Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Very true, wanawake wanaboa sana
 
Treena unamtumia likiwa na kichaka unamwambia babe limekumiss uje ulishevu 🀣🀣🀣
Hapo umelijaza mafuta linameremeta πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Watu mmepinda hadi mimi Malaika nawaogopa.
 
Wanaume wa jeiefu poleni sana
 
Hongera mkuu, eeh hizo swagger km zipi em orodhesha nione
1. Tukiwa tunatembea akiwa anapenda kushika kama kuvuta nguo/shati langu! Mara nyingi shati langu kwa nyuma hivi kimtindo
2. Kupenda nimshikie vitu vyake kama simu, au vikorokoro vyao
3. Tukiwa tumekaa kuna jinsi wanachezesheaga miguu/mikono/vidole vile amazing kimtindo huwa inanipa mzuka kumuangalia
4. Kuna jinsi ambavyo anakuitikia nikiwa naongea au kuinua kichwa kuashilia ananisupport ninachoongea! Hii hata asipoongea mimi nitaendelea kukata mistari na sitachoka!
4. Tabasamu!
5. Kuwa na mashauzi ya kuhisi anajisikia baridi na kutaka body contact yangu/kuniegemea/kunilalia
6. Kutokujua mambo mengi na kuwa mgeni kwa story ntakazokuwa nampigia. Sasa hapa ndo mahali manzi wanakata stimu zetu, unaanzisha story anaidakia kwa juu na kuimalizia πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…
7.....
8.....
Lamomy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…