mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
wewe mbona unapondea sana wenzakoNaunga mkono hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe mbona unapondea sana wenzakoNaunga mkono hoja
Huyo hamjazoeana mpe muda uje kulalamika umeoa vipindi vya wasafi fm😅😅😅aisee wanaume tuna shida, yaan cha kukwambia mm nifikirie, na cha wewe kuniambia mm, nacho pia inabidi nikwambie mm, sasa wewe unachangia nn kweny mazungumzo, eti?
𝑫𝒂𝒉 𝒏𝒆𝒏𝒐 𝒉𝒖𝒂 𝒍𝒊𝒏𝒂 𝒌𝒆𝒓𝒂 𝒉𝒊𝒍𝒊 𝒘𝒂𝒌𝒂𝒕𝒊 𝒚𝒆𝒚𝒆 𝒏𝒅𝒐 𝒌𝒂𝒌𝒖𝒕𝒂𝒇𝒖𝒕𝒂"NIAMBIE "
Hajakutana na kina sie wambea atapewa umbea wa mji mzima hata hiyo out ataiona fupi, sasa yeye kaenda kumchukua wale wa nampenda yesu anategemea nini?Wanaume tukianza kuwaambia anko kameza shoka na gesi imeisha mnalalamika, tukinyamaza mnalalamika.!!
Haya mseme nyie mnataka tujadili kitu gani??
Hii thread sio ya kumponda mtu yeyotewewe mbona unapondea sana wenzako
[emoji3]Hajakutana na kina sie wambea atapewa umbea wa mji mzima hata hiyo out ataiona fupi, sasa yeye kaenda kumchukua wale wa nampenda yesu anategemea nini?
😂😂😂 si ndio hapo.!!Hajakutana na kina sie wambea atapewa umbea wa mji mzima hata hiyo out ataiona fupi, sasa yeye kaenda kumchukua wale wa nampenda yesu anategemea nini?
Kumbe anachosema mtoa mada ni kweli!Wanaume tukianza kuwaambia anko kameza shoka na gesi imeisha mnalalamika, tukinyamaza mnalalamika.!!
Haya mseme nyie mnataka tujadili kitu gani??
Miaka miwili bado hatujazoeana, hapana kwa kweli.Huyo hamjazoeana mpe muda uje kulalamika umeoa vipindi vya wasafi fm
Asubuhi- michezo
Mchana- umbea
Usiku- story za kunyegezana.!!
Mimi nampenda yesu😅[emoji3]
wewe ni wampenda nani?
Hakina ukweli yeye hajapata kiredio cha mchina, kapata mwanamke mpole.!!Kumbe anachosema mtoa mada ni kweli!
Wanawake kama nyie mnapatikana wapi??Hajakutana na kina sie wambea atapewa umbea wa mji mzima hata hiyo out ataiona fupi, sasa yeye kaenda kumchukua wale wa nampenda yesu anategemea nini?
We sema tu una mdomo sana ila unajibalaguza hapa, na itakuwa wanakuchora tu kwamba mwanaume gani anaongea namna hiiKiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.
Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.
"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Huyo wa kwako, ngoja wenzio waje kutoa ushuhuda kuhusu wanawake zao.!!Miaka miwili bado hatujazoeana, hapana kwa kweli.
Shida ni kwamba kwann kila story lazima nianzishe mm? Nyie wanawake hamuwez?
Tujadili jezi za YangaWanaume tukianza kuwaambia anko kameza shoka na gesi imeisha mnalalamika, tukinyamaza mnalalamika.!!
Haya mseme nyie mnataka tujadili kitu gani??
Sema Kuna Raha flan ya kua na demu mkiongelea jambo anakua na idea flan au hata kama hajui anauliza maswali ya msingi, demu flan sio muongeaji sana mwenye staha, akiongea anaongea mambo ya msingiHakina ukweli yeye hajapata kiredio cha mchina, kapata mwanamke mpole.!!
Aje kudate winga muda wote niko nginja nginja km nampanga mteja 😹😹😹