Kusuka kwa Wamasai Basi ....

Kusuka kwa Wamasai Basi ....

Pale kona karibu Na boma ...?
Enhe wanakua wengiiii yani kimeniponza kutaka kumaliza mapema kusukwa manake kukaa sana siwezi
na pia lazima nirejee home sababu watoto walikua wanakwenda Tanga na Flight ya saa 10 jioni sasa nikasema
hii saa 1mpaka saa 5 ntakua nimesha maliza na vile wako wengi Loooo si ndio wakanishushia dunia yao...
 
mumeo kama mimi sipendi mke wangu asuke wala kuvaa ufake
Yani hataki eti uweke sijui kucha,uweke wig,atanunaaaa na hiyo kesi itafika kwenu mpaka aibu lol,sasa baada ya 10 yrs
nikamwambia nimependa shost yangu alivyosuka naomba nikasuka halafu week tuu nafumua sikutegemea aliposema yes
ilikua mchana, nxt day ndio nikaenda asubuhi yakanikuta hayo nilipotoka pale nikaenda saloon nikatengeneza my hair
nimefika home hubby hajaniuliza why sikusuka mpaka tumerejea ku drop watoto airport tena usiku....
 
Kama yalikuwa yanakugusa na ww ungeyagusa ngoma iwe droo
 
Vipi sasa, Hubby ake hakuuliza kulikoni nusu msuko?
Nipotoka pale nikaenda saloon,usiku ndio aliniuliza why sikusuka? nikamwambia "Habibi najua hupendi ndio mana sijataka
kukukera japokua umenipa kubali kwa ridhaa yako lakini sikupenda nikukere wewe ili nifurahi mie" lakini moyoni nawalani
wale wamasai...
 
Kama yalikuwa yanakugusa na ww ungeyagusa ngoma iwe droo
Unajua Mtu huona rahisi sana ku judge au kumwambia mtu kitu mwenzie bila kufikiria mara2,kwahisanai yako
jaribu kua muungwana japo kidogo kwenye majibu....
 
Habari Wana MMU,
Naomba kuuliza Wanawake wenzangu,
Nilimuona Shogangu kasuka zile nywele za kimasai nikazipenda sanaa
sasa nikasema niende na kwakweli sijasuka nna miaka kama 10 sababu mr Hataki
This time nikamuomba akakubali baada ya miaka 10 ilikua kama bahati..
Kwakua nyewele zangu ndefu sikuhitaji rasta zakuongezea,haya shosti akanipitia
J"pili tukaenda kufika macho yakanitoka kumbe wasusi wanaume wa kimasai

nikamuliza mbona wanaume kasema ndio wanaojua wacha ushamba wako
haya akaongea nao nikaanza kusukwa mmmmm wamenizunguka Wamasai wa 5
sasa ule mkao wao yani wanakugusa na madudu yao huyu na wako busy kuongea kikwao
sielewi wanasema nini,shoga nae hayupo,mbaya zaid vikoi vyao vinanuka hatari,
nilistahmili kama nusu saa cm yangu ilipoita nikawambi waniache, nilipomaliza cm nikawambia
ntarudi baadae nikatoa elfu 20 nikasema nakuja waendele na mteja mwengine mpaka nikirejea
sikurejea tenaa...
Sasa niulize wadada mnaosuka ivi hii imenitokea mimi tuu au hawa wamasai ndio TABIA YAO?
Nadhani kabla hujaruhusiwa ulikuwa unamwona Mr. Wako mnoko... na inawezekana aliyajuwa hayo kabla...

Kuna wakati huwa mnapewa ruhusa ili mkajuwe sababu ya kukatazwa... Mr asingeweza kutamka utaguswa na ‘’madudu‘’maana ungeona huo ni wivu tu
 
nikaanza kusukwa mmmmm wamenizunguka Wamasai wa 5
sasa ule mkao wao yani wanakugusa na madudu yao
We nawe, waogopa madudu utafikiri katoto ka darasa la pili!! Hebu kasuke rasta za kimasai bhana.
 
harufu ningestahmili sababau wao nibinadamu lakini yale madudu kunigusa gusa mie mmmmm,halafu sasa ukisogea huku
liko ukirudi nyuma lipo,pembeni jengine linagusa bega yani it was BAD....
Hili la madudu kugusagusa mbona umelirudia rudia sana?! Yalikuwa yanagusaga wapi kwani?
 
mmmm shosti Aibu naanzaje kusema maneno hayo? kua madudu yenu yafungeni,tena yanagusaaa marefuuuuuu ptuuuuu!!!
staki hata kukumbuka..

Labda wanafanya makusudi, inakuwaje wakuguse kiasa cha wewe kujua/kadria urefu wa madudu yao!!

Kwani hawavai underwear au kaptura au kuyafungia kwenye kibuyu kama wanaume wa Papua NewGuinea!
 
Back
Top Bottom