Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimesoma udsm degree ya kwanza, ya pili nilisoma nje. ndugu zangu kadhaa wamesoma mzumbe na tumaini. assessment niliyoifanya ni kwamba, udsm hapafai hata kusoma degree ya kwanza. ni sehemu ya kipumbavu kuliko vyuo vyote vya nchi hii na waalimu huwa hawafundishi mtu afaulu, wanafundisha kumkomoa na asiopofanikiwa kimaisha wanafurahi tu.Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.
Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
🤣😅 Umesoma ulichokiandika... Kijana wangu kama hata ku Google hujui, basi soma Prospector ya chuo chako ulichosoma uelewe lengo la Masters...Acha uongo lengo la master's degree sio kupata managerial exposure. Lengo ni mwanafunzi aweze kumasta field yake( kuwa mahiri). Phd mwanafunzi anatakiwa kucontribute new knowledge kwenye body of knowledge.
Kismati kweli my friend 2yrs kagraduate ujue,mwingine hapo UD ,miaka mi 3 na nusu kamalizaNi kujiandaa kisaikolojia tu wengine mwaka wa nane huyu bado ngoma mbichi tu, waweza kuwa na ki smart ukatoboa mapema
Yaani km ukimaliza hyo master hufi vileMtu unakuwa na heka heka kibao kama vile unachuchumilia taji ya uzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naogopaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilibidi nifanye hivo
Duuuh hii hatari sasa, khaaaahNdio namwambia Coca asiwasikilize wanaombeza mtoa mada
Maana hata wewe unayetoa malalamiko ni zao la hapohapo tangu 1st degree.
Ngoja nitaangalia.Kama ulichosomea kina professional board kafanye mitihani yao uwe certified
Ahsantee sana rafikiHongera sana.
Eti kweli jaman, 4 ya degree, na 4 ya masters.
Ko niunge moja kwa moja??
Duuuuh hatarii tupu.Wengi wanasema ukisoma udsm ni advantage cause ni chuo kinachoheshimika ndo maana wengi wanakimbilia pale. Wifi yangu kasoma masters hapo, kuna siku nilimshudia analia mpaka akaamua kuondoka. Alirudi baadae ndo akamalizia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mazuri, khaaaah.Nimewaachia likitabu lao pale COET. Roho mbaya tu hamna lolote. Coursework imeenda fresh shida dissertation, ova nikimaliza naenda kuchukua cheo chake. Kama unasoma hapa Dr. D.M.M nimeanza Ardhi kusoma upya. Furahi sasa.
Niliyeishia la pili ei naweka kambi kwa ajili ya kusoma koment za wasomUsijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.
Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).
NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
Mie nashangaa hapo jaman, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]cariha umetoa mengi ya moyoni, usikilizwe.
NB: Tutafute hela shule hazisotewi hivi, wabunge wanapata Masters na PhD wakiwa busy na mambo mengine[emoji3][emoji3][emoji3]
50m kuandikiwaa Dissertation?? Kuna watu wana hela za kuchezea eeeh?? Khaaaaaah[emoji28][emoji28][emoji28]umeona eeh ka mheshimiwa flani alitoa milion hamsini kasoro akaandikiwa dissertation ya PhD hafu Huwa ana jimwambafai kweli kweli.
Ukitaka upate urahisi uwe na cheo serikalini utamaliza mapema
Kila ntu na zali zake Sasa hivi supervisor wanafatiliwaKismati kweli my friend 2yrs kagraduate ujue,mwingine hapo UD ,miaka mi 3 na nusu kamaliza
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unga usiogopeNaogopaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si alikuwa waziri yuko busy na mishe ikabidi atoe hyo hela. Yani uwe full time waziri na PhD una maliza haraka ndani ya mda loh50m kuandikiwaa Dissertation?? Kuna watu wana hela za kuchezea eeeh?? Khaaaaaah
Kila Lecturer alikuwa anatamani Uteuzi.Wazee wa Marathon na GAWIO enzi za Jiwe