Kushambuliwa Tundu Lissu: Mwigulu aahidi vyombo vya dola vitawatia mbaroni watu wasiojulikana!

Anza kwanza kuwapata waliolipua arusha kipindi kile,halafu leta wauaji wa mwangosi,leta waliomtishia siraha Nape na waliovamia clouds,leta waliomteka Roma,leta wanaoua watu na kuwatupa kwenye viroba beach,halafu ndo ututafutie wa lisu uone kma na we ha..........
 
Chadema mbona kama mnaweka vikwazo!!!!!
 
Kuna wana CCM akiwagusa atakoma, Nape knows what is doing believe me
tuache kuhamishia hisia zetu kwa mh Nape.tusimjengee maadui.tumwache afanye yale anayostahili kwa nafasi yake ktk kutumikia wananchi wake na watanzania wenzake.!
 
Misheni imekamilika.hata mkiwakamata kazi bure.maana haitarudisha UZIMA WA LISSU.mbwa was muindaji akiuliwa kwenye mapambano.muindaji HANA HASARA.atatafuta mbwa mwingine.
Mwenye masikio asikie

Mwenye akili AFIKIRI.
du ! fumbo kali
 
Angeshambuliwa mama yako ungepata ujasiri wa kusema hivyo? Au tuseme unahusika, unaogopa kuumbuliwa, maana oamoja na vielelezo vyote" namba za gari, kauli za viongozi juu ya TL , Kutopatikana kwa wahisika hadi sasa" ni dhahiri hakuna upelelezi unaiendelea.
 
Wewe mpiga mabomu wa Soweto Arusha,bora ukae kimya.Unatia kinyaa na hicho cheti chako feki cha ilboru !!! Muuwaji usiye Haya mbele za Mungu na wana damu wewe !! .mbona hujikamati na Soweto uliuwa watu lukuki.sinema zako za kufundishiwa na ccm usitutie Nazo kichefuchefu.waziri wa tumbo wahedi wewe.njaa tu ndo inakufanya uongee ujinga !.wauwaji wa kibiti, walio muuwa mawazo,diwani wa muleba,watekaji wa ulimboka,Roma,walio tosa watu ruvu,na sasa hivi watu wanatoshwa baharini bila idadi,watosaji,wako wapi,mbona hao huwakamati ??? Unaishia kuita marehemu,wahamiaji haramu !!! Uliwajuaje uharamu wao kama huhusiki kuwauwa ???kila matendo yako na kauli zako ni wasiwasi mtuoi.alafu unatuletea uwaziri sura hapa !! Mbuzi mawe kasoro tumbo wewe,njaa tu ndo umetanguliza feki kabisa wewe.hujioni vibaya kubweka wakati hakuna unaloweza kufanya wala kusimamia !! Kazi kukimbiza wapinzani na kuwamiminia mirisasi wasiwaumbueni ! Tutapiga kelele ya uchunguzi huru mpakamwisho wa dunia sio wewe muuwaji wa Soweto utakayefanya uchunguzi dhidi yako mwenyewe ! Njino tu zimekutangulia.
 
uchunguzi huru twautaka kama hamuhusiki mbana hataki? bado mtaenda makanisani tena?wakati ni wauaji wakubwa?Mungu amewaumbua mlidhani mtaendelea kuua bila kujulikana?
 
uchunguzi huru twautaka kama hamuhusiki mbana hataki? bado mtaenda makanisani tena?wakati ni wauaji wakubwa?Mungu amewaumbua mlidhani mtaendelea kuua bila kujulikana?
Tunataka uchunguzi huru! tumemsikia na cj naye anabisha kwani akiletewa mashaidi si ndo vizuri?mbona anakua refa tena wa upande mmoja?
 
Dada Joy watch out! he's a very active JF member! mbaya zaidi umetumia jina lako halisi kasoro (') tunajiachia kwa fake IDs! shauri ako!
 
Yupo sahihi mwigulu
Nchi hii ni huru
sio lazima uchunguzi ufanywe na vyombo vya usalama toka nje!
Hakuna anaye hoji uhuru wa nchi, tatizo ni imani kwa vyombo vyetu na historia inavishuhudia
 
huyu kazi anayoweza ni kujifunga skafu na kuvaa tie yenye rangi za bendera ya tanzania tu labda na kulea familia yake
 
Reactions: BAK
unawadanganya hiyo style kwa awamu hii haitawezekana wajaribu waone wataishia jela wote
 
upelele bado unaendelea ww unataka nn tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…