Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…ukiongea sana pia utasemwa. Kabla hajaenda watuambie wanataka mada gani tusome kabisa. Kama ni kuhusu Mwabukusi au lah
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ fair!
 
Mnatofautiana interests, hili halihitaji hata digirii kulielewa.

Yโ€™all very slow ๐Ÿ˜‚

Huwa nacheka sana wanaume mnavyowananga wanawake hawana akili sijui nini nini.
 
Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.
Ndiyo maana kwenye mahusiano mnatakiwa muwe zaidi ya wapenzi....muwe marafiki na muwe mnataniana. Lkn kama mnaongea utadhani mtu na bosi wake au mtu na mwanaye, ndiyo hayo yanajitokeza.

Tatizo kubwa la mahusiano ya Sasa ni age difference kuwa kubwa kat ya wapendanao. Mfano Haji Manara na Zaylisa ni mtu na mwanaye. Wataongea nini wakiwa out?
 
Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.

Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.

"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Mwarobaini wa tatizo ni huu.

1. Usimtafute mpaka uwe na issue naye yaani uwe na la kumuambia,baada ya hapo unamuaga.

Kama unapiga simu mpigie kwajshu maalumu tu unamuambia then unamjaga,kama unaonana nae iwe kwa ishu maalumu tu then unamuga.

Kama umemtoa out make sure unafanya mambo mawili.
a - hakikisha unamuuliza maswali ambayo yatakayomfanya azungumze zaidi kuhusu yeye,usisubiri tu abuni mazngumzo.

Mazungumzo ya kubuni hayanaga ladha maana unajua hasa kwamba hapa naongea ili tusionekane hatuna content,sasa je hilo ndio lengo la mazungumzo au mazungumzo lengo lake ni kufurahi na kujua mambo ambayo haukuwa unayajua ?

So Stiki kwenye hayo malengo,kama lengo ni kufurahi ama kumjua mtu basi muulize maswali ya kawaida ambayo yatamfanya ajizungumzie yeye.

Mfano wa maswali uwe unauliza open ended question na sio close ended question. Mfano
Unaonekana kama ni mtoto wa kwanza kwenye famimia yenu kwani nakuona kama unavitabia fulani vya kiuongozi hivi maana jana nikuona unawaelekeza watu kwa upendo namna ya kufanya jambo fulani...
Yeye atajibu kwa urefu pia.

Mara nyingi the long the question the long the answer(like attract like).
So ukiataka umshawishi aongee basi nawewe muize maswali yenye maelezo hasa ya kumuhusu yeye na bas yeye atakupa majibu yenye maelezo hasa ya kumhusu yeye.

Kwa kufanya hivyo utamfanya ajisikie vizuri kwa sababu uzoefu unaonesha kwamba mtu akisikilizwa huku anajizungumzia mwenyewe basi anajisikia amani.

Si ushawahi kuona ukikaa na mtu ambaye anajizungumzia mwenyewe tuuu wewe si unakereka kwamba kwa nini anajizungumzia yeyr tu ? Unadhani kwa nini anajizungumzia yeye tu ? Ni kwa sababu inanogaga sana kuona watu wanakusikiliza ukijizungumzia wewe mwenyewe,so the same na kwa mwanamke.

Ukiona unamuuliza maswali marefu yenye kumhusu yeye alafu yeye anakujibu majibu mafupi sana na kukaa kimya basi muage kwa dharura yoyote ile then usimtafute tena,kama atakuwa interested na wewe atakutafuta na atajirekebisha na kama hatomuwa interested atakaa kimya na wewe utasalimika kwa sababu mwanamke ambaye hayuko interested na wewe wa nini weye ?
 
Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.

Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.

"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Kaka umeongea Sana point chukua 1000 ya soda.

Kuna pisi kadhaa zinaniambia naongea sana kwasababu wao hawana content kidume nitasifia mpaka point zinaniishia
 
Wanaume wa Tanzania punguzeni kushindana na wanawake, wanawake ni viumbe dhaifu, sisi kama wanaume inatakiwa tuwaongoze, tuwaonyeshe njia , sisi ni wanaume hatutakiwi kufocus kufuatilia wanawake kila siku, mwanaume lazima focus yako iwe kwa vitu mhimu, kutafuta pesa, kuwa na maisha bora, lazima upige hatua kutoka A kwenda B.

Hizi issues za ohh wanawake wako vile mara vile hazikuletei ugali mezani, uko na options kibao, kama haendani navwewe msaidie aendane, mahusiano maana yake sio kucheka na kutangaza mapungufu ya mwenzio ila kuya rekebisha tena kwa upendo huku ukifurahia maidhaifu yake, usifikiri mahusiano ni lelemama, na kwa taarifa yako hautapata mkamilifu dunia hii, labda ukaoe mbinguni.
Evelyn Salt haujamuuliza huyu yuko wapi? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wewe ndio umuulize vitu ambavyo vinakuvutia.

Lengo la outing ni kumtambua, kumwelewa na mjuane vizuri

Hawezi kujua wewe unawaza nini akilini ili aguse mada zinazokuvutia

Sasa wewe kama mwanaume unahitaji ustadi wa kucheza na maswali matamu ya vitu vinavyokuvutia ili ajieleze

Ila usiwe na maswali kama polisi
Evelyn Salt na huyu haujamuuliza yuko wapi? ๐Ÿ˜‚
 
Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.

Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.

"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"

Sbb huna fedha, ndio maana unaongea sanaa wewe kufidia ukosefu wa fedha, ukiwa na fedha wao ndio wanaongea sanaa
 
Wewe ndio umuulize vitu ambavyo vinakuvutia.

Lengo la outing ni kumtambua, kumwelewa na mjuane vizuri

Hawezi kujua wewe unawaza nini akilini ili aguse mada zinazokuvutia

Sasa wewe kama mwanaume unahitaji ustadi wa kucheza na maswali matamu ya vitu vinavyokuvutia ili ajieleze

Ila usiwe na maswali kama polisi
Ulichozumgumza ni sahihi kabisa,na hii inaonyesha mwanaume ni kiongozi kwa kila kitu hata katika maongezi

Lakini nadhan vile vile mtoa mada ana hoja ya kusikilizwa,naamini kabisa kuna wanawake wengine wanaboa sana,sijui ni kutaka kuonekana sio waongeaji au ndio kukuacha wewe uwe mzungumzaji hata sielewi

uko na mtu out unajaribu kumuuliza maswali ya hapa na pale kutaka kufahamiana,unajaribu kuongea hili au lile lkn unamuona mtu kama hana mchango sana

Niliwahi kukutana na madam wa hivi,kwakwel hadi inaboa yan,na hata sikupendelea kutoka nae out

Ila kuna mwingine mpaka unainjoy kuwa nae,yan maongezi matamu mpaka basi,binafsi nikikutana na mwanamke ana busara,hekima na muelewa wa mambo yaan daah yan huyo moyo wangu namfungashia aondoke nao

Eti nyie mnaongea kwa simu sijui dakika 40 au 30 au zaidi ya hapo,huwa mnaongea nini?
 
NAKAZIA
 
Kumbe bado uzi unaendelea tu aisee๐Ÿ˜œ๐Ÿ™†๐Ÿ™‡
 
Back
Top Bottom