kamanda mbigi
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 1,241
- 1,546
Lameck madelu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema mbona kama mnaweka vikwazo!!!!!Anza kwanza kuwapata waliolipua arusha kipindi kile,halafu leta wauaji wa mwangosi,leta waliomtishia siraha Nape na waliovamia clouds,leta waliomteka Roma,leta wanaoua watu na kuwatupa kwenye viroba beach,halafu ndo ututafutie wa lisu uone kma na we ha..........
VP hivyoChadema mbona kama mnaweka vikwazo!!!!!
Yaani walimshambulia Lissu wasitiwe mbaroni hadi kwanza waliowasha!bulia hao uliowataja wapatikane?!!! Hiki ni kikwazo kwa kweli!VP hivyo
tuache kuhamishia hisia zetu kwa mh Nape.tusimjengee maadui.tumwache afanye yale anayostahili kwa nafasi yake ktk kutumikia wananchi wake na watanzania wenzake.!Kuna wana CCM akiwagusa atakoma, Nape knows what is doing believe me
Ni kweli kabisa mkuu!!tuache kuhamishia hisia zetu kwa mh Nape.tusimjengee maadui.tumwache afanye yale anayostahili kwa nafasi yake ktk kutumikia wananchi wake na watanzania wenzake.!
Hata yeye mwenyewe anahusikaMuulizeni Mwigulu alienda kumuaona Nairobi Lissu asituletee maigizo kwan hajui asiyejulikana ni Bashite na anatumwa na mista misifa
du ! fumbo kaliMisheni imekamilika.hata mkiwakamata kazi bure.maana haitarudisha UZIMA WA LISSU.mbwa was muindaji akiuliwa kwenye mapambano.muindaji HANA HASARA.atatafuta mbwa mwingine.
Mwenye masikio asikie
Mwenye akili AFIKIRI.
Angeshambuliwa mama yako ungepata ujasiri wa kusema hivyo? Au tuseme unahusika, unaogopa kuumbuliwa, maana oamoja na vielelezo vyote" namba za gari, kauli za viongozi juu ya TL , Kutopatikana kwa wahisika hadi sasa" ni dhahiri hakuna upelelezi unaiendelea.View attachment 596161
Singida. Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema hakuna haja ya kuanza kuhangaika kutafuta wachunguzi kutoka nje kwa ajili ya kufuatilia wahusika wa shambulizi la Mbunge wa Singida Mashariki(Chadema), Tundu Lissu kwa vile vyombo vya ulinzi na usalama nchini vinajitosheleza na vina weledi na kazi hiyo.
Waziri huyo amesema haoni kwa nini baadhi ya watu wanasisitiza kuletwa kwa wataalamu wa nje kwani hata kama wataletwa bado watalazimika kufanya kazi kwa mazingira ya Kitanzania wakitumia wataalamu waliopo na hata ikiwekezana watahukumiwa kwa kutumia sheria za nchini.
“Nchi yetu inajitegemea hakuna haja ya kuleta vyombo vya nje kufanya uchunguzi...upelelezi utafanywa na vyombo vyetu, watafikishwa katika vyombo vya muhumu na watahukumiwa na watoto wetu,” alisema.
Hivi karibuni Chadema ilitaka wachunguzi nje kuendesha upelelezi kuhusiana na tukio la kushambuliwa kwa Lissu ikidai kuwa hatua yake hiyo haimaanishi kuwa vyombo vya ulinzi na usalama havina uwezo bali vimetuhumiwa katika tukio hilo.
Hata hivyo, Waziri Nchemba alisisitiza kuwa vyombo vya ulinzi na usalama daima viko macho na vinaendelea na kazi ya kuwasaka wale wote wanaojihusisha na matukio ya kushambulia watu.
Amesema suala la uchunguzi haliwezi kukamilika kwa siku moja akitolea mfano jinsi Marekani ilivyotumia muda mwingi kumsaka mtuhumiwa wa ugaidi, Osama bin Laden aliyekuwa kiongozi wa kundi la Al Qaida.
“Uchunguzi hauna ukomo...unaisha pale tu wanapokamatwa wahusika wote lakini vinginevyo uchunguzi hauishi maana hata Marekani walimtafuta Osama kwa muda mrefu sana hawakusema sasa tumesitisha kumsaka,” amesema.
Kiongozi huyo wa Al Qaida aliuawa Mei 2, 2011 na vikosi vya Marekani vilivyoendesha operesheni maalumu iliyoratibiwa kutoka Pentagon na kufuatiliwa kwa karibu na Rais Barack Obama ambaye hivi sasa amestaafu.
Osama alikuwa amejichimbia katika maficho yake nchini Pakistan katika eneo lililojulikana Abbottabad.
Waziri Nchemba aliwatumia salamu wale wanaojulikana kama ‘watu wasiojulikana’ akisema kasumba ya wahalifu wachache kufanya mauaji na kisha kujinadi kwa jina la watu wasiojulikana inaelekea ukingoni.
Ameeleza kuwa dakika za wale wanaojihusisha na uhalifu huo kufikishwa kwenye mkono wa sheria zinahesabika.
uchunguzi huru twautaka kama hamuhusiki mbana hataki? bado mtaenda makanisani tena?wakati ni wauaji wakubwa?Mungu amewaumbua mlidhani mtaendelea kuua bila kujulikana?Wewe mpiga mabomu wa Soweto Arusha,bora ukae kimya.Unatia kinyaa na hicho cheti chako feki cha ilboru !!! Muuwaji usiye Haya mbele za Mungu na wana damu wewe !! .mbona hujikamati na Soweto uliuwa watu lukuki.sinema zako za kufundishiwa na ccm usitutie Nazo kichefuchefu.waziri wa tumbo wahedi wewe.njaa tu ndo inakufanya uongee ujinga !.wauwaji wa kibiti, walio muuwa mawazo,diwani wa muleba,watekaji wa ulimboka,Roma,walio tosa watu ruvu,na sasa hivi watu wanatoshwa baharini bila idadi,watosaji,wako wapi,mbona hao huwakamati ??? Unaishia kuita marehemu,wahamiaji haramu !!! Uliwajuaje uharamu wao kama huhusiki kuwauwa ???kila matendo yako na kauli zako ni wasiwasi mtuoi.alafu unatuletea uwaziri sura hapa !! Mbuzi mawe kasoro tumbo wewe,njaa tu ndo umetanguliza feki kabisa wewe.hujioni vibaya kubweka wakati hakuna unaloweza kufanya wala kusimamia !! Kazi kukimbiza wapinzani na kuwamiminia mirisasi wasiwaumbueni ! Tutapiga kelele ya uchunguzi huru mpakamwisho wa dunia sio wewe muuwaji wa Soweto utakayefanya uchunguzi dhidi yako mwenyewe ! Njino tu zimekutangulia.
Tunataka uchunguzi huru! tumemsikia na cj naye anabisha kwani akiletewa mashaidi si ndo vizuri?mbona anakua refa tena wa upande mmoja?uchunguzi huru twautaka kama hamuhusiki mbana hataki? bado mtaenda makanisani tena?wakati ni wauaji wakubwa?Mungu amewaumbua mlidhani mtaendelea kuua bila kujulikana?
Dada Joy watch out! he's a very active JF member! mbaya zaidi umetumia jina lako halisi kasoro (') tunajiachia kwa fake IDs! shauri ako!Wewe mpiga mabomu wa Soweto Arusha,bora ukae kimya.Unatia kinyaa na hicho cheti chako feki cha ilboru !!! Muuwaji usiye Haya mbele za Mungu na wana damu wewe !! .mbona hujikamati na Soweto uliuwa watu lukuki.sinema zako za kufundishiwa na ccm usitutie Nazo kichefuchefu.waziri wa tumbo wahedi wewe.njaa tu ndo inakufanya uongee ujinga !.wauwaji wa kibiti, walio muuwa mawazo,diwani wa muleba,watekaji wa ulimboka,Roma,walio tosa watu ruvu,na sasa hivi watu wanatoshwa baharini bila idadi,watosaji,wako wapi,mbona hao huwakamati ??? Unaishia kuita marehemu,wahamiaji haramu !!! Uliwajuaje uharamu wao kama huhusiki kuwauwa ???kila matendo yako na kauli zako ni wasiwasi mtuoi.alafu unatuletea uwaziri sura hapa !! Mbuzi mawe kasoro tumbo wewe,njaa tu ndo umetanguliza feki kabisa wewe.hujioni vibaya kubweka wakati hakuna unaloweza kufanya wala kusimamia !! Kazi kukimbiza wapinzani na kuwamiminia mirisasi wasiwaumbueni ! Tutapiga kelele ya uchunguzi huru mpakamwisho wa dunia sio wewe muuwaji wa Soweto utakayefanya uchunguzi dhidi yako mwenyewe ! Njino tu zimekutangulia.
Hakuna anaye hoji uhuru wa nchi, tatizo ni imani kwa vyombo vyetu na historia inavishuhudiaYupo sahihi mwigulu
Nchi hii ni huru
sio lazima uchunguzi ufanywe na vyombo vya usalama toka nje!
unawadanganya hiyo style kwa awamu hii haitawezekana wajaribu waone wataishia jela woteRahisi Tu Cdm Watumie Ij(investigation Journalism) Wa Ndani Ikiwezekana Hata Wa Nje Km Bbc,kipindi Kile Cha Slaa Cdm Walikuwa Wazuri Sna Kwnye Masuala Km Haya Walikuwa Wanadukua Mawasiliano Ya Wanaowashuku Nakuanika Kwnye Mawio Sijui Kinashindikana Nn?
upelele bado unaendelea ww unataka nn tena?Angeshambuliwa mama yako ungepata ujasiri wa kusema hivyo? Au tuseme unahusika, unaogopa kuumbuliwa, maana oamoja na vielelezo vyote" namba za gari, kauli za viongozi juu ya TL , Kutopatikana kwa wahisika hadi sasa" ni dhahiri hakuna upelelezi unaiendelea.