Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Tafta chuo ambacho hakitakupa stress na maisha haya, ila wengi hupenda udsm ila jiandae supervisor akiwa active you will enjoy na kumaliza mapema
[emoji2][emoji2]wee...unavonitisha hvyoo Bado nije Hapo hapo tenaa
Mimi naogopa mamaa,nilivo na hasira ntatukana mtu nifeli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wanasema ukisoma udsm ni advantage cause ni chuo kinachoheshimika ndo maana wengi wanakimbilia pale. Wifi yangu kasoma masters hapo, kuna siku nilimshudia analia mpaka akaamua kuondoka. Alirudi baadae ndo akamalizia!
 
Haki za wanafunzi ziainishwe. Wengi hulia hilo tatizo la mhadhiri kukaa muda mrefu na andiko bila kulifanyia, haki na wajibu wa mwalimu na mwanafunzi zianishwe katika hili. Taasisi haiwezi kuendeshwa jinsi wanavyotaka watu.
 
Kama ni kweli basi wanazingua
Mzumbe ukimalizia undergraduate STATA, SPSS unazijua na mnafundishwa
 
... ha ha ha! Haya bhana ringa na K yako wenzio wanaruka na distinctions ndani ya muda mfupi sana.
Staki hizo distinctions Kwa kweli kikubwa nimepata cheti changu nchi yetu hii Kila corner ni changamoto kwetu wanawake Hadi maofisini Sasa utavulia wangapi?
 
Kama ni kweli basi wanazingua
Mzumbe ukimalizia undergraduate STATA, SPSS unazijua na mnafundishwa
Mzumbe wanaandikiwa sana Kuna Dr namfahamu hufanya hyo kazi hasa campus ya Dar.
Ile stata, sijui nvivo labda Sasa previous zilikuwa hamna
 
Kumbe kuna watu bado wanasoma kwa kuhudhuria vipindi ndani ya kuta nne?(darasani)
 
Mzumbe wanaandikiwa sana Kuna Dr namfahamu hufanya hyo kazi hasa campus ya Dar.
Ile stata, sijui nvivo labda Sasa previous zilikuwa hamna
Naongelea undergraduate hiyo ya dar haina undergraduate
Mzumbe tokea undergraduate wanafanya research
 
Acha uongo lengo la master's degree sio kupata managerial exposure. Lengo ni mwanafunzi aweze kumasta field yake( kuwa mahiri). Phd mwanafunzi anatakiwa kucontribute new knowledge kwenye body of knowledge.
 
Naongelea undergraduate hiyo ya dar haina undergraduate
Mzumbe tokea undergraduate wanafanya research
Hata udsm undergraduate research ipo ila sio serious kama postgraduate, hyo ya mzumbe wa Dar wengi ni postgraduate niliona wakiandikiwa
 
Andika HivI " kama wewe ni kilaza usilogwe kusomma UDSM"
 
cariha umetoa mengi ya moyoni, usikilizwe.


NB: Tutafute hela shule hazisotewi hivi, wabunge wanapata Masters na PhD wakiwa busy na mambo mengine[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji28][emoji28][emoji28]umeona eeh ka mheshimiwa flani alitoa milion hamsini kasoro akaandikiwa dissertation ya PhD hafu Huwa ana jimwambafai kweli kweli.
Ukitaka upate urahisi uwe na cheo serikalini utamaliza mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…