NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,391
- Thread starter
-
- #61
Enhe wanakua wengiiii yani kimeniponza kutaka kumaliza mapema kusukwa manake kukaa sana siweziPale kona karibu Na boma ...?
Na ndio siendi kokote kusukwa basi ....ulienda wrong place, ukakutana na wrong service
Kwa hii midudu ikakugusa gusaaaaa daaaah uli enjoye eeSina hamu nao nilikua nawaona watu wenye adabu zao kumbe wanatenbea bila Boxer ptuuuuuuuu..
Yani hataki eti uweke sijui kucha,uweke wig,atanunaaaa na hiyo kesi itafika kwenu mpaka aibu lol,sasa baada ya 10 yrsmumeo kama mimi sipendi mke wangu asuke wala kuvaa ufake
siku hizi wanaume wa Dar gumzo kila mahaliwatajua wenyewe na balaa lao hawana hata haya, wanaume wazima waso vaa suruali kama wenzao wanaume wa DAR,wao vikoi vikoi na wao...
Nipotoka pale nikaenda saloon,usiku ndio aliniuliza why sikusuka? nikamwambia "Habibi najua hupendi ndio mana sijatakaVipi sasa, Hubby ake hakuuliza kulikoni nusu msuko?
Unajua Mtu huona rahisi sana ku judge au kumwambia mtu kitu mwenzie bila kufikiria mara2,kwahisanai yakoKama yalikuwa yanakugusa na ww ungeyagusa ngoma iwe droo
Wananuka ivoo na joto la Dar ndio usiseme sasa joto lile wamekuzunguka hata kupumua mashaka...mhhhh kwel walikuwa wananuks
nawaona duu na wale wasafi ni wachache sana weng wachafuWananuka ivoo na joto la Dar ndio usiseme sasa joto lile wamekuzunguka hata kupumua mashaka...
shosti ni kifoo nilikua najiuliza ivi huyu huyo mkewe anahimili vp tafrani ile?nawaona duu na wale wasafi ni wachache sana weng wachafu
Sijui kama unanielewa nnavyosema...Kwa hii midudu ikakugusa gusaaaaa daaaah uli enjoye ee
mke na yy lazma awe mchafu hapo hakuna wa kujua nanananukashosti ni kifoo nilikua najiuliza ivi huyu huyo mkewe anahimili vp tafrani ile?
Nadhani kabla hujaruhusiwa ulikuwa unamwona Mr. Wako mnoko... na inawezekana aliyajuwa hayo kabla...Habari Wana MMU,
Naomba kuuliza Wanawake wenzangu,
Nilimuona Shogangu kasuka zile nywele za kimasai nikazipenda sanaa
sasa nikasema niende na kwakweli sijasuka nna miaka kama 10 sababu mr Hataki
This time nikamuomba akakubali baada ya miaka 10 ilikua kama bahati..
Kwakua nyewele zangu ndefu sikuhitaji rasta zakuongezea,haya shosti akanipitia
J"pili tukaenda kufika macho yakanitoka kumbe wasusi wanaume wa kimasai
nikamuliza mbona wanaume kasema ndio wanaojua wacha ushamba wako
haya akaongea nao nikaanza kusukwa mmmmm wamenizunguka Wamasai wa 5
sasa ule mkao wao yani wanakugusa na madudu yao huyu na wako busy kuongea kikwao
sielewi wanasema nini,shoga nae hayupo,mbaya zaid vikoi vyao vinanuka hatari,
nilistahmili kama nusu saa cm yangu ilipoita nikawambi waniache, nilipomaliza cm nikawambia
ntarudi baadae nikatoa elfu 20 nikasema nakuja waendele na mteja mwengine mpaka nikirejea
sikurejea tenaa...
Sasa niulize wadada mnaosuka ivi hii imenitokea mimi tuu au hawa wamasai ndio TABIA YAO?
We nawe, waogopa madudu utafikiri katoto ka darasa la pili!! Hebu kasuke rasta za kimasai bhana.nikaanza kusukwa mmmmm wamenizunguka Wamasai wa 5
sasa ule mkao wao yani wanakugusa na madudu yao
Hili la madudu kugusagusa mbona umelirudia rudia sana?! Yalikuwa yanagusaga wapi kwani?harufu ningestahmili sababau wao nibinadamu lakini yale madudu kunigusa gusa mie mmmmm,halafu sasa ukisogea huku
liko ukirudi nyuma lipo,pembeni jengine linagusa bega yani it was BAD....
mmmm shosti Aibu naanzaje kusema maneno hayo? kua madudu yenu yafungeni,tena yanagusaaa marefuuuuuu ptuuuuu!!!
staki hata kukumbuka..