Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.

Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).

NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
nimesoma udsm degree ya kwanza, ya pili nilisoma nje. ndugu zangu kadhaa wamesoma mzumbe na tumaini. assessment niliyoifanya ni kwamba, udsm hapafai hata kusoma degree ya kwanza. ni sehemu ya kipumbavu kuliko vyuo vyote vya nchi hii na waalimu huwa hawafundishi mtu afaulu, wanafundisha kumkomoa na asiopofanikiwa kimaisha wanafurahi tu.
 
Acha uongo lengo la master's degree sio kupata managerial exposure. Lengo ni mwanafunzi aweze kumasta field yake( kuwa mahiri). Phd mwanafunzi anatakiwa kucontribute new knowledge kwenye body of knowledge.
🤣😅 Umesoma ulichokiandika... Kijana wangu kama hata ku Google hujui, basi soma Prospector ya chuo chako ulichosoma uelewe lengo la Masters...
 
Wengi wanasema ukisoma udsm ni advantage cause ni chuo kinachoheshimika ndo maana wengi wanakimbilia pale. Wifi yangu kasoma masters hapo, kuna siku nilimshudia analia mpaka akaamua kuondoka. Alirudi baadae ndo akamalizia!
Duuuuh hatarii tupu.
 
Nimewaachia likitabu lao pale COET. Roho mbaya tu hamna lolote. Coursework imeenda fresh shida dissertation, ova nikimaliza naenda kuchukua cheo chake. Kama unasoma hapa Dr. D.M.M nimeanza Ardhi kusoma upya. Furahi sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri, khaaaah.
Poleee aseeeh
 
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.

Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).

NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Niliyeishia la pili ei naweka kambi kwa ajili ya kusoma koment za wasom
JamiiForums458960362.jpg
 
[emoji28][emoji28][emoji28]umeona eeh ka mheshimiwa flani alitoa milion hamsini kasoro akaandikiwa dissertation ya PhD hafu Huwa ana jimwambafai kweli kweli.
Ukitaka upate urahisi uwe na cheo serikalini utamaliza mapema
50m kuandikiwaa Dissertation?? Kuna watu wana hela za kuchezea eeeh?? Khaaaaaah
 
Back
Top Bottom