Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
- Thread starter
- #81
Of courseNdio.
Ila sidhani kama mleta mada ni moja kati ya hao watu, na huu uzi umelenga wanaume tunaopenda wanawake wajuaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Of courseNdio.
Ila sidhani kama mleta mada ni moja kati ya hao watu, na huu uzi umelenga wanaume tunaopenda wanawake wajuaji
😅😅😅😅ukiongea sana pia utasemwa. Kabla hajaenda watuambie wanataka mada gani tusome kabisa. Kama ni kuhusu Mwabukusi au lahWanaume tukianza kuwaambia anko kameza shoka na gesi imeisha mnalalamika, tukinyamaza mnalalamika.!!
Haya mseme nyie mnataka tujadili kitu gani??
😅😅😅😅balaa balaa na anauliza vimaswali vya kuendeleza umbe mbeUkiona katulia wewe unajua hakuzingatii, kumbe kuna points zake za msingi anachukua 😹😹😹
Ila umbea wa wapenzi mtamu awww 🥰 yani mkimaliza lazima mshtue na kimono kukazia umbea 😹😹😹
Uzuri mmoja ,tushaelewa ni torati hiyoHiyo siku hizi tumeacha tumelevel up, ss hivi “Mume nimekumiss nikukumbatie ila ukikaribia kufika nishtue”
Sasa ukikaribia kufika na ukimshtua umeisha 😹😹😹
wewe unafaa tutakuwa tunapiga stori za dolaUkiona katulia wewe unajua hakuzingatii, kumbe kuna points zake za msingi anachukua 😹😹😹
Ila umbea wa wapenzi mtamu awww 🥰 yani mkimaliza lazima mshtue na kimoko kukazia umbea 😹😹😹
Wewe ndio umuulize vitu ambavyo vinakuvutia.suala sio wao kuongea sana, hapana
suala ni wanachoongea
kutokuwa na content ile anaongea vitu ambavyo havikuvutii
Wewe kwa wapenzi hakuna staha shtuka unaibiwa 😹😹😹Sema Kuna Raha flan ya kua na demu mkiongelea jambo anakua na idea flan au hata kama hajui anauliza maswali ya msingi, demu flan sio muongeaji sana mwenye staha, akiongea anaongea mambo ya msingi
Hizo ndio story zangu pendwa napenda pesa kuliko maelezo.!! 😻😻wewe unafaa tutakuwa tunapiga stori za dola
Kama ulikuepo katika akili yangu content zao zero 😂😂😂Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.
Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.
"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
😹😹😹Uzuri mmoja ,tushaelewa ni torati hiyo
Mzee, mambo hayako hivyo, wanaume ndo tunajibu maswali sio wewe tena ndo unauliza maswali, wanawake hawapendi maswali, kwa sababu sio nature yao kuwa na maarifa mengi.Wewe ndio mzembe umeshindwa kumwongelesha mbona huwa wanaongea vizuri tu
Muulize maswali mazuri yatakayomfanya ajieleze utaona anavyofunguka
Vijana mnakosa content mnawasingizia mabinti
upo sahihi kabisa,Wewe ndio umuulize vitu ambavyo vinakuvutia.
Lengo la outing ni kumtambua, kumwelewa na mjuane vizuri
Hawezi kujua wewe unawaza nini akilini ili aguse mada zinazokuvutia
Sasa wewe kama mwanaume unahitaji ustadi wa kucheza na maswali matamu ya vitu vinavyokuvutia ili ajieleze
Ila usiwe na maswali kama polisi
Mpeni mudaupo sahihi kabisa,
na kama humuelewi, unampotezea
sasa mleta mada anashtua kidogo, anasema ameishi nae miaka miwili
naona kama na yeye ana makosa
😅😅ndo hivyo siku moja moja unampigia kavideo mnaonyeshana madudu washa, sio kupooza tu kujifanya mtakatifu Maria mwenye heri, kuna ex alighairi kumuoa sababu tu hakuwa muongeaji nikaingia kivuruge sasa mpaka kanisani tukaendaWewe kwa wapenzi hakuna staha shtuka unaibiwa 😹😹😹
Sasa mke km huyo ana tofauti ipi na mama yako??
Mi kuna muda wa kujadili jinsi y’a kupata pesa ila baada ya hapo lazima nimuonyeshe mpenzi wangu tofauti ya mimi na mama yake pamoja na relatives wa kwao.!!
Lazima nikuchangamshe buana 🤣🤣
Bibi kirikou
Awww shosti umbea mtamu halafu mkimaliza kanakujaga kausingizi katraamuuu 😂😂😂😅😅😅😅balaa balaa na anauliza vimaswali vya kuendeleza umbe mbe
Treena unamtumia likiwa na kichaka unamwambia babe limekumiss uje ulishevu 🤣🤣🤣😅😅ndo hivyo siku moja moja unampigia kavideo mnaonyeshana madudu washa, sio kupooza tu kujifanya mtakatifu Maria mwenye heri, kuna ex alighairi kumuoa sababu tu hakuwa muongeaji nikaingia kivuruge sasa mpaka kanisani tukaenda
Mjukuu wangu kirikou hujambo?Bibi kirikou