Kusomesha watoto sana, ni njia ya kujiongezea upweke huko uzeeni

Kusomesha watoto sana, ni njia ya kujiongezea upweke huko uzeeni

Wewe umelenga sana kwenye hitaji la kiuchumi kitu ambacho si sawa sana...
Nafikiri hiki kitu ni mzunguko tu wa maisha..lkn jamii nyingi ambazo ni za kijasiliamali wameweza sana kupunguza hili tatizo...Wahindi,Waarabu etc wanaishi nyumba moja wengi forever
Kuishi nyumba moja forever si tatizo.Kuna watu wanafanya hivyo kwa hiyari, wengine wanataka kuwa karibu zaidi, wengine wanajipanga kiuchumi zaidi.

Hayo yote sawa, hayana tatizo.

Tatizo linakuja pale mtu anapopanga mkakati maalum asisomeshe watoto wake ili wawe wanakaa nyumbani siku zote, ili wamfariji.

Anawafanya watoto kama mifugo yake. Wakati watoto wana uhuru wao, maamuzi yao, wanatakiwa kuishi kwa utashi wao wenyewe wakiamua kuondoka waondoke tu na mzazi aweze kuishi mwenyewe vizuri tu.
 
Fanya mixing, wahi kuzaa na wengine chelewa kuzaa Ili wabakie nyumbani hadi kifo kitakapowachukua.
 
Back
Top Bottom