Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
ShikamoMjukuu wangu kirikou hujambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ShikamoMjukuu wangu kirikou hujambo?
Anakukadilia akupige Mzinga/kirungu cha shillingi ngapi baada ya maongezi.Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.
Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.
"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Raha sio raha, mtoa mada asitujumuishe na mtakatifu wake aiseeTreena unamtumia likiwa na kichaka unamwambia babe limekumiss uje ulishevu 🤣🤣🤣
Hapo umelijaza mafuta linameremeta 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Ni kweli wengi wapo ivoo mkuu, me kuna mmoja kanipigia afu kasema nambyKiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.
Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.
"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Hii haijakaa kuneko mstari mbn😂Raha sio raha, mtoa mada asitujumuishe na mtakatifu wake aisee
naulizaga nikuambie nini?"NIAMBIE "
🤣🤣🤣 mahi huyo kapata mwanamke kapoa km uji wa magimbi lazima nyumba aione chungu na ukichukulia yeye wa mataifaRaha sio raha, mtoa mada asitujumuishe na mtakatifu wake aisee
Nikiona nambie namwambia " nakupenda" anachomoa tena 😂😂😂😂naulizaga nikuambie nini?
Kasheshe🤣🤣🤣 mahi huyo kapata mwanamke kapoa km uji wa magimbi lazima nyumba aione chungu na ukichukulia yeye wa mataifa
Hakuna mbona hata kwangu wanakuwaga hivo dadekii limtu linakupigia alafu linakwambia semelea🤣🤣🤣 mahi huyo kapata mwanamke kapoa km uji wa magimbi lazima nyumba aione chungu na ukichukulia yeye wa mataifa
Sio wote mkuuSema nini mwanetu, huyo manzi ajakupenda. Mwanamke akikuelewa hautakuwa unaongea tena maana mahangaiko yake anakuwa mfano wa yule kuku anataka kutaga 😂
Alitakiwa awe anakupa umbea mdomo usichachishe maneno🤔Sema nini mwanetu, huyo manzi ajakupenda. Mwanamke akikuelewa hautakuwa unaongea tena maana mahangaiko yake anakuwa mfano wa yule kuku anataka kutaga 😂
Unakitu utafika mbaliBado huwajui wanawake, mwanamke anategemea ww umuongoze kwenye mahusiano lkn ukiwa mjanja zaidi hutakiwa kuongea sana, inabidi uchombeze vitu vitavyofanya yeye afunguke zaidi, na usitake mazungumzo serious sana kama siasa n.k hapo ndo unapofeli.
Unakitu utafika mbali
[/Q😂
Woman is not for every man...😜Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.
Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.
"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"