Kusoma sana sio kigezo cha utendaji: Nehemiah Mchechu ana degree moja

Vyetii feki ujue mlisumbua wakunga wenye vyeti kuwafunza yale mliyokwepa darasani

Cheti feki huwa mweupe kichwani husumbua sana wenye vyeti wamweleweshe kazi inavyofanyika.Likishajua ndio.huu ujuaji umeandika
 
Naunga mkono hoja
tena wengi wa wenye PASS wanafanya vizuri kuliko 1st class holders!.
P
 
Naunga mkono hoja
tena wengi wa wenye PASS wanafanya vizuri kuliko 1st class holders!.
P
🤣🤣Mkuu hapana
Mie nilitoka vyema sana
Nikaamua nilitumikie taifa huku uraiani
Kuna wale Wenye pass
Hata kwenye magroup ya wasap ukichangia hoja wanareact hatari
Unagundua ni inferiority complex
Unakaa kimya,kuepusha malumbano
 
Wa vivu ni wengi zaidi, mchukue mtu mwenye diploma muweke na mwenye degree uone kama wanaweza fanya kazi sawa
Mimi nina diploma lakini boss wangu alikuwa na certificate tu ya pale IFM. Unajua nini, boss wangu alikuwa zinga la intelligent person (IQ) kubwa picha ya kwamba nilimzidi elimu and he was my agemate.
 
Mkuu, ni kijana yupi ambaye hajakata tamaa ya kuendelea na mfumo wa elimu wa Tanzania mpaka akatishwe tamaa na ndugu Mchechu? Katika nchi ambayo unashindwa kutofautisha form 4 failure na graduate kwa maana wote wanaendesha bodaboda, kunahotaji moyo mgumu sana kuendelea kujiita mtanzania.
 
Sijui kwanini watu wana vita kubwa sana na watu walioenda shule kusoma wakatapata vyeti

Sijui kwanini vita ni kubwa hivi

Ukiangalia waliosoma hawanaga tatizo na mtu

Probability ya kupata mtu kama Mchechu ni 1 on every 60mil people of this country.

Tatizo mnachukulia exception mnataka kuifanya ndio rule,what a bunch of dummies!

Una watu milioni 60,unataka madaktari wa kupasua watu,unataka mafundi wa engines,mabarabara,maofisa wa kusaidia jamii,marubani,etc halafu utegemee usisomeshe hao watu eti utegemee watu wote wawe na bongo kama ya Mchechu wafanye tu operation wanadamu wenzio sababu eti wana "akili za kuzaliwa"?

Upumbavu ulioje!

Mchechu ni 1% ya watu milioni 60,huwezi tegemea wanadamu milioni 60 wawe kama Mchechu,ndio maana ni lazima wasomeshwe walao wasaidie jamii kiasi watakachoweza

Mchechu this Mchechu that,he is a genius then what?That does not make the rest of 60mil Tanzanians are dumb!
 
Ngoja wazee wa zengwe waje

Maana cmnt hii itawaudhi sana

Ova
 
Kuwa Afisa Mkuu tu wa taasisi (Principal Level) ni lazima uwe na MASTERS
Nimeona huu muongozo umetolewa nadhani Mwaka Juzi.

Kwasasa kuwa Mkuu wa Idara kule Halmashauri ni lazima uwe na Masters pia, kama ulipata huo Ukuu wa Idara kabla ya huu Muongozo huna budi kurudi shule tena.

Maana unaweza kuta unaowaongoza wana Masters alafu wewe boss wao huna
 
[emoji23]
 
Vijana waache kuvunjwa moyo na wanasiasa wa chama chenu waje kuvunjwa na genius Mchechu?? Ni kijana yupi yupo tayari kujiendeleza kielimu ili mwisho wa siku aishie kuwa dereva wa bodaboda?

Vijana waache kuvunjwa moyo na wanasiasa wa chama chenu waje kuvunjwa na genius Mchechu?? Ni kijana yupi yupo tayari kujiendeleza kielimu ili mwisho wa siku aishie kuwa dereva wa bodaboda??
Tunaongelea masters mkuu....ukiona mtu anaenda kujiendeleza na elimu ya masters tayari yupo kwenye ajira anachofanya ni kujiendeleza Ili aweze kuongeza performance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…