Kutakuwa na tatizo katika usahihishaji wa mtihani wa somo la Elimu ya Dini ya Kiislam Kidato cha Nne

Enzi za Ndalichako akiwa akiwa Katibu Mkuu(NECTA) Waislamu waliwahi kuandamana kwenda NECTA kupinga matokeo ya namna hii.

Baadae ripoti ilitoka na kubainika kulikuwa na walakini..
Mwaka 2012 hiyo. Nakumbuka sana.
 
Mnakaririshwa madude ya ajabu ajabu. Mara sijui unaanza kusoma kutokea kulia kwenda kushoto, Sasa kwa nini msifeli.
Hata kwa sheria za usalama barabarani wanashauri wakati unataka kuvuka barabara anza kuangalia kulia kisha kushoto.
 
Huu mchakato ni kwa somo hilo tu au masomo yote?
Mfumo ni huo kwa masomo yote bila kujali ni English au Bible knowledge. Pia kumbuka kila mahali ambapo kuna karatasi ya mwanafunzi basi kuna makundi matatu
1. Mwalimu
2. Polisi
3. Usalama
Msichukulie mambo kirahisi. Shida ni kwamba walimu wanaofundisha hilo somo hawajaiva na pia ratiba ya ufundishaji serikalini ni Mara moja kwa wiki na walimu hawalipwi wanategemea sadaka za watoto.
 

Ungekata rufaa kama ulipata F ya 20,ingeshuka iwe ya 8.
Hivi ni wangapi waliwahi kata rufaa matokeo yakabadilika?
Ingia kwenye web ya necta uone kama wapo waliowahi kukata rufaa grades zao zikabadilika... ukipata leta hapa nitakununulia bando la mwezi mzima!
 
Nadhani SoMo la dini na general studies huwa ufaulu wake huzidi C if am not mistaken na haijalishi ni dino gani
 
Duh

Ova
 
Huu uzi inabidi mzee wetu humu M.S
aje achangie chochote

Ova
 
ile shule ya mbeya haijatoa A kwenye somo la dini ya kiislamu mbna top 4 wote wametoka kwao au wote ni Christian

Sent from my TECNO CC7 using JamiiForums mobile app
Bahati mbaya hilo somo halifundishwi shuleni kwao ila nakuapia lingefundishwa A zingekuwepo nyingi kuliko grades nyingine na wangeweza kuongoza kitaifa hilo somo.

Shule ikishakuwa na maadili, nidhamu, maarifa, bidii ya kazi lazima watafaulu tu hata iweje. Hakuna kisichowezekana misingi ikizingatiwa.
 
Kwa tulofanya mtihani wa islamic tunajua huwezi kufaulu kama unasoma madrasa za kawaida na ndo zilizojaa kazi madufu tu
Mimi nawaambia hapa shida ni syllabus. Dini haipendelei elimu hii na mafundi wa kukariri imani hawana elimu kubwa wengi wao hivyo hawafuati syllabus kwenye ufundishaji. Ukifundishwa kichwa kichwa utajua mengi ila hayatokei kwenye mtihani, na yanayotakiwa kutokea hujafundishwa. Hawana standards kabisa
 
Umemaliza ndugu yangu,kusoma Islamic juu juu huku lengo ni kyfanya mtihani wake utaishia kulaumu tu
 
Duh ulivyoelezea km ulaya yaani. Haku bin haku. Kumbe ush√uz!i mtupu. Hayo mambo kwa wazungu Ndugu. Labda sio hawa walimu tunaowajua mitaani. hopeless.
 
Alama A Kwenye somo la dini itakusaidia nini ndugu zaidi ya kuendeleza jela ya njozi ya eti kwenda mbinguni. Ukifa ndio mwisho mbinguni binadamu tuipambanie hapahapa duniani kwa kujipatia maisha bora.
 
Nimeshindwa kukuelewa hao wazungu wamekuwa blessed kwa sababu ya kuwekeza kwenye matumizi ya akili au kwa kuwa wema na wenye huruma na kuzungumza na Mungu bila kumfokea?
Yote mawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…