Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Ukiona katulia wewe unajua hakuzingatii, kumbe kuna points zake za msingi anachukua 😹😹😹
Ila umbea wa wapenzi mtamu awww 🥰 yani mkimaliza lazima mshtue na kimono kukazia umbea 😹😹😹
😅😅😅😅balaa balaa na anauliza vimaswali vya kuendeleza umbe mbe
 
suala sio wao kuongea sana, hapana

suala ni wanachoongea

kutokuwa na content ile anaongea vitu ambavyo havikuvutii
Wewe ndio umuulize vitu ambavyo vinakuvutia.

Lengo la outing ni kumtambua, kumwelewa na mjuane vizuri

Hawezi kujua wewe unawaza nini akilini ili aguse mada zinazokuvutia

Sasa wewe kama mwanaume unahitaji ustadi wa kucheza na maswali matamu ya vitu vinavyokuvutia ili ajieleze

Ila usiwe na maswali kama polisi
 
Sema Kuna Raha flan ya kua na demu mkiongelea jambo anakua na idea flan au hata kama hajui anauliza maswali ya msingi, demu flan sio muongeaji sana mwenye staha, akiongea anaongea mambo ya msingi
Wewe kwa wapenzi hakuna staha shtuka unaibiwa 😹😹😹
Sasa mke km huyo ana tofauti ipi na mama yako??
Mi kuna muda wa kujadili jinsi y’a kupata pesa ila baada ya hapo lazima nimuonyeshe mpenzi wangu tofauti ya mimi na mama yake pamoja na relatives wa kwao.!!
Lazima nikuchangamshe buana 🤣🤣
 
Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.

Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.

"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Kama ulikuepo katika akili yangu content zao zero 😂😂😂
 
Wewe ndio mzembe umeshindwa kumwongelesha mbona huwa wanaongea vizuri tu

Muulize maswali mazuri yatakayomfanya ajieleze utaona anavyofunguka

Vijana mnakosa content mnawasingizia mabinti
Mzee, mambo hayako hivyo, wanaume ndo tunajibu maswali sio wewe tena ndo unauliza maswali, wanawake hawapendi maswali, kwa sababu sio nature yao kuwa na maarifa mengi.

Mwanaume ndo inabidi uwe na majibu, not the other way around.

Yeye ndo inabidi aniulize maswali mm, mm sina shida inapokuja swala la kumwelezea mambo ninayojua, tena ndo nafurahi, sas unakuta mwanamke hata maswali hakuulizi, haya ukimuuliza wewe maswali hana majibu hana content yeyote zaidi ya umbea tuu na story za mjini na tamthilia.

Kama wewe ndo huwa unauliza maswali badala ya wewe kuwa na majibu, bac hio ni ajabu.

Lamomy nasema uongo??
 
Wewe ndio umuulize vitu ambavyo vinakuvutia.

Lengo la outing ni kumtambua, kumwelewa na mjuane vizuri

Hawezi kujua wewe unawaza nini akilini ili aguse mada zinazokuvutia

Sasa wewe kama mwanaume unahitaji ustadi wa kucheza na maswali matamu ya vitu vinavyokuvutia ili ajieleze

Ila usiwe na maswali kama polisi
upo sahihi kabisa,

na kama humuelewi, unampotezea

sasa mleta mada anashtua kidogo, anasema ameishi nae miaka miwili

naona kama na yeye ana makosa
 
Wewe kwa wapenzi hakuna staha shtuka unaibiwa 😹😹😹
Sasa mke km huyo ana tofauti ipi na mama yako??
Mi kuna muda wa kujadili jinsi y’a kupata pesa ila baada ya hapo lazima nimuonyeshe mpenzi wangu tofauti ya mimi na mama yake pamoja na relatives wa kwao.!!
Lazima nikuchangamshe buana 🤣🤣
😅😅ndo hivyo siku moja moja unampigia kavideo mnaonyeshana madudu washa, sio kupooza tu kujifanya mtakatifu Maria mwenye heri, kuna ex alighairi kumuoa sababu tu hakuwa muongeaji nikaingia kivuruge sasa mpaka kanisani tukaenda
 
Mm pia nilikuwa kama wewe ila nilikuja kugundua ukiwa serious kwa wanawake ndo yanatokea kama hayo ongea vitu vya kipuuzi na jokes utaona anafunguka mpigie story za kuchekesha
 
😅😅ndo hivyo siku moja moja unampigia kavideo mnaonyeshana madudu washa, sio kupooza tu kujifanya mtakatifu Maria mwenye heri, kuna ex alighairi kumuoa sababu tu hakuwa muongeaji nikaingia kivuruge sasa mpaka kanisani tukaenda
Treena unamtumia likiwa na kichaka unamwambia babe limekumiss uje ulishevu 🤣🤣🤣
Hapo umelijaza mafuta linameremeta 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Back
Top Bottom