK. Japo wote ni ccm chama chakavu
 
Imhitepu bwana we ni mtu makini acha kutete uozo.
Sio uozo ishu kama hizi ndio zinafanya Samia aonekane kuwa hataki kuwa na tabia za Authoritarian leader.

Kama anapenda kusifiwa n kupongezwa basi akubali kukosolewa wazi wazi mimi binafsi najua Samia ana kifua kipana kweli kweli asiruhusu hao wa chini yake wamuharibie.
 
Sasa ndio hata walevi wamchezee?
 
Kwa sasa jinsi Nchi inavyoongozwa kwa utulivu na amani huku tukishuhudia maendeleo kede kede, ajira za hapa na pale, miundo mbinu, wafanykazi kuboreshewa maslahi yao.

Si hivyo tu hata majaji wetu wa mahakama wanapumua sasahivi. Wanalala kwa amani bila simanzi ya kubambikia mtanzania mwenzao kesi.
Huduma za afya tunaona uzuri wake.

Rais Samia hajasahau kuwa mstakabari wa Nchi ni pamoja na siasa safi, uhuru wa kutoa maoni, uwazi na sheria bora. Katiba Mpya pia iko mbioni.

Haya yoote yanafanyika kwa pamoja synchronously.

Heshima kwako na team yako ya Ushauri hapo White House.

Jpili njema wadau
Hivi mtu alie hai anamzidije marehemu?, pathetic [emoji817]
 
Back
Top Bottom