hivi Mkuu akina 50 cent, Floid Mayweather Lebrown james etc leo hawafurahii mababu zao kupelekwa utumwani?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kukutawala hata kidogo,hata hizo ndala ulizovaa usingezijua,mpaka sasa ungekuwa na magamba sababu ya kutembea migurubaja.hawakuiba sawa, lakini walitutawala bila ridhaa yetu, ubaguzi wa elimu, dini, kabila, walitugawa sana ili watutawale vizuri
Ma mdogo leo umetuacha wachagga tupumue kidogo?!Haya hayo ulioyataja hayakufanywa kwetu, kwingine sawa waligawanywa Ukabila au Dini lkn kwetu hilo halikufanyika na ndo maana tunaishi pamoja Dini zote.
Nachotaka kusema, hakuna binadamu mkamilifu, na ukitaka kulinganisha utawala wa kikoloni na utawala wa sasa wote wanamapungufu yao, lakini nakataa kama utawala wa sasa ni katili sana kuliko wa kikoloni. Kwa serikali iliyochaguliwa na wananchi wenywe huwezi kulinganisha na serikali ya mkoloni iliyojipa madaraka bila ridhaa ya mtu yoyote na inachukiwa maamizi nje ya nchi na kufaidisha watu wao wa nje.
Uchaguzi wa vijiji na mitaa umekiwa wa hovyo kupita maelezo,hebu niambie...upumbavu huu mkoloni mweupe aliwahi kuufanya?Nachotaka kusema, hakuna binadamu mkamilifu, na ukitaka kulinganisha utawala wa kikoloni na utawala wa sasa wote wanamapungufu yao, lakini nakataa kama utawala wa sasa ni katili sana kuliko wa kikoloni. Kwa serikali iliyochaguliwa na wananchi wenywe huwezi kulinganisha na serikali ya mkoloni iliyojipa madaraka bila ridhaa ya mtu yoyote na inachukiwa maamizi nje ya nchi na kufaidisha watu wao wa nje.
Siendi
Kwani sasa hivi tunatawaliwa kwa ridhaa yetu?? Je Elimu yetu haina matabaka?? Je udini haupo??? Je kwenye utawala tulionao ukabila haupo??hawakuiba sawa, lakini walitutawala bila ridhaa yetu, ubaguzi wa elimu, dini, kabila, walitugawa sana ili watutawale vizuri
Jiwe namshangaa sana. Anasaidiwa sana na hawa wafadhili wetu ambao Mungu kawapa upeo, ila yeye kila siku kutuimbia ngonjera za mabeberu.Sasa hivi wakoloni wanajuta kuja africa kipindi kile, kama wangejua basi wangebakia huko kwao na kujenga mataifa yao. Sisi africa kiukweli hatuna "FADHILA WALA SHUKRANI".
Dunia hata itusaidie vipi, iwe kwa misaada ya dawa na fedha au wataalamu, malipo tunayowapa ni matusi na kejeli.
Kwani wakati wa mkoloni kulikuwa na huo uchaguzi? Mchaguwane ili mpange njama ya kuwadhuru wakoloni. Jaribuni hata mjifunze mawili matatu nini kilitokewa wakati wa mkoloni. Mkoloni alikuwa anateua watu anaojua hawezi kumletea shida (ma DC an RC). Nchi ilikuwa inaongozwa na Gavana Mzungu aliteuliwa na watawala wake wa Ulaya.Uchaguzi wa vijiji na mitaa umekiwa wa hovyo kupita maelezo,hebu niambie...upumbavu huu mkoloni mweupe aliwahi kuufanya?
Sent using Jamii Forums mobile app