Kusomesha watoto sana, ni njia ya kujiongezea upweke huko uzeeni

Kuishi nyumba moja forever si tatizo.Kuna watu wanafanya hivyo kwa hiyari, wengine wanataka kuwa karibu zaidi, wengine wanajipanga kiuchumi zaidi.

Hayo yote sawa, hayana tatizo.

Tatizo linakuja pale mtu anapopanga mkakati maalum asisomeshe watoto wake ili wawe wanakaa nyumbani siku zote, ili wamfariji.

Anawafanya watoto kama mifugo yake. Wakati watoto wana uhuru wao, maamuzi yao, wanatakiwa kuishi kwa utashi wao wenyewe wakiamua kuondoka waondoke tu na mzazi aweze kuishi mwenyewe vizuri tu.
 
Fanya mixing, wahi kuzaa na wengine chelewa kuzaa Ili wabakie nyumbani hadi kifo kitakapowachukua.
 
Ni kweli tuwasaidie wazazi wetu....lakini wanaomba kwa kutumia nguvu kama vile kuna kitu alikuwekesha....
Umenichekesha sana mkuu, Kuna wakati Huwa nikifikiria kwamba pengine muda wao wa kuishi ni mfupi hapa duniani Huwa nakuwa mpole tu hamna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…