Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.

Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.

"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Anakukadilia akupige Mzinga/kirungu cha shillingi ngapi baada ya maongezi.
 
Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.

Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.

"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Ni kweli wengi wapo ivoo mkuu, me kuna mmoja kanipigia afu kasema namby

Asa, yey ndo kapiga simu then anasema namby me nmwambie nn wakat yy ndo ana shd na mm
 
Bado huwajui wanawake, mwanamke anategemea ww umuongoze kwenye mahusiano lkn ukiwa mjanja zaidi hutakiwa kuongea sana, inabidi uchombeze vitu vitavyofanya yeye afunguke zaidi, na usitake mazungumzo serious sana kama siasa n.k hapo ndo unapofeli.
 
Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.

Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.

"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Woman is not for every man...😜
 
Back
Top Bottom