Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

😅😅😅aisee wanaume tuna shida, yaan cha kukwambia mm nifikirie, na cha wewe kuniambia mm, nacho pia inabidi nikwambie mm, sasa wewe unachangia nn kweny mazungumzo, eti?
Huyo hamjazoeana mpe muda uje kulalamika umeoa vipindi vya wasafi fm
Asubuhi- michezo
Mchana- umbea
Usiku- story za kunyegezana.!!
 
Wiki ijayo nenda na nondo za Water Rodney, "How Europe underdeveloped Africa". Ukitoka hapo mpige na ujenzi wa SGR lot 5. Ukitoka hapo muulize kuhusu report ya Mkaguzi wa hesabu za serikali. Akitoka hapo hana hamu na wewe.

Wale wa kampeni ya kataa ndoa hapa washapata pa kukazia.
 
Wapo shallow, yaani hawajui mambo mengi, na hilo linawafanya wawe wabovu kwenye mazungumzo.

Siku hizi imekuwa kawaida wanawake kufuatilia michezo, lakini sana sana mpira tu, michezo mingine kapa...

Siasa, uchumi, maendeleo kapa....

Filamu kapa.... eti jua kali, jua kali ndo nini?

Kiufupi unazungumza nao kama unavyozungumza na watoto.... utani utani, kuchekeshana, basi.
 
Hajakutana na kina sie wambea atapewa umbea wa mji mzima hata hiyo out ataiona fupi, sasa yeye kaenda kumchukua wale wa nampenda yesu anategemea nini?
😂😂😂 si ndio hapo.!!
Hajakutana na wambea, yani mi babe wangu mpk anachoka mana taarifa zote ninazo sio za siasa sio za udaku ni yeye kuchagua tuanze na ipi??
Sijawahi kosa content hata yanayoendelea kwenye familia yao ninayo.!!
 
Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.

Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.

"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
We sema tu una mdomo sana ila unajibalaguza hapa, na itakuwa wanakuchora tu kwamba mwanaume gani anaongea namna hii
 
Hakina ukweli yeye hajapata kiredio cha mchina, kapata mwanamke mpole.!!
Aje kudate winga muda wote niko nginja nginja km nampanga mteja 😹😹😹
Sema Kuna Raha flan ya kua na demu mkiongelea jambo anakua na idea flan au hata kama hajui anauliza maswali ya msingi, demu flan sio muongeaji sana mwenye staha, akiongea anaongea mambo ya msingi
 
Back
Top Bottom