Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2]wee...unavonitisha hvyoo Bado nije Hapo hapo tenaaTafta chuo ambacho hakitakupa stress na maisha haya, ila wengi hupenda udsm ila jiandae supervisor akiwa active you will enjoy na kumaliza mapema
Ni kujiandaa kisaikolojia tu wengine mwaka wa nane huyu bado ngoma mbichi tu, waweza kuwa na ki smart ukatoboa mapema[emoji2][emoji2]wee...unavonitisha hvyoo Bado nije Hapo hapo tenaa
Mimi naogopa mamaa,nilivo na hasira ntatukana mtu nifeli
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
... ha ha ha! Haya bhana ringa na K yako wenzio wanaruka na distinctions ndani ya muda mfupi sana.[emoji28][emoji28][emoji28]sitoi kei yangu heri nife tu kutokutoa kei kumeninyima fursa nyingi huku wengine wanatoboa tu
[emoji2][emoji2]wee...unavonitisha hvyoo Bado nije Hapo hapo tenaa
Mimi naogopa mamaa,nilivo na hasira ntatukana mtu nifeli
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama ni kweli basi wanazinguaAu mtu ana soma accountancy Hadi ana maliza hajui software yoyote inayotumika na wahasibu
Au mtu ana maliza dissertation Ali cremisha tu kothari huku hajui ku create software za data collection, Kuna zile za data analysis kama stata, Kuna nvivo, spss Sasa Hilo somo linakuwa halina maana na hata mhadhiri hazijui hizo.
We need to change wallah
Staki hizo distinctions Kwa kweli kikubwa nimepata cheti changu nchi yetu hii Kila corner ni changamoto kwetu wanawake Hadi maofisini Sasa utavulia wangapi?... ha ha ha! Haya bhana ringa na K yako wenzio wanaruka na distinctions ndani ya muda mfupi sana.
Mzumbe wanaandikiwa sana Kuna Dr namfahamu hufanya hyo kazi hasa campus ya Dar.Kama ni kweli basi wanazingua
Mzumbe ukimalizia undergraduate STATA, SPSS unazijua na mnafundishwa
Naongelea undergraduate hiyo ya dar haina undergraduateMzumbe wanaandikiwa sana Kuna Dr namfahamu hufanya hyo kazi hasa campus ya Dar.
Ile stata, sijui nvivo labda Sasa previous zilikuwa hamna
Acha uongo lengo la master's degree sio kupata managerial exposure. Lengo ni mwanafunzi aweze kumasta field yake( kuwa mahiri). Phd mwanafunzi anatakiwa kucontribute new knowledge kwenye body of knowledge.Nyie WaTz acheni upumbav, level ya Masters sio ya kusoma ni kuinjoi exposure tu, ni kama kwenda live band kuinjoi mziki na kunywa bia kwa mbali ukitazama mishangaz ikicheza mziki... Lengo la kusoma Master ni kupata Managerial Exposure sio vinginevyo... Ni upumbav wenu tu wakuchukulia shule/elimu serious ili mkaringishie wenzenu kijijini kwenu...
Hata udsm undergraduate research ipo ila sio serious kama postgraduate, hyo ya mzumbe wa Dar wengi ni postgraduate niliona wakiandikiwaNaongelea undergraduate hiyo ya dar haina undergraduate
Mzumbe tokea undergraduate wanafanya research
Andika HivI " kama wewe ni kilaza usilogwe kusomma UDSM"Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.
Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
[emoji28][emoji28][emoji28]umeona eeh ka mheshimiwa flani alitoa milion hamsini kasoro akaandikiwa dissertation ya PhD hafu Huwa ana jimwambafai kweli kweli.cariha umetoa mengi ya moyoni, usikilizwe.
NB: Tutafute hela shule hazisotewi hivi, wabunge wanapata Masters na PhD wakiwa busy na mambo mengine[emoji3][emoji3][emoji3]