Kusema Ukweli Rais Samia amemzidi mbali sana Hayati Dr. Magufuli

International state figure and Women inspiration
 
Utawala wa mama naona ni wa haki na usawa, hamna kujuana kujuana hasa mfano kwa ajira watu wamepata bila connection bu juhud na maarifa yao

Services are well japo si asilimia zote ila kuna ahueni

Mzunguko wa hela umeongezeka

.Mama katupa hadhi wente degree zetu maana huko nyuma tuliambiwa tujiajiri sad enough wanabeba wa dioloma
 
Inabidi awamu zijazo akija mgombea urais anasemea kuhusu wanyonge tusimchague 😂😂😂😂 maana tutarud kwenye umachinfa tena
 
Inabidi awamu zijazo akija mgombea urais anasemea kuhusu wanyonge tusimchague 😂😂😂😂 maana tutarud kwenye umachinfa tena
😅😅😅wanatuita wanyonge huku wao wanaishi kama Malaika
 
Kuna ahueni kubwa sana
 
Maendeleo gani hayo we mbwiga? Nifanye jambo?
 
Wewe kweli bush dokta,yaani umlinganishe Samia na Magufuli kwa namna hiyo,
 
Yaani amemzidi Kwa mbali mno. Ni mbingu na ardhi.

Na kama waroho wa madaraka wa CCM wasipomtikisa Kwa uchu wao, Samia possibly akawa Rais Bora kuliko watangulizi wake wote.
 
Yaani amemzidi Kwa mbali mno. Ni mbingu na ardhi.

Na kama waroho wa madaraka wa CCM wasipomtikisa Kwa uchu wao, Samia possibly akawa Rais Bora kuliko watangulizi wake wote.
You nailed it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…