Kusema ukweli, wakoloni Tanzania yetu hawakuiibia kitu!

Kusema ukweli, wakoloni Tanzania yetu hawakuiibia kitu!

ikigijo, Mazezeta wa Lumumba wanajua simu janja, tv, radio magari na barabara zimetengenezwa na Jiwe.

Madaktari na wataalam wote serikalini walifundiahwa na Jiwe mzee wa phd

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Synthesizer,
Hata hapa nchini mkoloni ariruhusu mwafrika kumiliki mali ulipe kodi tu, awamu ya kwanza ilikataza na kuwapora wafrika mali zao walizochuma toka mkoloni wakatumia lugha ya kupambapamba kuficha neno uporaji wakaita utaifishaji, na kuwaaminisha watu uzalendo ni kuwa masikini utajiri ni unyonyaji,angalau awamu ya pili ikaanzaruhusu watu kuwa matajiri ndo wakaanzachomoza matajiri kama kina Mengi nk.
 
hivi Mkuu akina 50 cent, Floid Mayweather Lebrown james etc leo hawafurahii mababu zao kupelekwa utumwani?.



Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ungekuwa mtumwa,ungefurahi kuwa kwenye hiyo hali,cwatoto wako, mke wako, kulatiwa kutumiwa na so called Boss anavyopenda, hata kwa matumizi binafsi.

Mamilioni waliuwawa, mamilioni wakapelekwa utumwani.

Hujui historia yako.
 
Kessy west,
Historia tuliyosoma darasani zimechakachuliwa kwa manufaa ya watawala Wa kiafrica zikikazia mabaya ya wakoloni.Baada ya uhuru watawala Wa kiafrica wamewatendea waafrika mabaya zaidi kuliko hata waliyotenda wakoloni weupe,wakoloni weusi wameuwa chumi za nchi zao zilizostawi vyema, wamewauwa waafrika wenzao walio na mawazo tofauti.

Je, unajua ni jumla ya waafrika wangapi wameuwawa na madikteta kupitia njaa, vita, ukosefu Wa afya, wakoloni weusi wamefisadi nchi zao na kuficha nje jumla ya matlioni mangapi, tatizo la ajira alikuwapo kabla ya uhuru ajira zilijaa viwandani, mashambani, biashara zililipa nk. Baada ya uhuru ndipo mambo yalipoanza kuharibika
 
Kessy west,
Hata sasa wangalipo wakoloni ni heri wakoloni weupe kuliko wakoloni weusi.
Wakoloni weupe walituletea maendeleo huku wakitutesa wakoloni weusi wametuletea umasikini huku wakitutesa
 
Barbarosa, Yani hakuna ambaye kimsingi atakujibu hoja zako kwa maelezo yaliyonyooka.

Kimsingi kama wakoloni walikuwa wabaya,kama hivyo tunavyoelezwa!Hawa waliokuwepo si wangetuletea maendeleo zaidi ya haya.

Lakin miaka takribani 50,kilichofanyika si sawa na alichofanya mkoloni miaka hiyo.Iyo nchi ya mwisho kuandoka Afrika ndo yenye maendeleo Africa.

Watu waliwafukuza ili wagawane rasilimali za Taifa.nl

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya hayo ulioyataja hayakufanywa kwetu, kwingine sawa waligawanywa Ukabila au Dini lkn kwetu hilo halikufanyika na ndo maana tunaishi pamoja Dini zote.
Ma mdogo leo umetuacha wachagga tupumue kidogo?!
 
Sina utakatifu wowote..

na, unataka kusemaje Mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nachotaka kusema, hakuna binadamu mkamilifu, na ukitaka kulinganisha utawala wa kikoloni na utawala wa sasa wote wanamapungufu yao, lakini nakataa kama utawala wa sasa ni katili sana kuliko wa kikoloni. Kwa serikali iliyochaguliwa na wananchi wenywe huwezi kulinganisha na serikali ya mkoloni iliyojipa madaraka bila ridhaa ya mtu yoyote na inachukiwa maamizi nje ya nchi na kufaidisha watu wao wa nje.
 
Nachotaka kusema, hakuna binadamu mkamilifu, na ukitaka kulinganisha utawala wa kikoloni na utawala wa sasa wote wanamapungufu yao, lakini nakataa kama utawala wa sasa ni katili sana kuliko wa kikoloni. Kwa serikali iliyochaguliwa na wananchi wenywe huwezi kulinganisha na serikali ya mkoloni iliyojipa madaraka bila ridhaa ya mtu yoyote na inachukiwa maamizi nje ya nchi na kufaidisha watu wao wa nje.
Uchaguzi wa vijiji na mitaa umekiwa wa hovyo kupita maelezo,hebu niambie...upumbavu huu mkoloni mweupe aliwahi kuufanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawakuiba sawa, lakini walitutawala bila ridhaa yetu, ubaguzi wa elimu, dini, kabila, walitugawa sana ili watutawale vizuri
Kwani sasa hivi tunatawaliwa kwa ridhaa yetu?? Je Elimu yetu haina matabaka?? Je udini haupo??? Je kwenye utawala tulionao ukabila haupo??

Mwisho ni je CCM na mkoloni nani mnyonyaji zaidi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivi wakoloni wanajuta kuja africa kipindi kile, kama wangejua basi wangebakia huko kwao na kujenga mataifa yao. Sisi africa kiukweli hatuna "FADHILA WALA SHUKRANI".

Dunia hata itusaidie vipi, iwe kwa misaada ya dawa na fedha au wataalamu, malipo tunayowapa ni matusi na kejeli.
Jiwe namshangaa sana. Anasaidiwa sana na hawa wafadhili wetu ambao Mungu kawapa upeo, ila yeye kila siku kutuimbia ngonjera za mabeberu.
 
Uchaguzi wa vijiji na mitaa umekiwa wa hovyo kupita maelezo,hebu niambie...upumbavu huu mkoloni mweupe aliwahi kuufanya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wakati wa mkoloni kulikuwa na huo uchaguzi? Mchaguwane ili mpange njama ya kuwadhuru wakoloni. Jaribuni hata mjifunze mawili matatu nini kilitokewa wakati wa mkoloni. Mkoloni alikuwa anateua watu anaojua hawezi kumletea shida (ma DC an RC). Nchi ilikuwa inaongozwa na Gavana Mzungu aliteuliwa na watawala wake wa Ulaya.
 
Q-liner,
True waliojiita wapigania uhuru walipigania maslai yao kwa kuwaadaa wengi wawafukuze wakoloni watakula mema ya nchi tumeona baada ya uhuru ni wapigania uhuru na familia zao ndio walao mema ya nchi wakigeuka miungu watu na mabilionea check familia ya kina kenyatta,mugabe,mobutu, do Santos ,zuma, abacha, nk huku wakiwaacha wengi wakitopea kwenye ufukara hizi familia hazina historia za utajiri Wa from the start yaani kabla ya uhuru ni baada ya uhuru ndipo zilipoanza kupora raslimali za nchi.
 
Barbarosa,
Kama hawakuiba kamuulize Hayati Nyerere kwann aling'oa mataruma Mtwara , tren ndio utajuwa ulikuwa sio wizi ila ujambazi
 
Ukoloni ni mbaya ila kosa kubwa lililofanywa na Baba wa Taifa baada ya Tanganyika kupata uhuru ni kufukuza na kutaifisha mali za wawekezaji wa kizungu, naamini hata huko aliko hili kosa analijutia kwa kudhani watanganyika tungeweza viendeleza hivyo vyanzo vya uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom